Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Una maanisha nini kuhusu kampuni ya T-MOBILE na mahusiano ya pande mbili za nchi kati ya Tanzania na Ujerumani?
Any way tunashukuru kwa mchango wako binafsi nautambua na hongera kwa maoni yako uliyoyaandika.
 
Una maanisha nini kuhusu kampuni ya T-MOBILE na mahusiano ya pande mbili za nchi kati ya Tanzania na Ujerumani?


Hii kampuni ya T-MOBILE ni wadhamini wakuu wa TIMU ya BAYERN MUNCHEN FC inayoshiriki LIGI KUU nchini UJERUMANI.

Kuna MAELEZO [...] ambayo hayajawekwa wazi kwa uthibitisho kuhusu hiyo ALAMA ya T-MOBILE kwenye jezi ya BAYERN MUNCHEN FC.

Lakini kuna uhusiano ambao bado haujawekwa wazi wa TAIFA LA UJERUMANI na TAIFA LA TANZANIA kuhusu msaada wa kuendesha ile TAASISI PENDWA ya TANZANIA.
Any way tunashukuru kwa mchango wako binafsi nautambua na hongera kwa maoni yako uliyoyaandika.
Tupo pamoja! Ngoja nitaendelea na Wakudadavuwa kwa siku nyingine.
 
Any way tunashukuru kwa mchango wako binafsi nautambua na hongera kwa maoni yako uliyoyaandika.
Ngoja nikuoneshe kitu kingine ambacho nimetumiwa na rafiki zangu. Jaribu kuangalia na kusoma posti namba 1215 na 1216 kuhusu ile DRESS CODE ya UGORO inayotumiwa na PUISSANTS.


Hiyo ndio LUGHA YA PICHA inavyotumika kwenye MITANDAO YA KIJAMII. Nadhani tayari utakuwa umeelewa kuwa hao PUISSANTS ndio wenye RAMBA RAMBA.


Hizi PICHA zinapatikana kwenye moja ya INSTAGRAM ACCOUNT inayomilikiwa na kampuni kubwa ya USAFIRI WA ANGA na MTU MWEUPE ni kama MBWA MKALI - siku zote anamsikiliza MTU anayempatia CHAKULA.


PUISSANTS ni wale waliokuwa MARAIS WATATU WA RWANDA, BURUNDI na KONGO na wanamiliki HISA kwenye hiyo kampuni kubwa ya USAFIRI WA ANGA. Kwahiyo PUISSANTS bado wapo vizuri sana KIUCHUMI, sema hali ingelikuwa tofauti kama wangelikuwa hai.
 
Wakudadavuwa wale waliokuwa MARAIS WA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS au kwa jina lingine walikuwa wanaitwa ALMIGHTIES walikuwa ni WATU wamoja sana.

HAYATI MOBOTU alikuwa ni MWANASIASA HODARI na wale waliokuwa MARAIS WA RWANDA na BURUNDI walikuwa ni kama WATOTO wake, yaani MAPACHA.

Na hata kipindi ambapo umauti ulivyowakuta, wale waliokuwa MARAIS WA RWANDA na BURUNDI, HAYATI MOBUTU aliambiwa akachukue miili ya MAPACHA wake.

Baada ya MAUJI ya mwaka 1994, HAYATI MOBUTU alianza kuwatumia wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kuwekeza TANZANIA na alifanikiwa pakubwa sana.

Na hata baada ya MAPINDUZI YA KIJESHI YA MWAKA 1997, HAYATI MOBOTU alikabidhi FAMILIA yake kwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kwa sababu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA walikuwa tayari na mahusiano ya damu na JAMII YA MLIMA KENYA, yaani KIAMBU kutoka KENYA.

Kwahiyo habari yao ikawa imeishia hapo, lakini VYAMA VYA KISIASA walivyokuwa wamevianzisha kwa upande wa TANZANIA vilikuwa tayari ni VYAMA VYA KISIASA vyenye UWAKILISHI BUNGENI na WATU waliowaacha bado wanaendelea kuvisimamia mpaka leo na hao WATU ndio wale waliosema ile KAULI maarufu kuwa - "iwe kwa msaada wa MUNGU au kwa msaada wa SHETANI, lazima CCM ing'oke madarakani". Sio UTANI, hao WATU ni HATARI sana.
 
Wakudadavuwa wale waliokuwa MARAIS WA RWANDA, BURUNDI na KONGO walijitahidi sana kuwekeza TANZANIA na vile VYAMA VYA KISIASA walivyovianzisha bado vipo na vina ushawishi mkubwa kwa WANANCHI.

Hivyo VYAMA VYA KISIASA vina uwakilishi kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE. Sema VIONGOZI waliopo hawavitendei haki, kwa sababu hawafanyi SIASA kwa MASILAHI ya WANANCHI WA KAWAIDA, wao wanafanya SIASA kwa MASILAHI yao.

