Kikubwa watu walichokuwa watumwa wanapigania au kutafuta ni utawala wa haki na unaoheshimu katiba.
Kwa mwanzo wa mama Samia rais wa JMT ameanzavizuri kwa viashiria vya utawala wa haki, katiba na kuheshimu utu.
Sasa huyu ndie rais anaetakiwa sii na chama chake au upinzani, sii na dini yake au nyinginezo, sii na kabila lake au mengineyo sii na mabwana au watwana bali na watanzania.
Rais ni rais wa nchi full stop.
Hayo mengine yanayoibuka kwa mapambio ni ya waganga njaa kama alivyoainisha staafu rais Kikwete.
Mtoa post usitake kujikomba ili utupiwe fupa, huyu sii rais mpenda sifa za kijinga.
Ni afadhali ukubali kama bana Kheri J. Kuomba radhi na kuahidi kukubali mwanzo mpya japo ombi lina mawili.
Moja ;kukubaliwa au
Pili; kukataliwa.