Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana



Tofauti na kiwanda kinachotengeneza piki piki za SANLG, kuna kiwanda kingine kikubwa ambacho kinatengeneza magari kinachoitwa HIGER. Hiki ni kiwanda kinachopatikana nchini UCHINA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ.

Hiki ni kiwanda cha magari kilichoanzishwa mwaka 1998 na bidhaa zake zilianza kuingia TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ mwanzoni mwa miaka ya 2010. Hiki ni kiwanda cha kutengeneza magari kinachomilikiwa na SERENGETI yaani CHUI kupitia HAYATI MWALIMU.

Kwahiyo utaona ni jinsi gani SERENGETI yaani CHUI walivyo vizuri kiuchumi na anayefuatia kwa mbali ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kwa sababu na wao wana kiwanda cha kutengeneza magari kinachoitwa BANBROS. Hiki ni kiwanda kinachopatikana nchini KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช.

Kwahiyo, hii SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa familia ya HAYATI MWALIMU wana mambo yao ambayo sio vyema kuyaanika hadharani kwa sababu wao wanaenda mbio ndefu, yaani kizazi hadi kizazi.

Na hawa SERENGETI yaani CHUI kupitia familia ya HAYATI MWALIMU walichagua "NAMBA TASA" yaani "PRIME NUMBER" katika vizazi vyao kuanzia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe.

Yaani ni hivi - alianza HAYATI MWALIMU kuwa mwenyekiti wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ na RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, atakayefuatia atakuwa ni MJUKUU yaani kizazi cha tatu [ 3 ] baada ya HAYATI MWALIMU.

Na baada ya MJUKUU yaani kizazi cha tatu baada ya HAYATI MWALIMU, kizazi kitakachofuata kitakuwa ni kizazi cha tano [ 5 ] baada ya HAYATI MWALIMU.

Kwahiyo, haya mambo ndio huwa yapo hivyo - familia kama hizi zinaweza kuchagua kuwa ni "NAMBA TASA" yaani "PRIME NUMBER" au "NAMBA SHUFWA" yaani "EVEN NUMBER" katika kurithishana vyeo vya kisiasa kama kuwa RAIS au kiutamaduni kama kuwa CHIFU.

Ukijaribu kurithisha kwa "MTAWALIO" au "MFULULIZO" yaani "CONSECUTIVELY" vyeo vya kisiasa kama kuwa RAIS au kiutamaduni kama kuwa CHIFU utakwama! Ndio maana wataalamu wa haya mambo ya kijamii na mahusiano ya watu wanashauri kupeana nafasi kizazi kimoja hadi kizazi kingine ili kupata nafasi ya kujiandaa vizuri iwe ni kujiandaa kifamilia, kiuchumi au kisiasa.

Haya mambo ndio huwa yanaenda hivyo, hasa kwenye FAMILIA ZA KISIASA na FAMILIA ZA KIJESHI. Kwenye FAMILIA ZA KISIASA huwa kuna baadhi ya vyeo, sio vyeo vyote ambavyo unashauriwa kufanya hivi. Vyeo hivyo ni URAIS, UWAZIRI MKUU na USPIKA WA BUNGE.

Kwa upande wa FAMILIA ZA KIJESHI huwa kuna baadhi ya vyeo, sio vyeo vyote ambavyo unashauriwa kufanya hivi. Vyeo hivyo ni UKUU WA MAJESHI, UNADHIMU WA MAJESHI na VIONGOZI WA KOMANDI [ kwa mfano kiongozi wa komandi ya jeshi la nchi kavu au kiongozi wa komandi ya jeshi la anga ].

Kwahiyo hawa SERENGETI yaani CHUI kupitia HAYATI MWALIMU waliamua kufuata mfumo wa "NAMBA TASA" yaani "PRIME NUMBER" katika kurithisha nafasi za kisiasa. Na sio ajabu kwa siku za mbeleni CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kikapata MWENYEKITI ambaye ni MJUKUU WA HAYATI MWALIMU, na sio MTOTO WA HAYATI MWALIMU kama watu wengi walivyo tazamia.
 
Hii ni video inayoeleza jinsi kiwanda cha HIGER kinavyofanya kazi na kuzalisha magari yake. Na magari yake sasa hivi yanapatikana ulimwengu mzima.