Ndio maana hivyo VYAMA VYA KISIASA ni maarufu sana pasipo kuwa na misingi yoyote ya KISIASA. Yaani wao wanataka VYEO VYA KISIASA pamoja na MADARAKA, lakini mambo mengine hayawahusu.

Hali hii imetokea pia kwenye CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, wao wanafanya SIASA kwa nia ya kutafuta nafasi za UDIWANI, UBUNGE na URAIS. Lakini MAMBO mengine hayawahusu. Kwahiyo CHAMA kinaonekana hai kipindi cha UCHAGUZI na kipindi ambapo hakuna UCHAGUZI, shughuli za KISIASA zinakuwa hamna.

Na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kitaendelea kuwepo madarakani kutokana na GHARAMA ZA UONGOZI yaani THE COST OF LEADERSHIP kuwa juu sana na hii inapelekea kuwa na uvunjifu wa HAKI ZA BINADAMU.

Sasa hali hii ni tofauti na majirani zetu, KENYA - wao GHARAMA ZA UONGOZI yaani THE COST OF LEADERSHIP zipo chini ukilinganisha na TANZANIA na wamejitahidi sana kuimarisha ULINZI pamoja na kuboresha HUDUMA ZA KIJAMII.


Hata UCHAGUZI MKUU WA KENYA uliomalizika hivi majuzi ni kielelezo tosha cha DEMOKRASIA, ijapokuwa kulikuwa kuna matatizo mbalimbali kwenye TUME YA UCHAGUZI - IEBC, lakini walipokea kama changamoto na kujipanga na UCHAGUZI MKUU ujao.


Kwahiyo kwa upande wa TANZANIA, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kitaendelea kuwepo madarakani kutokana na GHARAMA ZA UONGOZI yaani THE COST OF LEADERSHIP kuwa juu sana na GHARAMA ZA UONGOZI yaani THE COST OF LEADERSHIP zipo na huwa zinafanyika katika kila WIZARA na kila IDARA iliyo chini ya SERIKALI husika.
 
Moja ya kitu ninachokupendea ni consistency ya mambo yako. Ingekuwa wengine wangeacha mda mrefu tu kutuma posti. Ila wewe unashuka taratibu tu hongera mkuu
 
Moja ya kitu ninachokupendea ni consistency ya mambo yako. Ingekuwa wengine wangeacha mda mrefu tu kutuma posti. Ila wewe unashuka taratibu tu hongera mkuu
Unajua nilikuwa najaribu kumuelewesha Wakudadavuwa kuhusu MAMBO fulani, lakini sasa hivi natumaini atakuwa amepata mwanga.

Ngoja nikipata muda mzuri jioni nitaendelea pale nilipoishia, lakini WATANZANIA WA KWELI watakaoleta mabadiliko ya KISIASA ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU], wengine ni WAHUNI.

Kwa sababu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio SIMBA na wanamiliki VYAMA VYA KISIASA pamoja na UCHUMI MKUBWA.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio walio nyuma ya SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBAR kupitia CHAMA CHA ACT - WAZALENDO.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio WATU walio nyuma ya UPINZANI wa TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBAR tangu mwaka 1995 mpaka leo.

Vile vile wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio waliounda KAMBI KUU YA UPINZANI kwa upande wa TANZANIA BARA kupitia CHAMA CHA WANANCHI - CUF, tangu mwaka 2000 mpaka 2010.


Kwahiyo ACT - WAZALENDO ni VAZI JIPYA la CHAMA CHA WANANCHI - CUF. Sasa utaona ni kwa jinsi gani walivyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kwa upande wa KISIASA.
 
Wakudadavuwa kwa upande wa TANZANIA, GHARAMA ZA UONGOZI yaani THE COST OF LEADERSHIP au kwa jina lingine wanaita ni THE PRICE OF LEADERSHIP huwa zinafanyika kwenye WIZARA zote ambazo huwa zipo chini ya SERIKALI YA TANZANIA. WIZARA hizo ni:
  1. OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
  2. OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
  3. OFISI YA MAKAMU WA RAIS
  4. OFISI YA WAZIRI MKUU
  5. WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
  6. WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
  7. WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  8. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
  9. WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
  10. WIZARA YA KILIMO
  11. WIZARA YA MAJI
  12. WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
  13. WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
  14. WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
  15. WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
  16. WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  17. WIZARA YA NISHATI NA MADINI
  18. WIZARA YA SHERIA NA KATI A
  19. WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Kila WIZARA na kila IDARA ina GHARAMA ZA UONGOZI yaani THE COST OF LEADERSHIP ambazo zinatumika kama nyenzo ya kuongoza SERIKALI YA TANZANIA iliyo chini ya mwavuli wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.

Tangu TANGANYIKA imepata UHURU wake kutoka kwa UINGEREZA, mwaka 1961 na hatimae kuungana na ZANZIBAR na kufanya SERIKALI YA MUUNGANO YA TANZANIA, mwaka 1964 ilitambulika kwa ujumla wake na WAAFRIKA wote pamoja na wataalamu walioletwa kushauri kipindi kile - kwamba hitaji kuu la kusonga mbele katika ULIMWENGU WA KISASA ni ELIMU.

