Umeme wa vijijini (REA) hiyo program ilipitishwa wakati wa kikwete kama sijakosea na tunachangia kwenye mafuta (petrol,diesel &kerosene) kwa ajili ya kuwezesha uungwanishaji umeme vijijini.Tungekuwa makini mpka sasa tulitakiwa vijiji vyote viwe vimeshapatiwa umeme maana gharama yake tayari imechangiwa na yeyote ambaye anatumia hizo bidhaa .Tuwapongeze kwa kuendeleza kwa kazi zaidi
Jambo kubwa ni la kupongeza kwa walipofikia na waongeze bidii ili watanzania wote waweze kupata umeme na ingependeza zaidi kama ofisi zote za serikali zingewekewa kipao mbele zikiwemo ofisi za serikali za mitaa ,mashule yote na zahanati zote japokuwa kiasi cha umeme ambacho kipo kwa sasa kipo chini ya viwango vinavyotakiwa kimataifa (UNESCO report) lakini kuendelee na uunganishaji then mradi wa bwawa la mto Rufiji litasaidia pindi likikamilika
Tuache kusema mara sisi ni wa kwanza sijui East Africa sijui Africa ,hayo yote hayasaidii chochote maana hakuna sehemu ambayo tunafanya mashindano, sisi tupambane kusaidia taifa hayo mambo ya sisi ni wanganpi hayasaidii chochote