Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

Lakini Magufuli alitofautiana na Kikwete
Walitofautiana kwa mtindo upi?
Mkuu uliipata nafasi ya kusikiliza speech ya Mh. Kikwete kwenye maziko ya late Dr. Magufuli?? Kama ukupata kumsikiliza tafuta ile hotuba alafu utaelewa kama walitofautiana au walikuwa pamoja.
 
Kejeli,dharau,ubaguzi na kujimwambafai.
Plz tafuta hotuba ya mheshimiwa Kikwete ile aliyoitoa pale chato wakati wa maziko ndio utanielewa. Alafu late Dr. Magufuli hakuwa malaika kama ulivyo wewe na mim na watu wengine, alikuwa na mazuri yake na mabaya yake pia
 
Plz tafuta hotuba ya mheshimiwa Kikwete ile aliyoitoa pale chato wakati wa maziko ndio utanielewa. Alafu late Dr. Magufuli hakuwa malaika kama ulivyo wewe na mim na watu wengine, alikuwa na mazuri yake na mabaya yake pia
Kikwete alikuwa na akili yule mwingine alikuwa mzee wa kukurupuka,kujivuna,kujimwambafai,mwizi,fisadi,kwa kisingizio cha mtetezi wa wanyonge.
 
Honey trap ...nawasoma wanavyoshangilia hadi natamani isiwe kweli! Huyu atawachinja huku akiwalambisha asali ...[emoji41] tuendelee kutunza kumbukumbu zao ...[emoji41]
Kumbe ulipenda aliyepita alivyokua anawachinja waTanzania !? MTAZAMO
 
2025 hakuna kusimamisha mgombea, Madam President MITANO tena.
 
Wataelewa tu hawa. Rais anakua na uchama hadi anawakera hata wa chama chake!!?
 
Hebu tuondolee UUMBAVU wako hapa!!! Hizo makala zako za kipuuzi peleka Lumumba.
 
Tumuache mama aongoze nchi kulingana na mapenzi yake. Hii habari ya chama ni kile kile sijui sera ni zile zile, hiyo ni ya wale waimba mapambio. Kila zama na kitabu chake Mzee Mwanakijiji
 
Kwa mshangilio huo,inawezekana hata 2025 wasishiriki uchaguzi mkuu. Watamuacha mama Samia apite
Bado Wana Imani kubwa Sana na ccm

Mungu fundi
CCm alikuwa mshindi wa uchaguzi....Leo cdm MUNGU amewashindisha uchaguzi
 
Kikubwa watu walichokuwa watumwa wanapigania au kutafuta ni utawala wa haki na unaoheshimu katiba.
Kwa mwanzo wa mama Samia rais wa JMT ameanzavizuri kwa viashiria vya utawala wa haki, katiba na kuheshimu utu.
Sasa huyu ndie rais anaetakiwa sii na chama chake au upinzani, sii na dini yake au nyinginezo, sii na kabila lake au mengineyo sii na mabwana au watwana bali na watanzania.
Rais ni rais wa nchi full stop.
Hayo mengine yanayoibuka kwa mapambio ni ya waganga njaa kama alivyoainisha staafu rais Kikwete.
Mtoa post usitake kujikomba ili utupiwe fupa, huyu sii rais mpenda sifa za kijinga.
Ni afadhali ukubali kama bana Kheri J. Kuomba radhi na kuahidi kukubali mwanzo mpya japo ombi lina mawili.
Moja ;kukubaliwa au
Pili; kukataliwa.
 
Good question. Uzuri toka 2015 tuna wa prove wrong. Hawa hawana muda mrefu wataanza kumkumbuka JPM. Kila utawala una agenda zake hata kama ilani ni ile ile.
..we ni fa.la kigeugeu mfata upepo wa tangu enzi za kina slaa...sasa inabidi ujipange uanze upya kufata upepo mpya...Yani unatia kinyaa...uliyekuwa unashoboka nae sasa hayupo...Anza upya..wewe ndie umekua proved wrong...si mlitaka aendelee kukanyaga katiba ...alafu baadae mumuongezee mda...Mungu kasema No...hataki ushetani tz ...nchi ya watu wapole wasiostahili uonevu...
 
Bado namkumbuka yule jamaa aliyeambiwa na Rais hadharani "baki na m.av.i yako nyumbani"

.....simuoni huyu mama akidhalilisha watu kwa namna hivyo! Unless tunasema hizo ndizo "agenda" za CCM ambazo mama lazima azitekeleze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…