Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

Kila jambo linamwanzo wake
uholela ukiendelea hivi miji inazidi kuaharibika
Ni kweli lakini kutengeneza sera ambazo kiuhalisia hata wafanyakazi wa serikali yenyewe majority hawawezinkumudu gharama za hizo nyumba ni disaster
 
Ni kweli lakini kutengeneza sera ambazo kiuhalisia hata wafanyakazi wa serikali yenyewe majority hawawezinkumudu gharama za hizo nyumba ni disaster
Mabadiliko lazima yaje kwa maumivu mabadiliko hayawezi kuja kukiwa na comfort zone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…