Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Yaan hii nchi inateketea mmeshaanzisha makampuni ya ujenz huko mnataka kuwanyonya watu Kwa ujinga wenu !!Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate
Baada ya makampuni kujenga nyumba watawauzia wananchi kwa cash au mortatage (mkopo)
Kwanini makampuni wajenge nyumba na sio watu binafsi
Kikubwa nyumba zinazojengwa na makampuni serikali ihakikishe zinakuwa ni bei nafuu hasa kwa tabaka la chini na lower middle class ambao ni majority Tanzania
- Ukiwapa watu binafsi hawawezi kumaintain standard mfano mtu binafsi anaweza jenga nyumba akafika katikati kaishiwa fedha hataweza fuata standard na akikumbushwa atahisi anaonewa ila kampuni itamaintain standard mwanzo mwisho
Nyumba za matajiri na upper middle class hizo serikali haihusiki nazo
- Nyumba za hali ya chini zisizidi million 20
- Nyumba za lower middle class zisizidi sh million 35
Naunga mkono hoja, kwanza ujenzi binfasi ni gharama sana na too ambitious unnecessary. Yaani mtu unajenga lijumba kubwaaa,gharama kubwa, matumizi kidogo. Lakini iwe kwa maeneo mahsusi tu, huko vijijini waendelee tu.Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate
Baada ya makampuni kujenga nyumba watawauzia wananchi kwa cash au mortatage (mkopo)
Kwanini makampuni wajenge nyumba na sio watu binafsi
Kikubwa nyumba zinazojengwa na makampuni serikali ihakikishe zinakuwa ni bei nafuu hasa kwa tabaka la chini na lower middle class ambao ni majority Tanzania
- Ukiwapa watu binafsi hawawezi kumaintain standard mfano mtu binafsi anaweza jenga nyumba akafika katikati kaishiwa fedha hataweza fuata standard na akikumbushwa atahisi anaonewa ila kampuni itamaintain standard mwanzo mwisho
Nyumba za matajiri na upper middle class hizo serikali haihusiki nazo
- Nyumba za hali ya chini zisizidi million 20
- Nyumba za lower middle class zisizidi sh million 35
Kwa hiyo kwenye kila budget serikali iwe inaforecast idadi ya nyumba zitakazojengwa kwenye mwaka husika wa fedha mfano mwaka huu wa fedha wa 2027/2028 serikali itoe kibali kwa makampuni ya real estate kujenga nyumba laki 1
Lengo ni kuacha uholelea ambao umekithiri nchini na unachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu uzuri wa nchi
Sasa hujui abc za mipango miji huwezi nielewa kamweYaan hii nchi inateketea mmeshaanzisha makampuni ya ujenz huko mnataka kuwanyonya watu Kwa ujinga wenu !!
Uko sahihi mkuu ✅Naunga mkono hoja. Wabunge wapitishe hii iwe sheria. Na huduma muhimu zote ziwekwe na kampuni. Mfano mifereji ya maji, mifumo ya mawasiliano kama fibre optic cables etc.
Yaani mtu na pesa zake anataka kujenga hekalu lake nafsi yake ifurahi hata kama anaishi mwenyewe humo nyie mnaumia.Naunga mkono hoja, kwanza ujenzi binfasi ni gharama sana na too ambitious unnecessary. Yaani mtu unajenga lijumba kubwaaa,gharama kubwa, matumizi kidogo. Lakini iwe kwa maeneo mahsusi tu, huko vijijini waendelee tu.
Mkuu utawacganganya watu,Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate
Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza kujenga unavyojisikia hakuna kitu kama hicho
Baada ya makampuni kujenga nyumba watawauzia wananchi kwa cash au mortatage (mkopo)
Kwanini makampuni wajenge nyumba na sio watu binafsi
Kikubwa nyumba zinazojengwa na makampuni serikali ihakikishe zinakuwa ni bei nafuu hasa kwa tabaka la chini na lower middle class ambao ni majority Tanzania
- Ukiwapa watu binafsi hawawezi kumaintain standard mfano mtu binafsi anaweza jenga nyumba akafika katikati kaishiwa fedha hataweza fuata standard na akikumbushwa atahisi anaonewa ila kampuni itamaintain standard mwanzo mwisho
- Wewe utajenga nyumba kwa standard flani ila jirani yako atajenga chumba kimoja akiulizwa kwanini hafuati utaratibu anasema kwa jeuiri hiki ni kiwanja changu usinipangie matokeo yake anaharibu uzuri wa mtaa
Nyumba za matajiri na upper middle class hizo serikali haihusiki nazo
- Nyumba za hali ya chini zisizidi million 20
- Nyumba za lower middle class zisizidi sh million 35
Kwa hiyo kwenye kila budget serikali iwe inaforecast idadi ya nyumba zitakazojengwa kwenye mwaka husika wa fedha mfano mwaka huu wa fedha wa 2027/2028 serikali itoe kibali kwa makampuni ya real estate kujenga nyumba laki 1
Lengo ni kuacha uholelea ambao umekithiri nchini na unachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu uzuri wa nchi
Nikiwa Rais wa Tanzania watu binafsi hawatarusiwa kujenga nyumba kiholela bali hio kazi watapewa makampuni