SureKila mtu achakarike kivyake nachukua Ardhi najenga njoo upange.
Lakini wewe ushinde kijiweni kutwa kubishana Yanga Simba mimi nanunua Ardhi kwa jasho langu ati tugawane?
Nadhani Jibu la swali lako tayari limejibiwa na Mkuu ReplicaHizi takwimu utakuwa umetohoa kwenye idadi ya majengo kulinganisha na idadi ya watu, unachosahau..
1. Katika hayo majengo kuna maghorofa makubwa yanabeba watu wengi
2. Kuna watoto wanaokaa kwa wazazi wao
3. Kuna wanandoa wanaokaa wawili kwenye paa moja
4. Kuna wazee wasiojiweza wanaokaa kwa watoto wao
5. NK
unajua kuwa katika hiyo sence karibia theluthi mbili ni teenegers and below wanaishi kwa wazazi wao? stop reached biased conclusion and think first. makazi ya watu hayawezi kuwa sawa na idadi ya watu.Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini...
Issue siyo uhaba wa ardhi. Tatizo ni ufukara walionao watu wetu. Hata wakiwa na ardhi hawawezi kujengaKiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini...
Kwa Tanzania ukishindwa kumiliki ardhi ni ujinga wako. Kuna mahali unakuta pori kabisa ni nguvu yako ya kufyeka tu. Tatizo ni uwezo wa kumiliki ardhi hapa mjini ambapo bei ni kichaa.Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini...
Issue siyo uhaba wa ardhi. Tatizo ni ufukara walionao watu wetu. Hata wakiwa na ardhi hawawezi kujenga
Nadhani unakusudia kusema Kuna Idaho hiyo ya watu hawamiliki nyumba, Kwa maana ya kwamba wanaishi kwenye nyumba ambazo sio mali yao bali wamepanga. Mi sioni shida ktk hilo- watoto na vijana ndio wengi ktk jamii na bado hawajawa na uwezo wa kujenga nyumba.inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini?
Inaonesha? Lakini hauna uhakika? Basi sawaKiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini...
Sijui watu walienda shule kusomea nini?Ungeomba kuelekezwa kwanza sio kila ni nchambuzi wa takwimu.
Kwanza kabisa naamini mada yako imekuja baada ya kuona idadi ya majengo na watu kutokana na matokeo ya mwanzo ya sensa yaliyotangazwa Jana...