Hii ni hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa upande wa SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa familia ya HAYATI MWALIMU.

Na hata hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanamiliki kiwanda cha BANBROS kinachotengeneza magari na kinachopatikana nchini KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช na bidhaa zao zimeenea upande wa AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI.

Na muda sio mrefu hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wataanza kutumia magari wanayoyatengeneza wao katika shughuli zao za kila siku kama viwandani na mashuleni, kwa sababu kama umeona shule za KAIZIREGE na KEMEBOS wanatumia mabasi ya MARCO POLO SCANIA ni mabasi mazuri lakini kiuchumi ilibidi watumie bidhaa zao wenyewe kutoka BANBROS ili kutangaza soko na kukuza uchumi wa kiwanda.



Kwahiyo yale mabasi ya MARCO POLO SCANIA ya KAIZIREGE na KEMEBOS yatahamia KILIMANJARO EXPRESS yakafanye biashara huko [ ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ] halafu mabasi kutoka BANBROS ndio yatatumika kwa matumizi ya viwandani na shule za ST. MATHEWS, UJENZI, ANDERLAKE RIDGES, IMAGE VOSA, VICTORY, ST. MARKS, KAIZIREGE na KEMEBOS.
 
N
Nashukuru kwa story yako nzuri sana.Nilichojifunza ni kuwa ,ukitofautiana na boss,kitakachokupata ni kupoteza haki zako.Na kupoteza kabisa mwelekeo.Kinachotokea Tanzania ni kitaalam tunahita technical analysis. Lissu amekimbia nchi.Ni ngumu sana kwa Lissu kukubalika tena mpaka kushika madaraka.Tuwe makini sana na mabosi,tusijepoteza haki zetu na kupoteza uelekeo.Ambao utapoteza mpaka vizazi vyetu
 
Mkuu, Charles Mandela!

Si kwa dutu zenye thamani kiasi hiki!

Nashukuru sana mkuu.


Hiyo picha hapo juu ni makundi ya michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE โšฝ kwa msimu wa mwaka 2021/22 na hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa timu za mpira za BORUSSIA DOTMUND, SEVILLA na SHAKHTAR DONETSK.

Na hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wamiliki halali wa timu za mpira za PSG, BAYERN MUNICH, CHELSEA, REAL MADRID, AC MILAN na ATLETICO MADRID.

Kwahiyo, ukichukua timu za mpira zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na timu za mpira zinazomilikiwa na SERENGETI yaani CHUI, utapata timu za mpira zipatazo tisa [ 9 ] kati ya timu thelathini na mbili [ 32 ] zinazoshiriki michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE โšฝ.

Na kwa kuongezea tu, WATANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ndio wenye timu nyingi kwenye michuano ya mwaka huu, wanamiliki timu za mpira zipatazo tisa [ 9 ] kati ya timu thelathini na mbili [ 32 ] zinazoshiriki michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE โšฝ.
 


Kwenye zile timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, kuna timu ya mpira inaitwa ZAMALEK. Hii ZAMALEK ndio mabingwa wa LIGI KUU YA MISRI kwa msimu wa 2020/21. Na washindani wao WAKUBWA ni AL AHLY, hii pia ni timu ambayo inamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.

Ngoja niweke picha za AL AHLY walizoziweka wenyewe kwenye kurasa zao za INSTAGRAM. Kwa wale wenye ujuzi wa kutambua lugha za picha wataelewa hawa AL AHLY walikuwa wanamaanisha nini:










Kwa wajuzi wa kutambua lugha za picha. Hizi picha za mchezaji wa AL AHLY zina MAANA gani au zinatoa TASWIRA gani?


Hizo picha za mchezaji wa AL AHLY zinaonesha hiyo timu ya mpira wa miguu ya AL AHLY inamilikiwa na TIGER yaani SERENGETI yaani CHUI na sura ya huyo mchezaji inatoa TASWIRA ya SURA ya MADARAKA NYERERE na hao ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya AL AHLY. Hii ni timu bora kabisa AFRIKA na DUNIANI kwa ujumla.
 
Pale kwenye UCL huwa unanikumbusha,

"Timu mbili ambazo mashabiki na wachezaji wake hupandwa wazimu hasa wanapokuwa wamefungwa, halafu nyimbo za clubs zao zikaanza kupigwa."

