Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho.
Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii pamoja na uhuru wa kufanya maamuzi katika maisha.
Nchi zinazoongoza ni pamoja na Finland, Denmark, Iceland, Switzerland, Netherlands, Norway, Luxembourg, Australia na Austria, Marekani ni ya 15.
Wazee wa kulamba asali na hili mkalitazame😂