Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.
Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%