Kila SERIKALI MPYA ya KIAFRIKA iliyojitegemea ilikusudia na ilipanga kutoa mafunzo zaidi ya SHULE na UFUNDI katika kila ngazi ya ELIMU.


Kwa upande wa TANZANIA, takribani kila MTANZANIA na hasa wale waliokuwa wametoka FAMILIA DUNI inadaiwa kuwa walikuwa na SHAUKU KUBWA ya kusoma na kupata ELIMU YA DARASANI ambayo kwa kipindi kile ilikuwa inapatikana sehemu mbalimbali za MIKOA YA TANZANIA na ELIMU YA TANZANIA ilikuwa imegawanywa katika sehemu kuu SITA kwa idadi yake. Sehemu hizo ni:
  1. MORE EDUCATION AS A PRIME REQUIREMENT.​
  2. ADVANCES ALMOST ENTIRELY DUE TO COLONIAL PRESENCE.​
  3. THREE SOURCES OF INSTRUCTION: missionaries, commercial enterprises and governments.​
  4. BRITISH AND BELGIAN SYSTEMS - solid basis of primary education.​
  5. NARROWER FRENCH SYSTEM OF PRODUCING EDUCATED ELITE.​
  6. RESULTS OF EDUCATION: the elite - divorce from masses and resolve to stay in power but probably not a new ruling class.​
Hizo sehemu kuu SITA zote zimeelezwa kwa kirefu kwa kutumia LUGHA YA KIINGEREZA inayopatikana kwenye kitabu kinachoitwa EMERGENT AFRICA.


Hizo sehemu kuu SITA zimeelezwa kwa kirefu sana kwenye TOPIKI YA SITA inayoitwa EDUCATION AND THE ELITE , yaani ni MFUMO WA ELIMU ambao unalenga WATAWALA kuendelea KUTAWALA bila ya kuathiri moja kwa moja shughuli za MWANANCHI WA KAWAIDA.

Ile DHIMA KUU ya MFUMO WA ELIMU YA TANZANIA iliyokuwepo tangu TANGANYIKA inapata UHURU wake kutoka kwa UINGEREZA na hatimae MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR na kuunda SERIKALI iliyo moja ya TANZANIA, bado ipo mpaka leo.

DHIMA KUU ya MFUMO WA ELIMU YA TANZANIA ni kujiokoa katika lindi la KURUDI NYUMA, UMASIKINI na MAGONJWA. Sio tu kwa WATU BINAFSI bali kwa JAMII NZIMA.

Faida za ELIMU ni MAENDELEO yaliyoletwa, ni wazi pia kwa WATU wasiokuwa na ELIMU. VIJANA wa KIUME na wa KIKE walifundishwa na kufundishwa jinsi ya KUTAWALA mazingira ya uhasama na jinsi ya kuishi katika JAMII YA WATU wazima, mara nyingi katika hali ya uvumilivu na ugumu wa kibinafsi.


Lakini WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA , NECTA wanapanga UFAULU wa WANAFUNZI kwa kutumia VIGEZO VYA KIJAMII yaani SOCIAL CONSTRAINTS .

Yaani kwa LUGHA nyepesi huwa WANAPIKA MATOKEO YA WANAFUNZI kwa ngazi zote - DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA na kwa LUGHA YA KIINGEREZA huwa wanaita ni REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS. Lakini MATOKEO HALISI YA WANAFUNZI yanakuwa yanapatikana sehemu husika kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kiofisi.

Hivi VIGEZO VYA KIJAMII yaani SOCIAL CONSTRAINTS huwa zinajazwa na mwanafunzi husika akiwa DARASA LA TANO au DARASA LA SITA kwa kutumia FOMU YA TSM9.

Hii FOMU YA TSM9 huwa ni kwa SHULE ZA MSINGI na huwa inaendelea mpaka SHULE ZA SEKONDARI na huwa inaitwa SELECTION FORM [ SELFORM ] na vile vile huwa inaendelea mpaka VYUO VIKUU na huwa inaitwa COURSEWORK ASSESSMENT [CA].

Yaani kwa LUGHA nyepesi huwa wanaita ni FAILI LA MUHITIMU na huwa linaendelea mpaka sehemu ya AJIRA. Yaani ni KIVULI cha MTUMISHI au MUAJIRIWA yoyote.


Sasa GHARAMA ZA UONGOZI yaani THE COST OF LEADERSHIP au THE PRICE OF LEADERSHIP huwa zinaanzia kwenye WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kupitia IDARA ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA, NECTA.
 
Wakudadavuwa huu MFUMO WA ELIMU kwa upande wa TANZANIA waliakisi kutoka kwa TAIFA lililokuwa linajulikana kwa jina la JUMUIYA YA NCHI ZA KISOVIETI, sasa hivi TAIFA hilo linaitwa URUSI.

