much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Nov 1, 2022 #21 Stroke said: Nchi ya watu wasio na makazi ndio kwanza tunafanya royal tour kwa bilioni 7 na sherehe za sensa kwa bilioni 6. Click to expand... Na kuangazi midege ya mabilioni inayotutia hasara Kila siku Sent using Jamii Forums mobile app
Stroke said: Nchi ya watu wasio na makazi ndio kwanza tunafanya royal tour kwa bilioni 7 na sherehe za sensa kwa bilioni 6. Click to expand... Na kuangazi midege ya mabilioni inayotutia hasara Kila siku Sent using Jamii Forums mobile app
Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 1,604 Reaction score 3,715 Nov 1, 2022 Thread starter #22 ninaelewa maana yake hoja ni kwanini wasio na nyumba yaani wapangaji ni wengi kiasi hicho katika nchi iliyo level ya uchumi wa kati?
ninaelewa maana yake hoja ni kwanini wasio na nyumba yaani wapangaji ni wengi kiasi hicho katika nchi iliyo level ya uchumi wa kati?