Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika huko ndani ya nyumba zao watu hawafi kwa magonjwa mengine au corona enyewe pamoja na njaa? Hivi umejiuliliza ni janga gani litaloweza kufuatia baada ya lockdown? Halafu kwa nini uone kuwa hatua tulizochukua sisi kama taifa hazifai mpaka utake tufanane na Uganda? Wewe badala ya kushauri watu wafuate maelekezo ya wataalamu wa afya unataka watu watibu janga kwa kuzalisha majanga mengine.Sibonike, Idadi ya 54 ndo idadi nzima ya wa athirika wote nchini Uganda sisi tumewapata siku moja wenzetu wako lock-down hi wiki ya tatu na wameongezewa wiki tatu zingine wakati sisi bado tunadunda tuko bize kusali duh......' now who is fooling who'?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwigulu bado tu una misimamo ile ile ?Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Tabutupu,
Sasa mkuu wakifunga Bar atakaewaletea nyumbani ni nani, sema tu wafunge kiwanda cha Bia ili watu wasiende kunywa Bar au wenye hela zao wachukue stock za kuwatosha ili watumie wakiwa kwenye lockdown...
Nakubaliana nawe dunia ime over react, kwa sababu hawa mabeberu wanajua wamekitengeneza kirusi, na wanajua kilikuwa kinaua vipi panya huko maabara.Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Ndugu na majirani Vp.....Labda ujitenge nao kabisaAnza wengine watafata, mbona mimi nimeji isolate na AlhamduliLlah sina dalili yoyote ya ugonjwa?
Tuwaombee tu mungu awasaidie wabadilikeNajaribu kufungulia stesheni za redio 80% zinapigwa ngoma za singeli tena za matusi ndani yake,jamani Raisi katangaza mfungo kwann hizo stesheni zisijarbu kupiga ngoma hata za wenzetu taswida au Gospo ambazo zitamkumbusha mtz kuwa ni kipindi kigumu tumwombe mungu wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app