Hili TAIFA la TANZANIA baada ya kupata UHURU na hata baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, TAIFA LA TANZANIA liliakisi MIFUMO MINGI ya KIJAMII kutoka kwa TAIFA lililojulikana kipindi hicho kama JUMUIYA YA NCHI ZA KISOVIETI na sio CHINA, kama WATU wengi wanavyofahamu.

SERIKALI YA TANZANIA kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM iliakisi kwa kiasi kikubwa MTINDO WA KUONGOZA kutoka kwa iliyokuwa MUUNGANO WA NCHI ZA KISOVIETI.


Na MFUMO WA ELIMU kwa iliyokuwa URUSI YA ZAMANI ulizingatia sana UWEZO WA KIJAMII kuliko UWEZO WA MWANAFUNZI MMOJA MMOJA.

Yaani WANAFUNZI waliokuwa wanafanya vizuri kwenye MITIHANI yao, taarifa zao za KITAALUMA zilikuwa zinabaki SERIKALI KUU na wao kupewa MATOKEO tofauti na UFAULU wao ili kuzuia NCHI ZA ULAYA YA MAGHARIBI kuchukua WANASAYANSI WA KISOVIETI kwenda kufanya kazi kwenye VIWANDA vya MATAIFA ya MAREKANI, UJERUMANI, UFARANSA na UINGEREZA.

Kwa upande wa URUSI YA ZAMANI, WANAFUNZI BORA waliokuwa wakifanya vizuri kwenye MITIHANI yao ya SHULE na VYUO VIKUU ilikuwa ni AMRI kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Hali hiyo ilipelekea iliyokuwa URUSI YA ZAMANI kuwa na JESHI imara na lililosheheni WANASAYANSI wa kila aina na WANASAYANSI hao ndio waliovumbua SILAHA hatari zinazotumika duniani kote.


WANAFUNZI BORA waliokuwa wanagoma kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA walikuwa wanapata SHIDA sana na wengine walikuwa wanakimbia NCHI na kwenda kuishi MATAIFA YA ULAYA MAGHARIBI ikiwa ni pamoja na AMERIKA.

Lakini hali hiyo ni tofauti kabisa na TANZANIA, kwani kwa upande wa TANZANIA wanafanya kupika MATOKEO YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI yaani REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS na matokeo yake kunakuwa na utoaji wa ELIMU ya KIHOLELA HOLELA.

Kwahiyo huu MFUMO WA ELIMU kwa upande wa TANZANIA unazalisha WAHITIMU ambao wanakuwa hawana SIFA za kuajiriwa wala kukidhi matakwa ya SOKO LA USHINDANI kwa upande wa KITAIFA na KIMATAIFA.


Na kumekuwa kuna JITIHADA nyingi za kuweza kunusuru hili JANGA LA KITAIFA la kupunguza au kuondoa idadi ya WAHITIMU ambao wengi wao wanakuwa hawana SIFA, lakini tatizo ni MFUMO WA KIUTAWALA ambao WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI pamoja na WALIMU wanakuwa hawana UWEZO WA KUTATUA pasipo kuwa na RUKSA ya WATAWALA ambao ni CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.

Sasa huu MFUMO WA ELIMU kwa upande wa TANZANIA unakuwa hauna tofauti na MAUAJI YA KIMBARI yaliyotokea RWANDA [1994], sema tofauti ni LUGHA na SILAHA iliyotumika - kule RWANDA waliita ni MASS GENOCIDE na walitumia BUNDUKI kuua HARAIKI YA WATU na TANZANIA wanaita ni ACADEMIC GENOCIDE na wanatumia KALAMU kuua TAALUMA ZA WATU.


Ndio! WAINGEREZA huwa wana msemo unaosema hivi - "PEN IS THE BEST WEAPON, IF YOU USE IT PROPERLY" na hicho ndicho kinachofanyika TANZANIA kwa upande wa WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI.


Yaani hii huwa ni mbinu ya KISIASA na KIUTAWALA ambayo mara nyingi hutumika ili kudhoofisha SEKTA YA ELIMU kwa MASILAHI mapana ya WATAWALA.

Kwahiyo wale WATANZANIA waliofahamu haya MAMBO mapema walipeleka WATOTO kwenda kusoma NJE YA NCHI na wengine waliajiriwa SEKTA BINAFSI na wengine walijiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kama ni sehemu salama kwao, lakini kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kuna TAMU NA SHUBIRI yake.
 
Wakudadavuwa MFUMO WA ELIMU kwa upande wa TANZANIA haufanyi vizuri kwenye SOKO LA USHINDANI iwe ni KITAIFA au KIMATAIFA, kwa sababu huu MFUMO WA ELIMU unazalisha WAHITIMU ambao wengi wao wanakuwa hawana SIFA na UWEZO.

