nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi.
Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka?
Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma. Lakini linapokuja suala la kudai haki zao hawana mchezo.
Viongozi wanaheshima kwa wananchi. Hapa kwetu, kutokana na teuzi zilizopita tutazamie kuvunjiwa heshima na ma DC vijana.
Mungu atusaidie