Huwa ni kufa na kupona pale kunako arena.

Mmojawapo ni ule wa, "!i Hala.... !iHala.....! Ynadas Mas!"
 
Mwingine ni, "You w'll never walk alone".

Huwa ni msako na mtafutano usio wa kawaida.

wana wa Silvio Bellusconi waligongewa goma hili wakiwa mbele kwa 3 mtungi halafu ndani ya dakika 10 za mwisho goli zote zikarudishwa na ubingwa juu.

Naitamani sana 2005,2007,2014,2016,2017,2018 Kama leo zingeji-rewind.
 
Kizazi chake Kipo wapi
baadhi ya ndugu zake walibaki kenya baada ya yeye kwenda kurudi kwa malkia, huenda kuna kizazi kinaendelea huko au uk.

huku bongo aliwahi kuwa na familia miaka ya nyuma sana karibu na makazi ya aliyekuwa mkuu wa majeshi musuguri.
 
baadhi ya ndugu zake walibaki kenya baada ya yeye kwenda kurudi kwa malkia, huenda kuna kizazi kinaendelea huko au uk.

huku bongo aliwahi kuwa na familia miaka ya nyuma sana karibu na makazi ya aliyekuwa mkuu wa majeshi musuguri.
Baadhi ya familia ya KAMBONA wapo UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง na baadhi wapo TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, sema wanatumia majina tofauti ya UKOO. Hilo jina la UKOO LA KAMBONA hawalitumii.
 




Mwaka huu nitatizama michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE โšฝ kwa timu za SEVILLA na BORUSSIA DORTMUND maana hizi timu zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, na pesa itakayopatikana kwenye michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE โšฝ itaenda kujenga VIWANDA ili kuimarisha UCHUMI wa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

Maana sina PRESHA sasa hivi - kule LA LIGA, REAL MALLORCA ameshaanza kukiwasha, mechi ya pili MFULULIZO yaani CONSECUTIVELY anashinda tu. Matumaini ni makubwa ya kubaki LIGI KUU kwa msimu ujao.

Sisi tuko hadi ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ, hii WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita EUROPE ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ halafu mnataka mtufananishe na wakina ADAM SAPI MKWAWA sijui KAMBONA sijui nani nani!! Anyway, we are so far from those PEOPLE.
 
Ngoja nitembee tembee MITAA YA VIWANDANI huko maana leo nimewahi kuamka. Kwahiyo, nitakutafuta baadae kidogo ๐Ÿšถ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ
 


Hiyo picha hapo juu ni makundi ya michuano ya UEFA EUROPA LEAGUE โšฝ kwa msimu wa 2021/22. Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wenye timu za NAPOLI, CELTIC na GENK.

Na hapo napo kuna kiasi cha FEDHA ambacho kitapatikana kwenye kushiriki michuano ya UEFA EUROPA LEAGUE โšฝ. Hii WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita ni SPORTS ECONOMY, kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wamewekeza sana nje ya nchi kwenye sekta ya UCHUMI WA MICHEZO.
 
Ni mshabiki wa juzi juzi asiyeufahamu vema mchango wa REAL MALLORCA, A. BILBAO, na SEVILLA F.C.

Wakiwa katika kiwango chao cha ubora kabisa REAL MALLORCA wanakutana na REAL MADRID bora ya wachezaji GALACTICOS.

Kama sijakosea ilikuwa 2002/2003, Wananikalisha 4 moja pale Santiago B

Hakuna aliyeamini kati ya Z.Zidane, R.Carlos, D.Beckham, S.MC Manaman, Santiago Jose Maria Guti, Santiago Solari, F.Hierro, M.Salgado, F.Morientes, F.Redondo, R.De Lima, L.Figo, C.Sanchez, I.Casillas, C.Seedorf, N.K

Tulipigiwa mwingi sijawahi ona aisee!
 
Celtic ya Uskochi.

Huu ulikuwa moto mwingine hatari kipindi kile.

Wakina Mark Viduka waliinogesha sana liga hiyo ya Uskochi.

Naikumbuka vema formation ya wakina Georgio Samaras, Nakamura bila kumsahau mnyama Ginakopolos.

SCOTLAND kuliwaka moto, daah!
 
