Tuwekee screen shot Tafadhali sana.Njooni mlie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Hapana kaka, wizara ya Afya ndiyo inayoongoza kwa kufanya mambo makubwa sana.Jamaa anapiga kazi Sana
Tunaweza sema ndiyo man of the match kwenye serekali ya magu
Safi sana. Uzi huu wakenya watakuwa wanaingia na kutoka.Njooni mlie 😂😂😂👇👇👇
Dah!Hapana kaka, wizara ya Afya ndiyo inayoongoza kwa kufanya mambo makubwa sana.
Yupo Jafo, Makame Mbarawa they are also doing there best...Jamaa anapiga kazi Sana
Tunaweza sema ndiyo man of the match kwenye serekali ya magu
Screen shot ya nini...??Tuwekee screen shot Tafadhali sana.
Ili kupata wastani wa nchi nzima ya usambazaji wa umeme, unajumlisha asilimia ya vijijini na mjini na unagawa kwa mbili. Tanzania mijini ni 90%, kwahiyo jumla kuu " Tanzania electricity connectivity ni 75 -80%.Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.
Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%
Basi nimeshaiona hii post yako ya tweeter, ilikua imekataa kufungua.Screen shot ya nini...??
Ni lini walipika?CCM ni wapishi maarufu wa data.. AKA chief chef màgufool
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.
Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%
[/QUOT
My first question, nani kaitaja Tanzania?Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini.
Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%