Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

Huu ni upigaji debe wa kisiasa, hakuna takwimu zozote, yaani hamna namba hata moja inayoonesha tulikuwa wapi na sasa tupo wapi kulinganisha na wakenya. Hizi ni blaablaa za kisiasa kutoka CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…