Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

Utopolo mtupu
 

na CCM iko pale pale kuwanyoosha

na hivi wako madarakani,
Hayo ni maswali gani unauliza sasa. Kwahiyo nyie mlipenda alivyoburuza vitu. And you needed him? Go get him....
he is alive mkuu, unless haujagundua bado

utamsema JPM mpaka unakufa
 
Sisi huku tuna agenda ya Tanzania.

Mama Samia Suluhu Hassan anaendelea kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi yenye kurasa 303 kama alivyafafanua Mzee Mangula,makamu mwenyekiti wa CCM.
 
Kwenye msiba ndio tumeona reality ni kiasi gani Magufuli alikuwa anakubalika na wananchi wengi, pamoja na upotoshaji mkubwa uliofanywa na chadema mitandaoni.

watu tunampenda Magufuli for life ata mmchafue vipi..tunajua alivyotupenda na kutupigania
ulikuwa unapokonywa mpka akawa anakupigania kama mpira wa kona
 
Kwenye msiba ndio tumeona reality ni kiasi gani Magufuli alikuwa anakubalika na wananchi wengi, pamoja na upotoshaji mkubwa uliofanywa na chadema mitandaoni.

watu tunampenda Magufuli for life ata mmchafue vipi..tunajua alivyotupenda na kutupigania
Na pia double standard zake tumeziona jana.
Unazungumzia kugalagala kwa hawa wanyonge waliokataa mfumo wa vyama vingi 1992 sababu utaleta vita?
Hawa wakihamasishwa chochote wanafuata ndio unawasemea?
Pia Tanzania ina watu milioni siitni unaweza kuleta idadi halisi ya waliomlilia au mnajifariji tu?
Nimekuuliza mpk wanadanganywa wao hawakuwepo wakati Magu akiongoza wakampima?
Haya kiongozi wenu wa Mataga leo kaomba msamaha unasema hapo?
Tunahitaji somo la critical thinking kuanzia shule ya msingi sababu hali ni mbaya Sana.
Sasa huyu naye ana degree yake hapo lumumba anasubiri uteuzi!!!
 
Upuuzi mtupu,ukweli ni kwamba Marehemu aliinvest sana kwenye ulaghai na propaganda
 
na CCM iko pale pale kuwanyoosha

na hivi wako madarakani,

he is alive mkuu, unless haujagundua bado

utamsema JPM mpaka unakufa
Uchaguzi wa viongozi hapa ni kama kujaamiana. kama ukijaamiana kwa utimamu wa mwili na akili, unatengeneza na kuimarisha mahusiano mazuri;kama ukilazimisha, unamuumiza mwenzako, unakera, unachukiza , unamchubua mwenzako na kama ni upande mmoja tu unashiriki katika hilo tena, wanaita kupiga punyeto politikali (kujichua).

Mwandishi wetu
 
Ni wazi hujui tofauti ya kinachotokea kufuatia uchaguzi na hili lililotokea.. ntaacha wengine watusaidie.
You are completely getting stunt,huna hoja unajichedua tu,atakumbukwa kwa Mema yake lakin utapeli na ulaghai wa serikali lazima usemwa,acha kujifariji!Unamlinganishaje jiwe na Mama Samia?Achilia mbali individual character trait lakin Ms hawez kuwa sawa na Magufuli.Nia yenu mnataka kuspin ili mama achukiwe iwe kama jiwe,atachukiwa kwa sbb ya tofauti ya interest lakin hawez kuwa km jiwe!Bangladeshi wew
 
Banyarwanda rudini kwenu muda wenu umeisha mijitu gani mikatili hivi...na watatolewa mmoja baada ya mwingine mnasingizia kwenu Ngara sio
 
Kwa nin tudanganywe Ina faida ya 28 billion,?

Mliambiwa lini na ni faida ya kipindi gani? Hesabu za fedha zinakwenda kwa kipindi. Kuwa na faida kipindi kimoja haina maana kwamba vipindi vingine vyote vitakuwa na faida pia!
 
Mnataka SAMIA akifanya vzr ndio apondewe..? (ujinga gani huu mnao?)

Na hata akikosea hatutanyamaza kama nyie WANAFIKI... RAIS ni binadamu anakosea pia.

Sio yule mungu wenu wa CHATO kila jambo lake apongezwe tu hata kama la hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…