Tanzania ya sasa: Akina Steve Nyerere wana nguvu kuliko Prof Mkenda? Steve Nyerere ana mchango upi?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ndugu Mtanzania ,ambaye hata hujafika Sekondari!.

Taasisi inayoshughulika na Usalama wa Nchi Kwa aina zake yaaan

Usalama wa Chakula
Usalama wa Ajira ya Watanzania
Usalama wa Kijamii (Elimu, Afya, Tamaduni )
Usalama wa Energy ( Umeme, Mafuta, Gas )
Usalama wa Mali Asili za Nchi Kwa aina zake
Usalama wa Kiuchumi Kwa aina zake
Usalama wa Kisiasa
Usalama wa Utulivu wa Nchi dhidi ya Ugaidi, Harakati zozote zinazoweza kutishia Existence vya Nchi n.k

Mambo ni mengi !!

Cha Ajabu ni Kwamba STEVE MANGELA A.K.A STEVE NYERERE. Eti naye ni Mwanachama , unajiuliza, Ukiachilia mbali Uchawa na Michongo ya Kishirikina kutafuta Waganga, na Udalali wake ambao amekua akifanya, Huyu Steve , anaweza kua na MCHANGO GANI KWENYE TAIFA KAMA MWANAUSALAMA?.

Tumerogwa !!.

Ulietegema Taasisi iwe na Think Tanks , iwe na vichwa Vinavyoiona Nchi katika Sura ya Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, Katika Sura ya Kiroho, Watu ambao ni Pro Active , Watu aina ya MPINA, LISSU, GWAJIMA , ni watu ambao ni TUNU , Wanatakiwa kutumika , badala yake tunalinda wale wanaopiga kelele, mamaa mamaa mama mamaa??.

Huu uchawa inawezekana umeingia hata Kwa TMI , Uchawa Huu huuu umefanya Nchi ichafuliwe Duniani, Uchawa Huu huu ,unawapofusha viongozi kiasi Cha kutoona Hatari iliyoko mbele !

Nirudie kusema, kwa taarifa za uhakika kabisa, marekani na ulaya, hawatautambua uchaguzi mkuu 2025, ikiwa chadema haitashiriki , nadhani matokeo ya hili jambo ,kila mtu analijua!!.

Endeleeni Kuwategemea Machawa ambao kazi kubwa ni kuwaletea Waganga na kuwafitin .
 
Kwenye idara ya usalama lazima kuwe na watu wa kila aina ili kupata taarifa ktk kila kundi (machizi, vilaza, wasomi, wafanyabiashara, wasanii, wakulima, wavuvi n.k).

Steve Nyenyere (siyo Nyerere) kuwa mwanausalama mm sioni shida. Shida naiona pale ambapo Steve Nyenyere anakuwa ndiyo mshauri wa rais na serikali yake.

Eti huyu KILAZA ndiye anatolea ufafanuzi na kukemea masuala mazito yanayoendelea nchini.
 
Kwenye idara ya usalama lazima kuwe na watu wa kila aina ili kupata taarifa ktk kila kundi (machizi, vilaza, wasomi, wafanyabiashara, wasanii, wakulima, wavuvi n.k). Steve Nyenyere (siyo Nyerere) kuwa mwanausalama mm sioni shida. Shida naiona pale ambapo Steve Nyenyere anakuwa ndiyo mshauri wa rais na serikali yake. Eti huyu KILAZA ndiye anatolea ufafanuzi na kuemea masuala mazito yanayoendelea nchini.
******** ebu kuwen serious
 
Anasifaa za kwendaa kugawaa hzi Kwa wananchi wenyeee njaaa ya tumbo na akilii mkuu.🤔🤔
FB_IMG_1750625226655.jpg
 
Hii ndio taswira ya mfumo wa utendaji katika taifa hili.

Vitu kama hivi havija anza leo wala jana , na sababu kuu ni viongozi hawajali lolote isipo kuwa linalo wawezesha kubako katika madaraka.

Viongozi wanatafuta madaraka zaidi sikufanya cha bora cha kuacha kumbukumbu vizazi vijavyo bali mustakabali wa maslahi yao binafsi na walio wao.

Ni katika muktadha watu kama wakina Steve wanapewa majukwaa kuliko maprofesa na wanazuoni na wachambuzi na wataamu wa mambo.
 
Ndugu Mtanzania ,ambaye hata hujafika Sekondari!.

Taasisi inayoshughulika na Usalama wa Nchi Kwa aina zake yaaan

Usalama wa Chakula
Usalama wa Ajira ya Watanzania
Usalama wa Kijamii (Elimu, Afya, Tamaduni )
Usalama wa Energy ( Umeme, Mafuta, Gas )
Usalama wa Mali Asili za Nchi Kwa aina zake
Usalama wa Kiuchumi Kwa aina zake
Usalama wa Kisiasa
Usalama wa Utulivu wa Nchi dhidi ya Ugaidi, Harakati zozote zinazoweza kutishia Existence vya Nchi n.k

Mambo ni mengi !!

