Hujawahi muona akiwa amevua ? Hali ni mbaya unafikiri anakumbuka tena kujistiri kichwa chake.Ummy kavua kilemba?!!
Maombi ya leo hayajasaidia?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ndio uliliomba hili licovid 19!Magufuli anasema tusali wakati yeye kajifungia kwa waganga na wakina bashite sisi tusali
Juzi amefariki mtu nayemjua kabisa na huu ugonjwa sawa endelea kusema wana over reactBado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Lala mlango wazi halafu Omba Mungu usiliwe na simba uone kitakachotokeaMaombi ya leo hayajasaidia?
Sent from my iPhone using JamiiForums