Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Umeandika mambo meengi, lakin nataka nikuambie tu Mama Samia sio Magufuli, wametoka kwenye jamii na desturi tofauti..na jinsia tofauti. Hivyo acha kuaminisha watu ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta uzi yuko obsessed mnoo na Magufuli, Yaani yaliyotokea mpaka sasa haaamini kabisa.Nafikiri watu hawajamuelewa mleta uzi kwamba anachomaanisha Madame President alikua mgombea mwenza na aliihubiri ilani ya Hapa Kazi Tu hivyo ni ilani hiyo hiyo itakayofanya kazi mpaka 2025 atakapogombea na kuja na ilani yake.
Hii ni ukweli ila nafikiri approach zitatofautiana.
Binafsi nafikiri dalili kuu ya kwamba approach yake itakua tofauti ni kuachia mtandao (twitter).
Yaani kweli nimeamini watu wananunuliwa. Wapi yule Mwanakijiji aliyekuwa anajenga hoja kali? Huyu sasa ni feki, ana mawazo mgando. Kweli huu ni uandishi wa mkodishwaji, aliyepoteza mwelekeoTatizo ni kwamba at least as of now tunaanza kuona mwanga fulani, hakuna tena hotuba za kibabe, hakuna kutishiana maisha, Hakuna hotuba za kejeli na kujimwambafyi. Mama samia toka ameapishwa mpaka leo amesimamia misingi ya utawala bora na kufuata katiba.
Anajaribu kila awezalo kubalance mambo yet unaleta propaganda zako kwamba hakuna lililobadilika na kuwa everything is the same.
Nakuhakikishia this is the beginning of the new era/regime na kama usipobadilisha attitude yako you will soon loose relevance katika jamii ya wasomi wa makala zako na hao wanaokutuma wataacha kukutuma tena maana you will have lost your purpose and eventually be of no any use to them.
Saaafi sana!Mleta uzi yuko obsessed mnoo na Magufuli, Yaani yaliyotokea mpaka sasa haaamini kabisa.
Anatamani hata Magu afufuke ila ndio hivyo haiwezekani.
Wakati Magu haonekani alikuwa anatamani adorably kwamba, ' .......mara paaa Magu anatokea hadharani kwa zile mbwembwe zake anafanya ziara ua kushtukiza huku akiwa LIVE kwenye media"
Kwahiyo mleta mada amepata wenge, yaani sijui Magu aliwaahidi nini aisee.
Hapo alipo anataka tu kulazimisha Samia awe Magu, ili ajipe faraja ya nafsi jambo ambalo haliwezekani.
Hata mapacha hawawezi kabisa kuwa hivyo.
Magu is no more, get used to it.
Mzee, Wakati wanaujaribu uvumilivu wa JPM uliwaunga mkono?FM, hii hatari wanaitengeneza wenyewe. Sasa hivi walitakiwa waanze kujipanga kudai wanachotakiwa kudai.. wanatakiwa waujaribu uvumilivu wa Rais Samia.
Na kweli yanafurahishaWewe kama Magufuli, enzi zenu zimepita. Tulia uone na msikilize yajayo yanavyofurahusha
YesMleta uzi yuko obsessed mnoo na Magufuli, Yaani yaliyotokea mpaka sasa haaamini kabisa.
Anatamani hata Magu afufuke ila ndio hivyo haiwezekani.
Wakati Magu haonekani alikuwa anatamani adorably kwamba, ' .......mara paaa Magu anatokea hadharani kwa zile mbwembwe zake anafanya ziara ua kushtukiza huku akiwa LIVE kwenye media"
Kwahiyo mleta mada amepata wenge, yaani sijui Magu aliwaahidi nini aisee.
Hapo alipo anataka tu kulazimisha Samia awe Magu, ili ajipe faraja ya nafsi jambo ambalo haliwezekani.
Hata mapacha hawawezi kabisa kuwa hivyo.
Magu is no more, get used to it.
Mbona keshasema mara nyingi tu.Tatizo Mkuu ni kuwa shutuma hizi zilianza mapema na sikumbuki kama uliwahi kusema kuwa wewe sio msukuma wakati wa utawala wa Marehemu.
Amandla....
Wewe umemuelewa vizuri sana. Na hivyo ndivyo nilivyomuelewa mimi pia.Nafikiri watu hawajamuelewa mleta uzi kwamba anachomaanisha Madame President alikua mgombea mwenza na aliihubiri ilani ya Hapa Kazi Tu hivyo ni ilani hiyo hiyo itakayofanya kazi mpaka 2025 atakapogombea na kuja na ilani yake.
Hii ni ukweli ila nafikiri approach zitatofautiana.
Binafsi nafikiri dalili kuu ya kwamba approach yake itakua tofauti ni kuachia mtandao (twitter).
Mlikimbia kumfuata JPM sasa hivi hamuelewi mkimbilie wapi na mfuate nani.. watu waliokuwa wampinga JPM na sasa wanamuunga Mama mkono .. mmeanza kuwafuata na kuwatabiria kugeuka.. poleni sana.. Mlikotoka mliharibu mlikokimbilia hamuaminiki tena.Mimi nipo na [emoji897] naangalia hizi moves! Speculations, determinations, Political analysis atmosphere [emoji41] ...ngoja niongeze na [emoji477]