Hali hii inasababishwa na WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kupitia IDARA ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani NECTA na wamekuwa wakitoa TAARIFA ZA UONGO kipindi cha kutangaza MATOKEO ya WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI.

Ngoja nikupe MIFANO HALISI, hili ni PAMPHLET LA PHYSICS lililoandaliwa na aliyekuwa anajiita TANZANIA ONE kwa KIDATO CHA SITA [2006].


Alikuwa anaitwa ELIAS KIHOMBO [marehemu] na kwenye UTAMBULISHO WA CHAPISHO lake ni kama unavyoona kwenye picha hapo juu, aliandika hivi - "Elias Kihombo was born at Njombe district in Iringa region, he attended different schools in his O-level studies, finally he completed his O-level studies at Tosamaganga secondary school, he joined his A-level studies taking PCM and again he completed his A-level studies at Tosamaganga secondary school and he achieved to be a best student in the country (2006). Now he is pursuing Bsc of science in TELECOMMUNICATION Engineering at University of Dar-es-salaam". Kwahiyo alikuwa anapita kwenye SHULE ZA SEKONDARI na kufundisha MASOMO YA CHEMISTRY, PHYSICS NA MATHEMATICS kwa madai ya kwamba yeye alikuwa ni TANZANIA ONE wa KIDATO CHA SITA [2006].

Lakini ukisoma ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA [2006], jina lake halipo! Na alikuwa anaandaa MACHAPISHO YA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS kwa KIDATO CHA TANO NA SITA kwa kujinasibu kuwa yeye ni TANZANIA ONE [2006].

MFANO mwingine ni MARTIN JULIUS CHEGERE, huyu anajinasibu kuwa yeye ni MWANAFUNZI aliyeongoza DARASA LA SABA [2001], KIDATO CHA NNE [2005] na KIDATO CHA SITA [2007].

Jaribu kusikiliza MAHOJIANO yake akiwa anahojiwa na KITUO CHA TELEVISHENI CHA CHANNEL 5.

Jaribu kusikiliza tena MAHOJIANO yake kwa mara ya pili.

Hii ni MIFANO ya WANAFUNZI ambao walijinasibu kuwa ni VINARA kwa upande wa SHULE YA MSINGI na SHULE YA SEKONDARI kwa nyakati tofauti tofauti.

Sasa maswali yanakuja! Haya MAMBO yote yalikuwa yanafanyika kwa ruhusa ya nani? Kwanini mamlaka husika haikuwahi kuchukua hatua yoyote kwa WANAFUNZI wa aina hii?

Kwa LUGHA nyingine ina maana WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kupitia IDARA ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani NECTA wanahusika.

Na hii ni kwa wale WANAFUNZI wachache waliojinasibu kwa nyakati tofauti tofauti kuwa ni VINARA, wakati sio kweli! Bado kuna maelfu ya WANAFUNZI wanaopata madaraja tofauti na UFAULU wao.

Sasa kwa kutumia ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE, jaribu kuangalia na kupitia TAARIFA ZA KITAALUMA kwa SHULE YA SEKONDARI YA UHURU kwa mwaka 2005, 2006, 2007, 2008, 2012, 2014 na 2015.


Hii SHULE huwa inafanya vizuri sana kwenye MITIHANI YA KITAIFA YA KIDATO CHA NNE na kwa umakini zaidi mwaka 2007 ilifanikiwa kutoa MWANAFUNZI BORA KITAIFA.


Aliyeongoza KIDATO CHA NNE kwa mwaka 2007, ni yule mwanafunzi aliyesimama wa pili kutoka kushoto kama unavyoona kwenye picha hapo juu.

Lakini ukijaribu kuangalia MATOKEO YA 2007 yaliyotumwa SHULENI kwa kutumia ANUANI YA WIZARA NECTA | Home ni tofauti kabisa na UHALISIA. Hiyo ndio GHARAMA YA UONGOZI au kwa jina lingine wanaita ni THE COST OF LEADERSHIP.


Na WAALIMU wanafahamu kabisa kinachofanyika BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani NECTA, kwa sababu wao wanaandaa MITAALA YA ELIMU, wao wanafundisha WANAFUNZI, wao wanaandaa MITIHANI na wao wanasahihisha na kupanga MATOKEO YA WANAFUNZI. Kwahiyo WAALIMU wanafahamu kabisa kinachofanyika pale BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani NECTA.

Sasa hiyo ndio SIASA invyofanyika kwa upande wa WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kupitia IDARA ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani NECTA.


Kufuatia yale yaliyokuwa yanafanyika kwa miaka ya nyuma na jinsi mambo yanavyoendelea, hao WANAFUNZI WA SHULE YA UHURU ndio SIMBA na hao ndio watakuja kuwa wafanyakazi, meneja na wakurugenzi wa baadae wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani SIMBA wanaajiri WATU wao kwa sababu ya HALI YA KISIASA inayoendelea kufanyika nchini TANZANIA.
 
Wakudadavuwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ni WATU makini na wanafuatilia MAMBO ya TANZANIA kwa undani sana.

Kwahiyo wanafahamu kila kitu kinachoendelea kufanyika nchini TANZANIA, ndio maana wanatoa vipaumbele kwa WATU wao.

Yaani waliakisi utamaduni wa KIINGEREZA na wakafanikiwa na mara nyingi WAINGEREZA huwa wanawaita ni "The ELITE with WESTERN VALUES but not WESTERN LOYALTIES".

Kwahiyo SIASA inayoendelea kufanyika chini ya UTAWALA wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM wanaifahamu, ndio maana waliamua kutulia.


Na wanaendelea kukitumia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kwa kuheshimu MAKUBALIANO ya AZIMIO LA TABORA.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wapo mbali sana KIUCHUMI na wamefanikiwa kuwekeza nje ya TANZANIA ili kuwa na UHAKIKA wa BIASHARA zao.

Lakini uhusika wa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM utategemea kizazi kitakachofuata baada ya watangulizi wao.

Kwani uhusiano ulishaingia DOSARI kwa watoto wao waliosoma TANZANIA, kwa sababu ELIMU iligeuka VITA. VITIMBI na MATUKIO ya ajabu ajabu yaliyogubikwa na SINTOFAHAMU isiyoelezeka. Ile ilikuwa ni DALILI MBAYA kwa siku za usoni.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamefanikiwa KISIASA na KIUCHUMI na tunaweza kusema kuwa ni miongoni mwa WATANZANIA walionufaika pakubwa na UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.
 
Wakudadavuwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kuakisi utamaduni wa KIINGEREZA na WAINGEREZA huwa wanawaita ni The ELITE with WESTERN VALUES but not WESTERN LOYALTIES. Hao ndio MWASHITA yaani SIMBA.


Hao MWASHITA yaani SIMBA wana hadhi ya KIUCHUMI inayofanana na VIONGOZI WA MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI kwa upande wa KENYA na UGANDA.

Lakini kwa upande wa TANZANIA wana hadhi inayofanana na HAYATI MWALIMU, MZEE RUKSA na MISTER CLEAN. MISTER CLEAN anaingia kwenye hili KUNDI kwa sababu kipindi cha UHAI wake alikuwa anafanya BIASHARA ya pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHINYANGA] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kupenya hadi ITALIA kwa kuwekeza BIASHARA pamoja na kumiliki TIMU ZA MPIRA WA MIGUU kama AS ROMA, SSC NAPOLI na PARMA CALCIO.

Hizi TIMU ZA SSC NAPOLI na PARMA CALCIO zina mahusiano ya moja kwa moja kama ilivyo kwa TIMU ZA COASTAL UNION FC na SIMBA SC, zote za TANZANIA.


Hali hiyo ilipelekea hawa MWASHITA yaani SIMBA kuwa na mahusiano ya moja kwa moja na VATIKANI yaani KANISA KATOLIKI na huwa kuna namna yake ambavyo huwa inafanyika.

Sasa cha ajabu na cha kushangaza - hao MWASHITA yaani SIMBA pamoja na kunufaika pakubwa na UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM, bado hawapokei MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM wala WAFANYAKAZI WA UMMA kwenye KAMPUNI zao za KIBIASHARA na wala hawachangii FEDHA ZA KAMPENI kipindi cha UCHAGUZI MKUU kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.


Lakini wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kwa upande wa NCHI ZA KENYA na UGANDA wanapokea WAFANYAKAZI WA UMMA ikiwemo POLISI kwenye KAMPUNI zao za KIBIASHARA ikiwa na malengo ya kuimarisha ULINZI SHIRIKISHI.


Lakini kwa upande wa TANZANIA hamna! Hii inatokana na sababu za KISIASA zinazoendelea kufanyika nchini TANZANIA.


Na kile kitendo kilichofanyika katika SHULE YA SEKONDARI YA UHURU kwenye MATOKEO YA KIDATO CHA NNE [2007] ndio kiliwaondoa MWASHITA yaani SIMBA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.

Vile vile wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanaendelea kusaidia WATU wao kwenye KAMPUNI ZA KIBIASHARA ambazo wanamiliki wao wenyewe.


Hii inafanyika kwa makusudi kabisa ili kuhimili SOKO LA USHINDANI yaani COMPETITIVE MARKETS katika nyanja na sekta mbali mbali.


Na hivi karibuni wataanza kuajiri WATU wenye ASILI YA ULAYA YA MAGHARIBI pamoja na AMERIKA ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano ya KIBIASHARA na KIUCHUMI.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa na wanaendelea kufanikiwa pakubwa sana kwenye BIASHARA, UCHUMI na SIASA kwa kuakisi na kuiga utamaduni wa KIINGEREZA.
 
Wakudadavuwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kwenye KAMPUNI zao za KIBIASHARA hakuna WATOTO wa VIONGOZI WA SERIKALI wala hakuna WATOTO wa MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.

Yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA wanapambana na MFUMO!! Kwenye KAMPUNI zao za KIBIASHARA hakuna WAHITIMU wa zile SHULE zetu pendwa na KANISA KATOLIKI wanafahamu hilo na MADHEHEBU MENGINE YA DINI wanafahamu pia.


Na hii inatokana na REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS ambayo inaendelea kufanyika pale WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kwenye IDARA ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA yaani NECTA.

Vilevile wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA hawana muingiliano wa MATABAKA yoyote yaani - They are no longer entitled to any SUPREMACY, they are well EQUIPPED and INDEPENDENT.

Ndio maana wanamiliki VYAMA VYA KISIASA! Wanamiliki TAASISI ZA KIDINI! Wanamiliki VIWANDA pamoja na KAMPUNI ZA KIBIASHARA! Wanamiliki SHULE pamoja na VYUO VIKUU! Wanamiliki VITUO VYA TELEVISHENI, MAGAZETI pamoja na RADIO! Wanamiliki TIMU ZA MPIRA WA MIGUU pamoja na SHULE ZA MICHEZO na wana mahusiano mazuri ya KIJAMII kwa upande wa KITAIFA na KIMATAIFA.


Kwahiyo, hawa MWASHITA yaani SIMBA wanafahamu wanachokifanya na wamefanikiwa kwa zaidi ya asilimia mia moja [ 100% ].
 
Kwahiyo HAYATI MWALIMU alikuwa anakosea sana, lakini OSCAR SALATHIEL KAMBONA hakupaswa kuchukua hatua au kufanya maamuzi kama yale - kwa sababu HAYATI MWALIMU alikuwa ameshika DOLA na ilikuwa ni vigumu kwenda kinyume na SERIKALI aliyokuwa akiongoza kwa nyakati zile.


HAYATI MWALIMU alipewa UHURU WA TANGANYIKA kwa masharti na makubaliano ya MATAIFA MAKUBWA YA ULAYA. Hayo makubaliano yanaegemea MASILAHI ya MATAIFA MAKUBWA ya ITALIA, UJERUMANI na UINGEREZA.

Ilikuwa ni vigumu kwa KIONGOZI mmoja kuvunja masharti na makubaliano hayo, hata kama HAYATI MWALIMU alikuwa ana makosa - kwa sababu MATAIFA MAKUBWA huwa yanaangalia MASILAHI yao kwanza na tayari hayo MATAIFA MAKUBWA yalikuwa yanaamini MASILAHI yao katika usimamizi wa HAYATI MWALIMU.

Kwahiyo makosa waliyoyafanya wakina OSCAR SALATHIEL KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA ni makosa ambayo yalifananishwa na UHAINI ambao utagharimu vizazi na vizazi vyao.

Hali hiyo ilitaka kufanyika kwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA, lakini walijifunza kutokana na makosa ya OSCAR KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliamua kuwa wavumilivu na kujikita zaidi kwenye kujijenga KIUCHUMI na kuwajengea uwezo WATU wao yaani BUILDING CAPACITY TO OUR OWN PEOPLE .


Na walifanikiwa pakubwa sana kwa upande wa TANZANIA na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, kwa sababu muda waliotumia kujijenga KIUCHUMI na KISIASA unakadiriwa kuwa ni zaidi ya miongo mitatu, yaani tangu mwaka 1984.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [ WETCU] yaani MWASHITA wapo mbali sana KIUCHUMI na walipata muda mwingi wa kuandaa WATOTO wao ili kuja kuendeleza pale walipoishia wao.


Huyo wa pili kushoto kwa waliosimama ndio kizazi cha MWASHITA yaani SIMBA ambaye ndiye aliyekuja kuwa KINARA wa MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE [2007].

Huyo aliyekuwa KINARA wa MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE [2007] pia alifanikiwa kuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM], CoHSS [2012/13].


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wanajaribu kuiga UTAMADUNI wa KIINGEREZA, lakini kuna vitu fulani vinawashinda kama kutengeza "FAMILY TREE" ya KIFALME ndio maana wanaitwa ni The ELITE with WESTERN VALUES but not WESTERN LOYALTIES.


Lakini MWASHITA yaani SIMBA wamejitahidi kwa kiasi chake! Hali hiyo ni tofauti kabisa na wakina OSCAR SALATHIEL KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA, kwani VIZAZI vyao vinaishi tofauti na watangulizi wao na sio TASWIRA nzuri ya KIUCHUMI kwa sababu ya MAISHA kuwa DUNI.

Labda tutegemee uwepo mpya wa UONGOZI WA KIFALME wa UINGEREZA kwa MATAIFA YA JUMUIYA YA MADOLA, pengine inaweza kuchochea mabadiliko ya KISIASA kwa MATAIFA yaliyotawaliwa na UINGEREZA.