Ni mshabiki wa juzi juzi asiyeufahamu vema mchango wa REAL MALLORCA, A. BILBAO, na SEVILLA F.C.
Hizi timu zote zinamilikiwa na mtu mmoja kupitia makampuni tofauti tofauti na anayemiliki hizi timu ni MTANZANIA. Ndio anayemiliki timu ya SIMBA SC ๐Ÿฆ iliyopo jijini DAR ES SALAAM, TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
Wakiwa katika kiwango chao cha ubora kabisa REAL MALLORCA wanakutana na REAL MADRID bora ya wachezaji GALACTICOS.
Ndio! REAL MALLORCA ndio timu pekee inayoweza kupambana na REAL MADRID kwenye uwanja wa SANTIAGO BERNABEU na akapata matokeo, tofauti na timu nyingine za LA LIGA.

Halafu kuna kitu kingine ambacho WATANZANIA wengi hawakifahamu, kwenye miaka ya 2000 hadi miaka ya 2008 kuelekea 2009. Yaani kwa kifupi, baada ya kifo cha HAYATI MWALIMU, viongozi wengi wa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na WAFANYABIASHARA waliamua kwenda kuwekeza nje ya nchi kwenye sekta ya michezo na mambo mengine.

Na nchi zilizopewa kipaumbele cha kuwekeza kwenye michezo ni nchi za UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ, UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช na ITALIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น. UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง ilikuwa sio sana, kwa sababu ya gharama za kununua na kuendesha timu zilikuwa ni kubwa. Lakini kuna VIONGOZI WA SERIKALI walifanikiwa kununua na kuendesha timu za mpira za UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง.

Kwa upande wa UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง, gharama ya timu moja inayoshiriki LIGI KUU unaweza kupata timu mbili zinazoshiriki LIGI KUU nchini UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ waliamua kwenda kuwekeza UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ kwa sababu ya gharama kuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama za nchi nyingine za ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ.

Halafu pia LIGI KUU YA UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ni LIGI BORA kuliko LIGI KUU YA UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง. Sema kinachowabeba LIGI KUU YA UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง ionekane ina thamani ni MATANGAZO YA KIBIASHARA.

Na ndio maana hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanamiliki timu nyingi sana nchini UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ kuliko nchi yoyote ile ya ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ, timu hizo ni SEVILLA, ATHLETIC BILBAO, REAL MALLORCA, REAL BETIS na REAL ZARAGOZA.
Kama sijakosea ilikuwa 2002/2003, Wananikalisha 4 moja pale Santiago B
REAL MALLORCA na REAL MADRID wakikutana ujue hapo wanaopambana huwa ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na SERENGETI yaani CHUI. Na ndio maana mechi yao huwa inakuwa ni mechi kali sana.
Hakuna aliyeamini kati ya Z.Zidane, R.Carlos, D.Beckham, S.MC Manaman, Santiago Jose Maria Guti, Santiago Solari, F.Hierro, M.Salgado, F.Morientes, F.Redondo, R.De Lima, L.Figo, C.Sanchez, I.Casillas, C.Seedorf, N.K
Hizo FEDHA zote zinazotumika kwenye usajili wa wachezaji ghali huwa zinatoka AFRIKA, na TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni nchi mojawapo kwenye kusafirisha FEDHA NJE YA NCHI kwa ajili ya matumizi kama haya.
Tulipigiwa mwingi sijawahi ona aisee!
Hiyo ndio TASWIRA ya MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na SERENGETI yaani CHUI kwenye masuala ya kijamii na mahusiano ya watu. Ndio huwa inakuwa hivyo kama mechi ya REAL MALLORCA dhidi ya REAL MADRID au SIMBA SC dhidi ya YANGA SC. Yaani ni kama WATANI WA JADI.
 
Sasa hivi ngoja nikatembee tembee kidogo! Ikifika mida ya jioni nitakueleza namna ya hizi timu za mpira wa miguu zinavyosadifu nguvu za kisiasa au hata mahusiano ya watu na kijamii kwenye NCHI HUSIKA au BARA na hata ULIMWENGU mzima.
 
Kwa muendelezo wa posti namba 559 - kwenye sekta ya michezo hasa mpira wa miguu. Tofauti na kuwa ni mchezo wenye hamasa na ushawishi kwenye jamii, mpira wa miguu huwa unatumiwa pia kwenye kubashili mitazamo ya kisiasa na kiuchumi.

