Ndugu Mtanzania ,ambaye hata hujafika Sekondari!.
Taasisi inayoshughulika na Usalama wa Nchi Kwa aina zake yaaan
Usalama wa Chakula
Usalama wa Ajira ya Watanzania
Usalama wa Kijamii (Elimu, Afya, Tamaduni )
Usalama wa Energy ( Umeme, Mafuta, Gas )
Usalama wa Mali Asili za Nchi Kwa aina zake
Usalama wa Kiuchumi Kwa aina zake
Usalama wa Kisiasa
Usalama wa Utulivu wa Nchi dhidi ya Ugaidi, Harakati zozote zinazoweza kutishia Existence vya Nchi n.k
Mambo ni mengi !!
Cha Ajabu ni Kwamba STEVE MANGELA A.K.A STEVE NYERERE. Eti naye ni Mwanachama , unajiuliza, Ukiachilia mbali Uchawa na Michongo ya Kishirikina kutafuta Waganga, na Udalali wake ambao amekua akifanya, Huyu Steve , anaweza kua na MCHANGO GANI KWENYE TAIFA KAMA MWANAUSALAMA?.
Tumerogwa !!.
Ulietegema Taasisi iwe na Think Tanks , iwe na vichwa Vinavyoiona Nchi katika Sura ya Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, Katika Sura ya Kiroho, Watu ambao ni Pro Active , Watu aina ya MPINA, LISSU, GWAJIMA , ni watu ambao ni TUNU , Wanatakiwa kutumika , badala yake tunalinda wale wanaopiga kelele, mamaa mamaa mama mamaa??.
Huu uchawa inawezekana umeingia hata Kwa TMI , Uchawa Huu huuu umefanya Nchi ichafuliwe Duniani, Uchawa Huu huu ,unawapofusha viongozi kiasi Cha kutoona Hatari iliyoko mbele !
Nirudie kusema, kwa taarifa za uhakika kabisa, marekani na ulaya, hawatautambua uchaguzi mkuu 2025, ikiwa chadema haitashiriki , nadhani matokeo ya hili jambo ,kila mtu analijua!!.
Endeleeni Kuwategemea Machawa ambao kazi kubwa ni kuwaletea Waganga na kuwafitin .