Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hivi MAKONGORO ni mkuu wa mkoa gani vilee?
sasa ndo ujue kuwa hujui kitu.

 
Shukrani sana, Mkuu Charles Mandela!


Hii ni timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁, inaitwa BLACKBURN ROVERS 🌹. Ni timu ambayo inashiriki LIGI DARAJA LA KWANZA nchini UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.

Kwahiyo ukiachana na timu ya CHARLTON ATHLETIC FOOTBALL CLUB ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁, hawa hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu ya BLACKBURN ROVERS 🌹 ya nchini UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.
 
Shukrani sana, Mkuu Charles Mandela!


Huyu ni MALKIA ELIZABETH πŸ‘Έ wa familia ya KIFALME YA UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanatambulika na UFALME WA UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ kutokana na UWEKEZAJI waliowekeza nchini UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ na miaka ya nyuma hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walitakiwa kuwa na MUWAKILISHI wao kwenye JUMBA LA KIFALME LA BUCKINGHAM kama ni sehemu ya heshima na ushirikiano waliouonesha kwa TAIFA LA UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ katika SEKTA YA UWEKEZAJI.

Lakini kwa miaka ya baadae, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wataweka MUWAKILISHI au BALOZI wao kwenye JUMBA LA KIFALME LA BUCKINGHAM.

Hii yote inafanyika kama HESHIMA inayotolewa na UFALME WA UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ kwa wale wote waliowekeza nchini UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.


Na muda unavyozidi kusogea, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wataanza kupokea wafanyakazi kutoka UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ na MATAIFA YA UMOJA WA ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί kwenye kampuni ambazo wanamiliki wao wenyewe na mfano mzuri ni KIWANDA CHA KIOO INDUSTRY.

Hiki KIWANDA CHA KIOO INDUSTRY ni KIWANDA ambacho kinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na kimeshaanza kupokea baadhi ya wafanyakazi kutoka UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.

Kwahiyo kwenye mambo ya UTAWALA NA MENEJIMENTI tuna wafanyakazi mchanganyiko ambao baadhi wanatoka nchi za MATAIFA YA UMOJA WA ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί na ilitakiwa kuwe METALLURGISTS au kwa jina lingine ni MINERAL PROCESSING ENGINEERS kutoka baadhi ya MATAIFA YA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί.

Kwahiyo kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁, HALI HALISI ndio iko hivyo na wapo MAKINI na JAMII inayowazunguka kwa masilahi mapana ya JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Wala hawahusiki na VUGUVUGU LOLOTE LA KISIASA linaloendelea nchini TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na hawachangii wala hawatachangia hata SENTI TANO kutoka kwenye kampuni yoyote inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na mfanyakazi yoyote atakayehusika na VUGUVUGU LA MABADILIKO YA KISIASA atafukuzwa KAZI ndani ya masaa ishirini na nne [ 24 ], yaani WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanasema ya kwamba - he or she will be fired within twenty four hours [ 24 ] πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½
 
Charles mandela ubongo wako una mambo meng sana sana.nazan mambo uliyoyasema ni robo tu.binafsi naona bado mambo meng sana yakujifunza.
Ila mandela haya mambo mbona hakuna mtanzania anayeweza kuamin kabisa zaid sana atakudharau na kukuona mjinga wa mwisho.sijui hii imekaaje.
 
Charles mandela ubongo wako una mambo meng sana sana.
Mambo ni mengi sana ya kujifunza lakini inabidi tuishie hapa.
nazan mambo uliyoyasema ni robo tu.binafsi naona bado mambo meng sana yakujifunza.
Wale CCM βš’οΈ kindaki ndaki huwa wanasema hivi - "DUNIA ina mambo na TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ina maajabu yake."
Ila mandela haya mambo mbona hakuna mtanzania anayeweza kuamin kabisa zaid sana atakudharau na kukuona mjinga wa mwisho.sijui hii imekaaje.
Kuna MAMBO mengine ukiyafahamu yatakuumiza kichwa, hivyo unapaswa kuyaacha kama yalivyo.

Lakini SEHEMU sahihi ya kufanya SIASA SAFI ni BUNGENI na sio kwenye MITANDAO YA KIJAMII wala URAIANI.

Na ikiwa ni URAIANI labda iwe ni kipindi cha UCHAGUZI, tofauti na hapo ni kujitafutia MATATIZO, ndio maana kwa kipindi hiki WATU wengi sana wanapotea [ ⚰️ ] kwa namna moja ama nyingine. Kwahiyo sote inatupasa tuwe MAKINI πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½
 
Hao Metallurgists wanaotoka au watakaotoka UK na EU ni raia wa Kizungu na ni wazawa wa huko?


Ikiwa ni WAZUNGU by nature, Je watapewa mkataba wa jumla jumla wa kudumu au wakishatenda kazi na kuwaambukiza LEO ujuzi wataondolewa kwa mkataba ili wawekwe wazawa?
 
Hao Metallurgists wanaotoka au watakaotoka UK na EU ni raia wa Kizungu na ni wazawa wa huko?
Watakuwa ni RAIA wa kutoka UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ pamoja na UMOJA WA MATAIFA YA NCHI ZA ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί, haijalishi watakuwa ni RANGI gani lakini watakuwa ni RAIA wanaotambulika na MATAIFA yao.

Hii yote inafanyika na itafanyika ili kudumisha ile SERA ya MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII.
Ikiwa ni WAZUNGU by nature, Je watapewa mkataba wa jumla jumla wa kudumu au wakishatenda kazi na kuwaambukiza LEO ujuzi wataondolewa kwa mkataba ili wawekwe wazawa?
Watafanya kazi kama WATAALAMU wengine na mikaba ya KAZI itakuwa kulingana na makubaliano baina ya MUAJIRI na WAAJIRIWA.
 
binafsi naona bado mambo meng sana yakujifunza.
Halafu sasa, kitu kingine ambacho huwa hakisemwi na WANASIASA wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kuhusu OSCAR KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA ni kuwa baada ya kugundulika kuwa OSCAR KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA walikuwa wanawasiliana kwa njia ya FAKSI.

HAYATI MWALIMU aliamua kumpiga fitna ADAM SAPI MKWAWA kwa kusema kuwa huyo SPIKA MSTAAFU aliiba shilingi milioni hamsini [ 50,000,000 ] za BUNGE na alikwenda kuzificha nchi ya MALAWI πŸ‡²πŸ‡Ό. Huo ulikuwa ni wakati wa UCHAGUZI MKUU wa mwaka 1995 ambapo HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA alitangazwa kuwa ni mshindi wa kiti cha URAIS.

Hiyo fitna ilimuandama sana SPIKA MSTAAFU - ADAM SAPI MKWAWA hadi alikosa marafiki ndani na nje ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Na hata baada ya kustaafu nafasi ya USPIKA, huyo ADAM SAPI MKWAWA alikuwa anapata PESA ZA KUJIKIMU kutoka kwa baadhi ya ndugu zake aliokuwa amewaingiza kwenye MAJESHI hasa JESHI LA WANANCHI, yaani JWTZ.

Na alivyokuja kufariki, familia yake iliyumba sana kwa sababu wale waliokuwa wanamsaidia yeye mwenyewe hawapo tena.

Hicho ndio kikawa chanzo cha familia ya ADAM SAPI MKWAWA kuingia kwenye vituo vya televisheni na kuanza kuomba misaada, huku familia ya OSCAR KAMBONA ikiendelea kuishi yale maisha ya ukimbizi.

Kwahiyo hapa kuna mambo mengi sana ya kujifunza kwa sisi kama VIJANA na kwa WANASIASA wanaochipukia. Kuwa, kitu cha kwanza unatakiwa ni kuishi vizuri na WATAWALA na kitu kingine ni kuangalia MAISHA BINAFSI baada ya SIASA.
 
Moderator Max tuondoleeni huu uchafu
 
Paw Moderator Max muondoeni huyu muhuni Charles Mandela
 
Paw Moderator Max huyu Charles Mandela adhibitiwe, anaharibu flow ya mjadala makusudi, huu ni uhuni.
 
Nimekupata, Shukrani sana mkuu!.


Hii ni PICHA ya pamoja waliopiga HAYATI MWALIMU na OSCAR KAMBONA kwenye sherehe ya harusi iliyofanyika jijini LONDON, mwaka 1960.

OSCAR SALATHIEL KAMBONA na FLORA MORIYO [ aliyekuwa MISS TANGANYIKA ] walifunga NDOA, mwaka 1960 na kusimamiwa na HAYATI MWALIMU mwenyewe kama inavyoonekana kwenye PICHA hapo juu.


Hapo kwenye PICHA, OSCAR KAMBONA anaonekana ni MTU WA BASHASHA NA MATUMAINI ya kuachiwa kiti cha URAIS baada ya HAYATI MWALIMU.
 
Usikae kimya ,mkuu huu uzi miaka 10+ijayo itakua n funzo kubwa kwa watu wengi.hapa ndo umuhimu wa mitandao unaonekana.
Huyo Yoda anataka mimi nipigwe BAN kwa sababu gani? Isitoshe mimi nilikuwa RAIS WA AWAMU YA TANO [ 5 ] WA SERIKALI YA WANAFUNZI YA CoHSS pale UDOM, mwaka 2012/13.

Na nina MPANGO wa kurudi CHUO KIKUU CHA DODOMA [ UDOM ] kwa masomo ya MASTERS, najua patakuwa hapatoshi! HOYA HOYA zitakuwa nyingi sana 😁😁

Hata kuandika naandika ile "KIRAIS RAIS" yaani WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita ni PRESIDENTIAL LANGUAGE ndio maana hata Moderator wanafurahi kwa uwepo wangu humu JAMIIFORUMS.

Sasa huyo Yoda anataka mimi nipigwe BAN kwa sababu gani? Lakini kwa upande mwingine sio SALAMA kwa sababu SIRI zao na mambo yao yanakuwa hadharani.

Kwahiyo hata kuchangia MADA inabidi kuchangia kwa LUGHA ZA STAHA, maana mambo mazuri hayahitaji LUGHA ZA MATUSI πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½.
 
Mkuu Yoda Unataka mkuu wetu ale BAN?


Sijaona jambo lolote baya kwake, Hakuna kejeli wala lugha ya matusi katika machapisho yake, Sasa mnatakaje ale BAN?


Huoni kama utaifishaji na ujamaa wakati wa HAYATI MWALIMU na KAMBONA ndo umezaa jamii hizo mbili anazoongelea Charles Mandela?


Mnataka sisi na wanetu na wana wa vizazi vyetu vijavyo turithi nini au tujivunie nini lakini?


Mashujaa wanapigwa mawe na historia nayo inapigwa mawe, Je, Mnataka tujivunie urithi aina gani, au ule wa bia tamu?


Au tuigeuze mitandao hii ya kijamii iwe sehemu ya kutazama picha na video za ajabu ndo mtafurahi?


Kila jema tunalojifunza mnalipiga mawe, Mnataka Taifa hili liwe la watu wa aina gani lakini?


Au mnataka vijana wote wawe mchele mchele ndo furaha yenu ikamilike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…