Vile vile mpira wa miguu huwa inaashiria nguvu ya jamii husika kwenye nchi fulani, inaweza kuwa hata bara au ulimwengu mzima. Na pia mechi za mpira wa miguu huwa zinatumika kupima bahati ya mtu kwenye kubashili matokeo ya timu husika baada ya mechi kuisha.

Sasa basi, kwa wale WATAALAMU WA SIASA au wale SCOUTS wanaotumika kutafuta na kuangalia VIONGOZI WA BAADAE huwa wanapima watu wanaowadahili kupitia michezo hasa KARATA, DRAFTI, MPIRA WA MIGUU au MCHEZO WOWOTE anaoupenda mhusika.

Hii michezo yote huwa wanawapima wahusika kuangalia bahati zao za USHINDI. Ukiwa unashinda sana ina maana uko vizuri kwenye kushiriki matukio ya kijamii na mahusiano ya watu kama SIASA na mambo mengine ya kijamii.
 
Na hapa kwa upande wa BHP BILLITON kumilikiwa na SERENGETI yaani CHUI kwa hisa za asilimia hamsini [ 50 % ] na hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanamiliki kampuni ya AFRICAN EXPLOSIVES LIMITED [ AEL ] au kwa jina lingine hii kampuni inaitwa AEL MINING SERVICES kwa asilimia mia moja [ 100% ].

Hii kampuni ya AEL MINING SERVICES ni kampuni inayojihusisha na baruti za migodini yaani MINING EXPLOSIVES na inafanya vizuri sana kwenye sekta ya UCHIMBAJI WA MADINI NA MAFUTA.

Hii kampuni ya AEL MINING SERVICES ni kampuni ambayo makao yake makuu yapo AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ na inafanya shughuli zake kwenye nchi za GHANA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ, MALI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ, TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, ETHIOPIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น, ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ, ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ na BOTSWANA ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ.

Hii kampuni ya AEL MINING SERVICES ni kampuni ambayo ina wafanyakazi wapatao 6,200 na ni kampuni ambayo iko chini ya kampuni mama ya AFRICAN EXPLOSIVES AND CHEMICALS INDUSTRIES [ AECL LIMITED ].

Halafu pia hii kampuni ya AECL LIMITED ni kampuni ambayo ina jumuisha makampuni madogo madogo yapatayo sita [ 6 ]. Makampuni hayo ni AFRICAN EXPLOSIVES LIMITED [ AEL ], IMPROCHEM [ PTY ] LIMITED, CHEMICAL INITIATIVES [ PTY ] LIMITED, DETNET [ PTY ] LIMITED, ACACIA na SANS FIBRES [ PTY ] LIMITED.

Kwahiyo utaona hata hii kampuni ya ACACIA inayofanya shughuli zake za UCHIMBAJI WA MADINI hapa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwenye migodi ya BUZWAGI na BULYANHULU ni kampuni ambayo inamilikiwa na WATANZANIA WEUSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ [ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ] na wale wengine yaani WAZUNGU KUTOKA KANADA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ ni wafanyakazi tu na kampuni mama ya ACACIA ipo AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ambayo kwa jina ni AFRICAN EXPLOSIVES AND CHEMICALS INDUSTRIES [ AECL LIMITED ].

Na hii kampuni ya AECL LIMITED inaweza kupewa tenda ya kuchimba na kuchenjua ALMASI [ ALLUVIAL DEPOSIT ] kwenye mgodi wa EL HILAL uliopo MWADUI, SHINYANGA. Huu mgodi ni mkubwa kwa sababu, ndio mgodi uliozunguka eneo lote la mgodi wa WILLIAMSON DIAMONDS LIMITED [ WDL ].

Na hawa wanaomiliki mgodi wa EL HILAL DIAMONDS LIMITED [ sio Phantom ] ni wale wale wanaomiliki kampuni ya AEL MINING SERVICES ambao ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU.

Na haya mambo ndio yaliyotakiwa kujadiliwa BUNGENI kwa lugha ya staha na lugha iliyonyooka, sio POROJO.
 
Wako vizuri MWASHITA, Hata hiyo sub co yao ACACIA inafanya vema hata kwenye masuala ya kabumbu nao hawako nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