Tanzania ya ajali za barabarani

Tanzania ya ajali za barabarani

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
Kuna mtu aliweka mada ya Rish Sunak kupigwa fine na jeshi la polisi huko kwao kwa kutokufunga mkanda.

Bongo hawa ma-celebrity wetu wana chat live sio na mtu mmoja bali mashabiki wao huku wanaendesha magari na clip zinatambaa mitandaoni, polisi wala hawana habari.

Kwanini kila siku kusiwe na ajali.

Nchi za wenzetu ukiweka tu simu sikioni huku unaendesha kosa, PM yupo seat ya nyuma ajafunga mkanda kosa, sasa wewe unae chat uku unaendesha ni hiyo dangerous driving ambayo kuna fine, losing licence points and six month driving ban probably in some instances.

Ile mada ilikuwa inatoa nafasi ya kulinanga jeshi la polisi kwa uzembe wa kuchukua hatua ata wanapoona ushahidi wa wazi.

Well JF wameona aina mantiki kwa jamii mada yenye wameifuta, we Tanzanians are not serious people.
 
Ajali za kizembe zinasababishwa na jeshi la polisi na wa kumlaumu zaidi ni mkubwa wao, huyo angekuwa uk katimuliwa kama paka

Ajali zinatokea kila kukicha tena sio za kawaida lazima ziue watu kuanzia mabasi, malori na magari madogo

Sababu ni kuwa gari matairi yameisha ila dereva anaruhusiwa aendelee na safari kisa amehonga 30,000
30,000 tu kwa uhai wa watu huyo ni muuwaji aliepokea hiyo hela

Lorry halina break halafu baada ya kuua traffic wanatoa ripoti ooh limefeli break

Hell no, ni uzembe wao kuruhusu liwe barabarani

Wajifunze kama huku MOT ya kila mwaka na lazima police wala rushwa watimuliwe mbona kenya wanawekewa mitego na wanakamatwa kila kukicha ingawa wapo lakini hawana ajali kama sisi na wana magari kutuzidi na ni nchi ndogo kuliko sisi
 
Matatizo ni mengi halafu sasa hivi imezuka tabia hawa watoto wanaendesha magari huku wanachat snap chat at the same wanaendesha.

Na hizo video zimejaa YouTube sijui nani anaongea na fans wake, unajiuliza hivi jeshi la polisi hawaoni hatari.

Yaani mtu yupo barabarani bado ana muda wa kusoma comments huku anaendesha gari, aisee na wengine wana abiria ambao wala hawana habari; it’s normal.

Imagine that scenario polisi nchi za wenzetu wakuone. Bongo celebrities wana share kabisa live na polisi walaa hiyo sio issue.
 
Na vifo havitaisha na hao polisi pia wanakufa
Yaani watoto wasiokuwa na maadili wakifiri wanaweza control ya chuma

Huku nilipo kugusa simu wakati unaendesha utapigwa faini na points juu

Kwanza siwezi kucheza na simu labda nisimame tena parking kabisa na sio kwenye Traffic lights mwiko kabisa

Wenzetu huku wanajali sana maisha yao na wengine
Juzi nilikuwa naendesha naelekea Manchester kutoka London
Nilipofika Buckingham ilikuwa alfajiri na barafu ikawa inamwagika haswa nilikuwa naendesha 40km/h na wote hivyo hakuna kujiwehusha wala kusema nawahi mahali ni nidhamu na kuheshimu nature

Bongo hakuna masomo wala nini tena license unaletewa ofisini tu
 
It’s beyond me Tanzania yaani mtu anaendesha gari mtoto mdogo ambae U.K. anatakiwa awekewe kiti cha mtoto ndani ya gari yeye hana, halafu baba kamuweka seat ya mbele, Seat belt ajamfunga, yeye mwenyewe baba mtu ajafunga.

Halafu ana drive huku ana record akiongea na mtoto wake ambae kasimama kwenye kiti na video wana post Instagram. Na polisi walaa.

Sasa kuna mtu aliweka post jukwaa la siasa kuhusu fine ya Rish Sunak kutofunga mkanda as a passenger.

Mada wakati inaanza kuchangamka na fursa ya kulinanga jeshi la polisi Tanzania kwa uzembe kwa uzembe unaondelea kwa kutolea mifano makosa mengine tunayoyaona mtandaoni; moderator mmoja akaifuta hiyo post.

Kule jukwaa la siasa tunatakiwa tujadili mkutano wa CDM tu week hii kwa mujibu mods inavyoonekana mengine hayana nafasi.
 
It’s beyond me Tanzania yaani mtu anaendesha gari mtoto mdogo wa ambae U.K. anatakiwa awe na kiti cha mtoto ndani ya gari, yeye hana, halafu kamuweka mbele, Seat belt ajamfunga, yeye ajafunga.

Halafu ana drive huku ana record akiongea na mtoto wake kasimama kwenye kiti na video wana post Instagram.

Sasa kuna mtu aliweka post jukwaa la siasa kuhusu fine ya Rish Sunak kupewa fine as a passenger.

Mada wakati inaanza kuchangamka na fursa ya kulinanga jeshi la polisi Tanzania kwa uzembe kwa kuunganisha na makosa mengine tunayoyaona mtandaoni; moderator mmoja akaifuta hiyo post.

Tunatakiwa tujadili mkutano wa CDM tu week hii yote jukwaa la siasa kwa mujibu mods inavyoonekana mengine hayana nafasi.
Basi utakuta na wao ni wapinzani daa
Badala wao ndio wa kulipigania hili na kuacha lijadiliwe kwa threads nyingi, wanaweka mikutano nyuzi nyingi

Ajali hizi ni za kizembe sana zinatokea huko na lazima tulionhelee mpaka watoke shimoni hao wakubwa wa Traffic wajibu tuhuma hizi, kama wao ndio wanawatuma kukusanya rushwa barabarani na watu wanaokufa sio jukumu lao

Hizi sio allegations bali kuna mambo wanayaficha sana kwenye ajali hizi
 
Back
Top Bottom