Tanzania ya KWANZA East Africa na ya PILI Africa kwa usambazaji umeme(eletric power).

Tanzania ya KWANZA East Africa na ya PILI Africa kwa usambazaji umeme(eletric power).

Hahahaha, this report is 12 years old. Sikiliza, Tanzania ina jumla ya vijiji 12,400. Mipaka mwaka 2015, vijiji vilivyokua vimeunganishwa vilikua 2000 pekee, Magufuli kwa miaka hii 4, ameunganisha vimefikia 8100.

Alikuta District Hospitals 70 nchi nzima toka tupate Uhuru, yeye anejenga District Hospitals 63, Jumla sasa tuna District Hospitals 133. Amejenga Heath centres 365 ndani ya miaka 4. Sio rahisi watu kuamini haya anayofanya.
Tena umeruka kwa hospitals[emoji1787][emoji1787][emoji1787], kweli mmebanwa.
 
You will never forget this day in your all life, I want to discipline you properly with facts [emoji23]
Facts kwani mimi nakupa ndizi wewe nyani...😂😂😂
1559901_Economic-growth-5.jpg
 
Hahahaha, this report is 12 years old. Sikiliza, Tanzania ina jumla ya vijiji 12,400. Mipaka mwaka 2015, vijiji vilivyokua vimeunganishwa vilikua 2000 pekee, Magufuli kwa miaka hii 4, ameunganisha vimefikia 8100.

Alikuta District Hospitals 70 nchi nzima toka tupate Uhuru, yeye anejenga District Hospitals 63, Jumla sasa tuna District Hospitals 133. Amejenga Heath centres 365 ndani ya miaka 4. Sio rahisi watu kuamini haya anayofanya.
Hata viwanda amejenga 4000 😂😂😂

ATCL Nini mbaya??

Nimwage mtama zaidi??
 
Hta km ni kukwepa hoja basi sio ki hvo...km uko nursery
Kwa hiyo unataka kubisha...??[emoji23][emoji23][emoji23]If you cant afford to buy electric meters can you be number one...[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni nyani tena uliyekosa matunzo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Umeme je, manake jamaa wameandika vitu vingi tu
I do support this at 100% Hii nchi niyetu...Hatutaki mtu kuja anajichumia tu...Tena kodi iwekwe juu zaidi...Tuna jua nchiyetu mnaitamani sanaaaa....
 
Tanzania power connection stands at 32% as at July 2019 with an installed capacity of 1500MW. Dar es salaam is the leading region with 70% electricity connection. Hizo zingine ni zenyu[emoji23][emoji23]View attachment 1244297
Dar kuna sehemu hakuna umeme ??? Hapo tu ndio ulipo haribu, data nzima ikaonekana haina maana
 
Unakarangwa kwa thread yako and I'll be remembered as the Chief Chef. The brain behind your roasting.

Hehehe! Hadi nimecheka, jamaa ameishia kuleta picha za meter, ataukimbia uzi wake.
Umeme installed capacity 1,500MW halafu eti wawe namba mbili Afrika
 
Tena umeruka kwa hospitals[emoji1787][emoji1787][emoji1787], kweli mmebanwa.
Paragraph ya kwanza nimezungumzia vijiji vilivyounganishwa na UMEME, sasa kitu gani kimerukwa?. Paragraph ya pili ndio nimezungumzia Hospitals, kuonyesha jinsi Kazi inavyofanyika. Hahahaha, tunawapiga kila kona, endeleeni kusifia bajeti kubwa wakati hakuna kinachofanyika.
 
Hata viwanda amejenga 4000 [emoji23][emoji23][emoji23]

ATCL Nini mbaya??

Nimwage mtama zaidi??
Hahahaha, mtaendelea kuweweseka sana tu. Sasa hivi ATCL ina jumla ya ndege 11, mpya 8 za zamani 3. KQ bado mpo na ndege tatu pekee.
 
Hehehe! Hadi nimecheka, jamaa ameishia kuleta picha za meter, ataukimbia uzi wake.
Umeme installed capacity 1,500MW halafu eti wawe namba mbili Afrika
Hutamwona akianzisha thread ya aina hii Tena[emoji23][emoji23]
 
Na ndio nakuambia ati only 32% of your households are connected to electricity.
Paragraph ya kwanza nimezungumzia vijiji vilivyounganishwa na UMEME, sasa kitu gani kimerukwa?. Paragraph ya pili ndio nimezungumzia Hospitals, kuonyesha jinsi Kazi inavyofanyika. Hahahaha, tunawapiga kila kona, endeleeni kusifia bajeti kubwa wakati hakuna kinachofanyika.
 
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.

Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%
Source ya hizi takwimu ni Kalemani?
Joke of the century.
 
Back
Top Bottom