Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

Umenena vyema mkuu, nawahurumia wapinzani jinsi wanavyoweweseka. Hakika hawataamini macho yao.
 
Comrade Mangula alishayasema haya yote, ktk uongozi wa mama Samia hakuna kitakachobadilika kwenye upande wa utekelezaji wa SERA, tofauti itakua ni katika ubunifu na kasi ya utekelezaji tu.

Huo ndio kweli mwenyewe ingawaje ni mchungu kuumeza.
 
Nitadharau hilo la kuniambia kuwa siwajui watanzania wakati mimi mwenyewe ni mtanzania.

Unamfokea kama ulikuwa unampelekea pesa za kutengeneza hilo daraja na hafanyi hivyo.

Kuna taratibu za kuwashughulikia watumishi wazembe, kufokeana hasharani si mojawapo.

Wengi tu walionewa kwa sababu viongozi wengi waliiga tabia hii. Na wengi hawakuishia kuwafokea tu bali wali wasweka ndani. Makandarasi wameswekwa ndani kwa kutokamilisha miradi wakati wanaidai serikali mabilioni!

Amandla....
Wengine walichapwa viboko, ndio utaratibu huo? Kwasababu ya viburi vya wateule walivyopewa na mteua. Hapana kwa kweli tulishachoka, Kumuona binadamu mwenzako anachapwa hakuna tofauti na kukumbushiana enzi za utumwa na ukoloni.
 
Kwani aliyeharibu hii nchi ni mpinzani? Watu wanafurahi kwani wanajua nchi iko kwa MTU smart wa kufuata sheria na siyo wale wauaji na wezi wa kanda ile.
Tatizo hao wanaojiita wapinzani wala hajui wanataka nini na wanapinga nini, late Dr. Magufuli na H.E Samia are the same. Manifesto ya CCM hakuinadi late Dr. Magufuli peke yake bali hata H.E Samia pamoja na PM Majaliwa waliinadi kwa pamoja.

Note kitabu ni kile kile ila cover ndio mpya so sitashangaa hao wanaojiita wapinzani wakianza kumkejeli, kumnanga na kumsema vibaya H.E Samia.
 
Hizi zilizopo sasa ni hisia tu.

Na ‘upya’ wa Samia.

Baada ya muda akili zitawarudia na watarudi kwenye uhalisia.

CCM ni ileile.
 
Unatamani watu wendelee kuishi maisha yale ya kitemi?
 
Hizi zilizopo sasa ni hisia tu.

Na ‘upya’ wa Samia.

Baada ya muda akili zitawarudia na watarudi kwenye uhalisia.

CCM ni ileile.
Hakika mkuu ubarikiwe, umesema vyema sana. Kuna watu wanahutaji rocket science ndio waweze kutambua kipi ni kipi. Ni suala la muda tu Nyani ngabu, wataelewa tofauti ya pundamilia mweupe mwenye mistari meusi na pundamilia mweusi mwenye mistari meupe.
 
Hizi zilizopo sasa ni hisia tu.

Na ‘upya’ wa Samia.

Baada ya muda akili zitawarudia na watarudi kwenye uhalisia.

CCM ni ileile.
Magufuli aalivyoanza tu wakasema natekeleza ilani yao, na walimsifia hao
 
Ahsante sana Binti Kiziwi Mwenyezi Mungu katunusuru na maovu na dhuluma nyingi za kutisha kutoka kwa yule dhalimu na vikaragosi vyake. Sasa ni Tanzania ya Watanzania hakuna tena Tanzania ya dikteta.
Wengine walichapwa viboko, ndio utaratibu huo? Kwasababu ya viburi vya wateule walivyopewa na mteua. Hapana kwa kweli tulishachoka, Kumuona binadamu mwenzako anachapwa hakuna tofauti na kukumbushiana enzi za utumwa na ukoloni.
 