Cha Ajabu ni Kwamba STEVE MANGELA A.K.A STEVE NYERERE. Eti naye ni Mwanachama , unajiuliza, Ukiachilia mbali Uchawa na Michongo ya Kishirikina kutafuta Waganga, na Udalali wake ambao amekua akifanya, Huyu Steve , anaweza kua na MCHANGO GANI KWENYE TAIFA KAMA MWANAUSALAMA?.

Tumerogwa !!.

Ulietegema Taasisi iwe na Think Tanks , iwe na vichwa Vinavyoiona Nchi katika Sura ya Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, Katika Sura ya Kiroho, Watu ambao ni Pro Active , Watu aina ya MPINA, LISSU, GWAJIMA , ni watu ambao ni TUNU , Wanatakiwa kutumika , badala yake tunalinda wale wanaopiga kelele, mamaa mamaa mama mamaa??.

Huu uchawa inawezekana umeingia hata Kwa TMI , Uchawa Huu huuu umefanya Nchi ichafuliwe Duniani, Uchawa Huu huu ,unawapofusha viongozi kiasi Cha kutoona Hatari iliyoko mbele !

Nirudie kusema, kwa taarifa za uhakika kabisa, marekani na ulaya, hawatautambua uchaguzi mkuu 2025, ikiwa chadema haitashiriki , nadhani matokeo ya hili jambo ,kila mtu analijua!!.

Endeleeni Kuwategemea Machawa ambao kazi kubwa ni kuwaletea Waganga na kuwafitin .
Siongezi Wala kupunguza kitu 👍
 
Steve Nyenyere huyu ni kuwadi mbobevu kazi yake kubwa ilikuwa kuwakuwadia viongozi wa chama na serikali mademu wasanii ndiyo kilichomfanya kuwa karibu na wakubwa wengi.
 
Hii kwa tz hii wenda haiwezi kuisha kamwe, mnaona namna gani ,chadema ilikua inaelekea shimoni, ila walikuepo wapamba mapambio nikiwemo mimi( mungu anisamehe sana, nilipumbazwa sana chini ya Mbowe ) aliitwa Mwamba kumbe ulikua uhuni tu kwa wa watu wachache waliomzunguka kama kweli hili tulikua hatujui.

Leo ikafika mda na bado inaendelea kutaka piga chama mnada, wakuu inaumiza.

Mpaka sasa siamini kama Mbowe ni mhusika mpaka mwisho wa hili. Siamini na sio kweli Kwa sasa binafsi.

Wako wapi Nyeriko Nyerere, je wapo na uwezo wa kukifua nguo chama ichi amabacho kimewavika ngauo kweli, ?

Wakuu Mungu yupo na chama ichi Mungu mwalimu asema Bwana , watashindana ila hawataweza asema Bwana
 
Ndugu Mtanzania ,ambaye hata hujafika Sekondari!.

Taasisi inayoshughulika na Usalama wa Nchi Kwa aina zake yaaan

Usalama wa Chakula
Usalama wa Ajira ya Watanzania
Usalama wa Kijamii (Elimu, Afya, Tamaduni )
Usalama wa Energy ( Umeme, Mafuta, Gas )
Usalama wa Mali Asili za Nchi Kwa aina zake
Usalama wa Kiuchumi Kwa aina zake
Usalama wa Kisiasa
Usalama wa Utulivu wa Nchi dhidi ya Ugaidi, Harakati zozote zinazoweza kutishia Existence vya Nchi n.k

Mambo ni mengi !!

Cha Ajabu ni Kwamba STEVE MANGELA A.K.A STEVE NYERERE. Eti naye ni Mwanachama , unajiuliza, Ukiachilia mbali Uchawa na Michongo ya Kishirikina kutafuta Waganga, na Udalali wake ambao amekua akifanya, Huyu Steve , anaweza kua na MCHANGO GANI KWENYE TAIFA KAMA MWANAUSALAMA?.

Tumerogwa !!.

Ulietegema Taasisi iwe na Think Tanks , iwe na vichwa Vinavyoiona Nchi katika Sura ya Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, Katika Sura ya Kiroho, Watu ambao ni Pro Active , Watu aina ya MPINA, LISSU, GWAJIMA , ni watu ambao ni TUNU , Wanatakiwa kutumika , badala yake tunalinda wale wanaopiga kelele, mamaa mamaa mama mamaa??.

Huu uchawa inawezekana umeingia hata Kwa TMI , Uchawa Huu huuu umefanya Nchi ichafuliwe Duniani, Uchawa Huu huu ,unawapofusha viongozi kiasi Cha kutoona Hatari iliyoko mbele !

Nirudie kusema, kwa taarifa za uhakika kabisa, marekani na ulaya, hawatautambua uchaguzi mkuu 2025, ikiwa chadema haitashiriki , nadhani matokeo ya hili jambo ,kila mtu analijua!!.

Endeleeni Kuwategemea Machawa ambao kazi kubwa ni kuwaletea Waganga na kuwafitin .
Huyo Lissu labda ni tunu ya makalio yako!!
 
Back
Top Bottom