Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kuna mtu aliweka mada ya Rish Sunak kupigwa fine na jeshi la polisi huko kwao kwa kutokufunga mkanda.
Bongo hawa ma-celebrity wetu wana chat live sio na mtu mmoja bali mashabiki wao huku wanaendesha magari na clip zinatambaa mitandaoni, polisi wala hawana habari.
Kwanini kila siku kusiwe na ajali.
Nchi za wenzetu ukiweka tu simu sikioni huku unaendesha kosa, PM yupo seat ya nyuma ajafunga mkanda kosa, sasa wewe unae chat uku unaendesha ni hiyo dangerous driving ambayo kuna fine, losing licence points and six month driving ban probably in some instances.
Ile mada ilikuwa inatoa nafasi ya kulinanga jeshi la polisi kwa uzembe wa kuchukua hatua ata wanapoona ushahidi wa wazi.
Well JF wameona aina mantiki kwa jamii mada yenye wameifuta, we Tanzanians are not serious people.