King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,307
- 2,754
Mbona huku watu ndiyo hawasikii wanakaa karibu karibu hasa vijiweni ndiyo balaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UZEMBE alio fanya Magufuli wamefanya dunia mzima kwanini umlaum Magufuli pekee pili unafikir itasaidia Lock down wakati uwezo wa kuudumia raia Tanzania hatuwezi hata kwa mwezi mmoja LICHADI,
Sent using Jamii Forums mobile app
Machinjioni live! Mbaya zaidi wanasema ukiwa na moja tu ya homa zinazohusiana na Covid usikanyage muhimbili ili usije ukaleta balaa. Means ukiugua Corona umeandaliwa kufa. Kupona ni majaaliwa!Hospital with such a bad reputation?
Wewe ni yule yule kawe alumnRaisi wangu Magufuli mimi binafsi nakupenda sana Baba. Mungu akujalie kila lenye Kheri, sauti ya Mungu ikiangazie na kua mfano bora kwa wengine.
Wao wana lock down na kufanya jitihada za kibinadamu kuudhibiti ugonjwa, lakini sisi tumechagua kutoku lock down na Kumuita Mungu alie Hai jehova yireee. Jehova yawe. Mungu atajibu toka juu na wanaokejeli uwasamehe hawajui walinenalo. Mimi na Moyo wangu Ninakupenda mnooo [emoji120][emoji120][emoji120]
Ulitaka nini kifanyike ndugu wakati black mamba kaingia chumbani kwakoBado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Alishajitoa ufahamu 😉Wewe ni yule yule kawe alumn
Umefuraaaaaahi mwenyewe
Uwendawazimu tu kutegemea maombi. Vipi kuhusu Italy, Israel, Irani wenye kusali kuliko sisi?Maombi ya leo hayajasaidia?
Sent from my iPhone using JamiiForums