Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

Mna shida kubwa nyie. Kwa hiyo Watu wasizae?
Hakuna mtu ambaye anakatazwa kuzaa, nenda hospital za serikali utakuta visichana vidogo vina ujauzito ilihali havina hata mia. Wazazi wao ndio wanachukua mzigo wa kulea wajukuu pamoja na mama zao. Zaa ukiwa na uwezo wa kuwapa mahitaji muhimu sio kuleta viumbe duniani kuwatesa.
 
Sasa na wewe hiyo 63 m imeitoa wapi? Matokeo ya sensa yanaonyesha tuko 61,741,120.
Noooo mkuu, wewe ndio mpumbavu, hiyo number 61,741,120M,ndio waliohesabiwa rasmi, na unaelewa huwezi kuhesabu wote yaani ukawa na 100%,je unajua diaspora ina watanzania wangapi?,point hapa ni kuwa tunazaana kama simbilisi
 
Hakuna mtu ambaye anakatazwa kuzaa, nenda hospital za serikali utakuta visichana vidogo vina ujauzito ilihali havina hata mia. Wazazi wao ndio wanachukua mzigo wa kulea wajukuu pamoja na mama zao. Zaa ukiwa na uwezo wa kuwapa mahitaji muhimu sio kuleta viumbe duniani kuwatesa.
Kweli tz kuna shida kabisa kwenye kupanga na kuamua kuzaa.

Watoto wamechoka balaa hata buku hawana ila kila mwaka wanazaa.

Wana kazi ya kulalamikia ccm tu.
 
Noooo mkuu, wewe ndio mpumbavu, hiyo number 61,741,120M,ndio waliohesabiwa rasmi, na unaelewa huwezi kuhesabu wote yaani ukawa na 100%,je unajua diaspora ina watanzania wangapi?,point hapa ni kuwa tunazaana kama simbilisi
HaaaHaha....Mkuu Simbilisi ni nini?
 
Back
Top Bottom