Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, ukiona mwenzio kaugua kapona usifikiri nawe utapona, inaweza kuwa vice versa, huu ugonjwa wa ajabu sana unaweza kumuua yeyote wakati wowote bila kutarajia awe na afya njema ama asiwe na afya njema, awe kijana ama awe mzee, awe mtoto ama mtu mzima. Tuchukue tahadhari nq tuzidi kumuomba Mungu
 
Kwa kweli hii Situation si ya kupuuzia hata kidogo..Mwenyezi Mungu atunusuru...Nawaza wazee wenye changamoto nyinginezo za kiafya Mungu awasimamie kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospital with such a bad reputation?
Machinjioni live! Mbaya zaidi wanasema ukiwa na moja tu ya homa zinazohusiana na Covid usikanyage muhimbili ili usije ukaleta balaa. Means ukiugua Corona umeandaliwa kufa. Kupona ni majaaliwa!
 
hjayhals,

Hizo dini za watu zinatuharibu akili sana.dini zetu wAfricani miti, mawe makubwa maporomiko ya maji na nk.
 
Raisi wangu Magufuli mimi binafsi nakupenda sana Baba. Mungu akujalie kila lenye Kheri, sauti ya Mungu ikiangazie na kua mfano bora kwa wengine.

Wao wana lock down na kufanya jitihada za kibinadamu kuudhibiti ugonjwa, lakini sisi tumechagua kutoku lock down na Kumuita Mungu alie Hai jehova yireee.

Jehova yawe. Mungu atajibu toka juu na wanaokejeli uwasamehe hawajui walinenalo. Mimi na Moyo wangu Ninakupenda mnooo [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Serikali pia ni muda muafaka watumishi Wa Afya mshahara kwa sasa hawa ndo wapiganaji wetu
 
Mna vilemba, mitandio, kanga, matambala kibao kwenye nyumba zenu, tumieni kuziba pua na mdomo mnapotoka nje kupunguza maambukizi.

Sio lazima kutumia masks za kununua. Hili janga lipo na linaendelea.
 
Raisi wangu Magufuli mimi binafsi nakupenda sana Baba. Mungu akujalie kila lenye Kheri, sauti ya Mungu ikiangazie na kua mfano bora kwa wengine.
Wao wana lock down na kufanya jitihada za kibinadamu kuudhibiti ugonjwa, lakini sisi tumechagua kutoku lock down na Kumuita Mungu alie Hai jehova yireee. Jehova yawe. Mungu atajibu toka juu na wanaokejeli uwasamehe hawajui walinenalo. Mimi na Moyo wangu Ninakupenda mnooo [emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe ni yule yule kawe alumn
 
Rais asiyeweza kulinda uhai was RAIA wake kutokana na majanga hafai kukaa ikulu hata dakika 1...JPM kashindwa kuwa mstari wa mbele katika vita hii..

Dunia nzima kuanzia kwa Trump, Ramaphosa, Boris, Mu7 et al.. dhahiri wameonekana mstari wa mbele kupambana kwa dhati ila JPM anabaki kuongelea akiwa chumbani kwake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Ulitaka nini kifanyike ndugu wakati black mamba kaingia chumbani kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anajidanganya mwenyewe kuchanganya maombi na corona, Mambo ya mungu mpe mungu ya kaizali mpe kaizali, ana hamasisha watu wasongamane sehemu za ibada Waambukizane corona bila Kuchukua tahadhari , hii yote ni kwa sababu serikali yake haina options. Sehemu za misongamano ni za kuepuka na kuzuiliwa kwa kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom