Tanzania ya sasa ina watekaji na watekwaji. Hatuko pamoja

Tanzania ya sasa ina watekaji na watekwaji. Hatuko pamoja

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kuna wanao taka kusema Wakenya wanatutukana sio kweli! Wanatukana watanzania watekaji sio watanzania watekwaji.

Tumeona wabunge wanataka utekaji, mauaji na ubakaji uendelee. Hawa sio wenzetu ni watekaji

Kuwa sisi ambao wakati wowote wewe, ndugu yako yeyote anaweza kutekwa, kubakwa, kuuliwa na kupigwa bila sababu yeyote na kufuata sheria yeyote.

Huwezi kusema tuwe pamoja. Gwajima amesha shutukia hilo na kujiondoa kwa kundi la watekaji. Sasa Gwajima naye ameingia kundi la watekwaji awe makini
 
Inafurahisha kuona wakenya Wana uchungu na Tz kuliko waTZ wenyewe.
 
Back
Top Bottom