Tanzania ya KWANZA East Africa na ya PILI Africa kwa usambazaji umeme(eletric power).

Another question, you claim that you are number two with 70%. Number one wako na % ngapi? What of number three?. These are questions that somebody have to answer me. We all know that this minister is lying.
 
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.

Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%

Halafu nikae hapa namsikiliza huyu punguani!

Nikae hapa namuamini kabisa!

Yaani nikae hapa niamini narrative inayosemwa na Awamu ya Tano?

Nani anasikiliza na kuamini liers?

No one believes you people!

No one!
 
Na mbona sikuona Tanzania ikiambiwa inapika data kama kenya ilivyoambiwa inapika pesa yake 30% na Rwanda pia inapika uchumi wapi.
CCM: Uchumi unakuwa kwa 7%
IMF: Tanzania economy growth is 4%

So lazima uambiwe hapo mbele yako ati unapika data, the correction is enough. For Kenyan shilings why can't they reverse it backward by 30 as you claim they they did with your growth rate?. Yenyu walipata ati imekuwa coocked wakarudisha from 7% - 4%, mbona basi wasirudishe shilingi ya Kenya from 100 - 130 if at all it's true.
 
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.

Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%

Tanzania imetajwa na nani au shirika gani credible?

Alietaja ni "Kalemani"......

GTFOH
 
CCM: Uchumi unakuwa kwa 7%
IMF: Tanzania economy growth is 4%

So lazima uambiwe hapo mbele yako ati unapika data, the correction is enough. For Kenyan shilings why can't they reverse it backward by 30 as you claim they they did with your growth rate?. Yenyu walipata ati imekuwa coocked wakarudisha from 7% - 4%, mbona basi wasirudishe shilingi ya Kenya from 100 - 130 if at all it's true.
Utalia sanaaaa😂😂😂👇👇👇
 
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.

Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%

Hivi watu wanajua maana ya kusambaza umeme au maji vijijini? Mnahesabu idadi ya vijiji huduma ilipo pita au idadi ya kaya zinazopata huduma hiyo?

Hawa viongozi waandaji wa takwimu wamezaliwa na kukulia mijini? wanatembelea vijiji?
 
CCM: Uchumi unakuwa kwa 7%
IMF: Tanzania economy growth is 4%

So lazima uambiwe hapo mbele yako ati unapika data, the correction is enough. For Kenyan shilings why can't they reverse it backward by 30 as you claim they they did with your growth rate?. Yenyu walipata ati imekuwa coocked wakarudisha from 7% - 4%, mbona basi wasirudishe shilingi ya Kenya from 100 - 130 if at all it's true.
Hujajibu nilichokuuliza hapa.
Jibu nilichokuuliza.
 
Kuna watu naona leo hawato lala😂😂😂😂
Kama mbashindwa kununua meter mtapataje umeme😂😂😂😂👇👇👇

Naona unatafta pa kutokea Mkuu! Umebanwa ehh? Tupe credible source!
 
Tokeni slumberland, the real situation is this. 32% electricity connection with 1500MW installed capacity. [emoji23][emoji23][emoji23]
Utalia sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20191025-145811.jpeg
 
Back
Top Bottom