Nafikiri watu hawajamuelewa mleta uzi kwamba anachomaanisha Madame President alikua mgombea mwenza na aliihubiri ilani ya Hapa Kazi Tu hivyo ni ilani hiyo hiyo itakayofanya kazi mpaka 2025 atakapogombea na kuja na ilani yake.

Hii ni ukweli ila nafikiri approach zitatofautiana.

Binafsi nafikiri dalili kuu ya kwamba approach yake itakua tofauti ni kuachia mtandao (twitter).
Tunatamani angekuwa amemaanisha hivyo lakini sivyo alivyomaanisha. Msome kwa kituo huyu mzee MM. Hicho unachokisema wewe wengi kama si wote wanakifahamu, na zaidi sana Atekeleze Ilani, Sababu kuna mambo yamefanyika mengi yahajakuwepo kwenye ilani na hawa hawa CCM kwa unafiki wao hawakuweza kumuuliza mwenyekiti kwanini hatekelezi ilani badala yake anatekeleza ilani yake ndani ya ilani ya chama.
 
Sidhani kama kutatokea tofauti kubwa; ikitokea ni ya kwenda mbele zaidi... binafsi natarajia kukaza uzi kweli kweli maana mama Samia atahukumiwa zaidi kwa jinsi gani anaenda mbele kuliko kama atarudi nyuma. Mabadiliko hapa si kama ya Trump to Biden...
Mabadiliko ya kwenda mbele ni pamoja na kukuza demokrasia na kuleta umoja wa kitaifa, ambavyo vilidorola kama siyo kufa kabisa. Tunakwenda na Madam President kwa maendeleo ya Watanzania wote, siyo uCCM.
 
Tatizo hao wanaojiita wapinzani wala hajui wanataka nini na wanapinga nini, late Dr. Magufuli na H.E Samia are the same. Manifesto ya CCM hakuinadi late Dr. Magufuli peke yake bali hata H.E Samia pamoja na PM Majaliwa waliinadi kwa pamoja.

Note kitabu ni kile kile ila cover ndio mpya so sitashangaa hao wanaojiita wapinzani wakianza kumkejeli, kumnanga na kumsema vibaya H.E Samia.
Lakini Magufuli alitofautiana na Kikwete
 
Tumerudi kulekule
Imani na Ukabila
Hii ilikuwa wakati wa Kikwete sasa Mama naye mnataka kuanza kuingiza vijineno
Huu umoja mshikamano mnaouhubiri ni upi?
Mama amekosa nini na wapi mpaka watu waanze kumnyima raha?
Akikosea ataambiwa atashauriwa
Sasa mlitaka watu waendeleze chuki?

Iko hivi Mkuu
Watu waliumizwa sana
Kuiponya roho au moyo ni kujiambia 'kuko na nafuu labda tutapumua'
Mama hajamkosea mtu au niseme wananchi so why kumsimanga

Ni moyo wa mtu
Moyo wa Magu sio Moyo wa Mama

Hii ilani sijui itikadi yenu ni ya kuumiza watu ama mie sielewi
Huyu ni Mwanamke Ni Mama hivyo watu wanajipa matumaini atawalea WaTz kwa huruma Upendo mapungufu pia.

Msiwatishe watu
Wengine hatuna vyama tunaunga mkono yeyote mwenye Upendo Huruma na Wananchi sio kufokeana na mengine mnayajua
Tupendane hapo kiduchu kha!
Cc Mzee Mwanakijiji
 
yaani, unafikiri kuna mtu anaweza kunituma kuandika kitu? yaani wiki hii tu tayari mmejua hakuna tena ubabe au kutishana maisha... ngoja awageuka mtamsemaaaa...
Watanzania wote tunakwenda na Madam President, mengine endeleeni nayo nyinyi watu wa sera za CCM. Akimaliza hii ngwe tunamtaka MITANO TENA.
 
Very well said Pakawa. Thank you!

Back
Top Bottom