Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Tunanunua ndege kwanzayani hii tanzania sio kabisa. ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tuna teleza tu huta amini. barabara ni mbovu sana.
watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali iki badilika , safari ya siku 3 itakuwa ya week.
this is shameful hatuna high hata moja nzima, ni potholes Na kuna mikoa uwezi kwenda in 2025.
maji shida, umeme shida in 2025, really??? 2025 dunia ya ai
this is 2025 tuna ishi hivi,
wabunge kimya, kama wote akili zimewatoka .
miaka 70 shida ni maji, umeme na barabara, like they did nothing for 70 years.WATOTO WA 2000 HAMJUI UBOVU WA BARABARA..AU BASI
Nyerere alikoenda asirudi kabisaaaNa mbaya zaidi chura hana muda n watanganyika. YY akistafu anaenda zake zenji.
Kazi ni kipimo cha utu