Huyu ni MALKIA ELIZABETH 👸 wa familia ya KIFALME YA UINGEREZA 🇬🇧 na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanatambulika na UFALME WA UINGEREZA 🇬🇧 kutokana na UWEKEZAJI waliowekeza nchini UINGEREZA 🇬🇧 na miaka ya nyuma hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walitakiwa kuwa na MUWAKILISHI wao kwenye JUMBA LA KIFALME LA BUCKINGHAM kama ni sehemu ya heshima na ushirikiano waliouonesha kwa TAIFA LA UINGEREZA 🇬🇧 katika SEKTA YA UWEKEZAJI.
Lakini kwa miaka ya baadae, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wataweka MUWAKILISHI au BALOZI wao kwenye JUMBA LA KIFALME LA BUCKINGHAM.
Hii yote inafanyika kama HESHIMA inayotolewa na UFALME WA UINGEREZA 🇬🇧 kwa wale wote waliowekeza nchini UINGEREZA 🇬🇧.
Na muda unavyozidi kusogea, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wataanza kupokea wafanyakazi kutoka UINGEREZA 🇬🇧 na MATAIFA YA UMOJA WA ULAYA 🇪🇺 kwenye kampuni ambazo wanamiliki wao wenyewe na mfano mzuri ni KIWANDA CHA KIOO INDUSTRY.
Hiki KIWANDA CHA KIOO INDUSTRY ni KIWANDA ambacho kinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na kimeshaanza kupokea baadhi ya wafanyakazi kutoka UINGEREZA 🇬🇧.
Kwahiyo kwenye mambo ya UTAWALA NA MENEJIMENTI tuna wafanyakazi mchanganyiko ambao baadhi wanatoka nchi za MATAIFA YA UMOJA WA ULAYA 🇪🇺 na ilitakiwa tuwe METALLURGISTS au kwa jina lingine ni MINERAL PROCESSING ENGINEERS kutoka baadhi ya MATAIFA YA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA 🇪🇺.
Kwahiyo kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁, HALI HALISI ndio iko hivyo na tupo MAKINI na JAMII inayotuzunguka kwa masilahi mapana ya JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
Wala hatuhusiki na VUGUVUGU LOLOTE LA KISIASA linaloendelea nchini TANZANIA 🇹🇿 na wala hatuchangii wala hatutachangia hata SENTI TANO kutoka kwenye kampuni yoyote inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na mfanyakazi yoyote atakayehusika na VUGUVUGU LA MABADILIKO YA KISIASA atafukuzwa KAZI ndani ya masaa ishirini na nne [ 24 ], yaani WAINGEREZA 🇬🇧 wanasema ya kwamba - he or she will be fired within twenty four hours [ 24 ] 🙏🏽🇹🇿🙏🏽