Tanzania ya 8 kutoka mwisho ripoti ya furaha Duniani

Aaaah si walisema mama karudisha tabasamu na furaha kwa wanainchi?watu wana lamba tu, au jamaa wanataka tu kutuchafua?
Wanaopimwa furaha yao ni CHADEMA, ni kweli hawana raha. Hizi tafiti hufanywa kwa Internet, kwao kuna Internet. Ila watu wa Nzega na Tunduru na Bahi na Chunya na Sunbawanga hata tafiti haziwaguzi. Ni mani alienda Afghanistan au Kongo au Kenya au Rwanda akute watu wanachinjana huku wakiwa na furaha zaidi kuliko Micheweni na Handeni na Ibadakuli, can you believe that?
 
Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho.

Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii pamoja na uhuru wa kufanya maamuzi katika maisha.

Nchi zinazoongoza ni pamoja na Finland, Denmark, Iceland, Switzerland, Netherlands, Norway, Luxembourg, Australia na Austria, Marekani ni ya 15.

Wazee wa kulamba asali na hili mkalitazame[emoji23]
Kipimo cha kwanza ni ushoga na cha pili ni ndoa za jinsia moja na cha tatu ni kuiba makanikia ya thirdworld cha nne ni.kimbilio cha wasaliti kama tundulissu cha tano ni uraiapacha.
 
Zote shoga country, very happy kuiba makanikia yetu wakitetewa na raia wao mpya tundulissu.
Unaumia? Wewe usie shoga mbona hupiganii rasilimali zako zisiibiwe? Hizo manii zilokuzaa bora zingetupwa na condom!
 
Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho.

Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii pamoja na uhuru wa kufanya maamuzi katika maisha.

Nchi zinazoongoza ni pamoja na Finland, Denmark, Iceland, Switzerland, Netherlands, Norway, Luxembourg, Australia na Austria, Marekani ni ya 15.

Wazee wa kulamba asali na hili mkalitazame[emoji23]
Siyo sasa hivi labda wakati ule
 
Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho.

Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii pamoja na uhuru wa kufanya maamuzi katika maisha.

Nchi zinazoongoza ni pamoja na Finland, Denmark, Iceland, Switzerland, Netherlands, Norway, Luxembourg, Australia na Austria, Marekani ni ya 15.

Wazee wa kulamba asali na hili mkalitazame😂
Mtakuwaje na furaha wakati huduma za jamii ni hafifu na wengine wakifuja fedha ya umma?

Yani tabu tupu mwanzo mwenga ndio mana napambana wanangu wasihangaike kama mimi. Allah baarik 🤲
 
Back
Top Bottom