Hususani kwa upande wa TANZANIA, kwani GHARAMA ZA UONGOZI zimeonekana kuwa juu sana chini ya UTAWALA wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM. Hali hiyo imepelekea kuwa na uvunjifu mkubwa wa HAKI ZA BINADAMU.
 
flank - Profesa IBRAHIM LIPUMBA anaingia kwenye huu uzi wa miongoni mwa WATANZANIA walionufaika na UTAWALA wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.


Kipindi Profesa IBRAHIM LIPUMBA alivyokuwa anarudi TANZANIA kwenye miaka ya tisini [1990's] aliwakuta MWASHITA yaani SIMBA yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] tayari wanamiliki VYAMA VYA KISIASA na Profesa IBRAHIM LIPUMBA alionekana ni TUNU kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF, baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa CHAMA hicho - Ndugu JAMES MAPALALA kustaafu SIASA.

Baada ya Profesa IBRAHIM LIPUMBA kuchukua hatamu ndani ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF, alileta mabadiliko makubwa sana ndani ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF na kufanikisha kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI kwa mwaka 2000 hadi mwaka 2010.

Vilevile, Profesa IBRAHIM LIPUMBA alifanikiwa kuwa WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA kipindi cha MISTER CLEAN na alifanikiwa pakubwa KIUCHUMI BINAFSI.

Kwahiyo Profesa IBRAHIM LIPUMBA na yeye si haba!! Kwani anamiliki BILIONI zake kadhaa na ni tofauti kabisa na Profesa wengine aliowaacha VYUO VIKUU.

Kwani kipindi ambapo wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHINYANGA] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walipoamua kusimama na MISTER CLEAN kwenye SIASA za CHAMA na kufanikiwa kumsimamisha MISTER CLEAN kugombea URAIS kwa tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM, Profesa IBRAHIM LIPUMBA alikuwa mgombea URAIS kwa tiketi ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF.

Hili kundi lilikuwa limejipanga na lilikuwa limetumia GHARAMA kubwa sana za UCHAGUZI WA MWAKA 1995, kiasi ambacho WANASIASA wengine walishindwa kufua dafu na GHARAMA hizo walizirudisha baada ya MISTER CLEAN kuingia IKULU.
 
out of point...twaongelea mengine weye unaleta mr clean!! Anatuhusu nini sisi?.......sijui lipumba alikuja...kwahiyo tulie au.....yaani division zero hamjifichagi kabisa popote mnajulikana.
 
out of point...twaongelea mengine weye unaleta mr clean!! Anatuhusu nini sisi?.......sijui lipumba alikuja...kwahiyo tulie au.....yaani division zero hamjifichagi kabisa popote mnajulikana.
Mimi ni ONE iliyo KALI!! Na kama hiyo haitoshi nenda NECTA kaulize eti BEST STUDENT - 2007 kwa KIDATO CHA NNE ni nani?? Watakupa majibu kwa maswali yako 😁😁

Hiyo posti namba 1236 nilikuwa namjibu flank kwenye posti namba 79 - uzi wa Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?.
Akina Lipumba ndo mfano wao. 🏃🏃🏃
Profesa IBRAHIM LIPUMBA alikuwa ni miongoni mwa wasomi wachache walioingia kwenye SIASA ZA TANZANIA kwa kuangalia madhaifu yaliyotokea kipindi cha nyuma dhidi ya HAYATI MWALIMU na wakina OSCAR SALATHIEL KAMBONA pamoja na ADAM SAPI MKWAWA.

Kwahiyo, wale WANASIASA waliyoyatambua hayo mapema walijikita kwenye SIASA wakiwa na malengo ya kujijenga KIUCHUMI na wakafanikiwa pakubwa sana.

Leo Profesa IBRAHIM LIPUMBA hauwezi ukamfananisha na Profesa wengine aliowaacha VYUO VIKUU, kwani amewaacha mbali sana KIUCHUMI.

Hata wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wapo mbali sana KIUCHUMI. Hilo ndio kundi lililofanikisha kumuweka MISTER CLEAN madarakani kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM.

Kwenye hilo kundi kuna mmoja wao kutoka CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] anamiliki UKWASI unaokadiliwa kuwa na kiasi cha takribani FEDHA ZA KITANZANIA - TRILIONI NANE. Hao ndio wakina SABENA za TABORA na wanamiliki VIWANDA ndani na nje ya TANZANIA kupitia WATU wenye ASILI YA ASIA NA ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] ndio wanakimbizana kiuchumi na HAYATI MWALIMU.

MTU mwingine ambaye tunaweza kusema, ni yule aliyekuwa anaitwa MISTER ABILITY - huyu alikuwa anatoka CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na anamiliki UKWASI unaokadiliwa kuwa na kiasi cha takribani FEDHA ZA KITANZANIA - TRILIONI TANO. Hao ndio wakina SIMBA MTOTO za TANGA - kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kabla ya kuhamia MOMBASA na kuanzisha kampuni mpya iliyokuwa inaitwa SIMBA COACH ambayo inapatikana KENYA mpaka hivi leo. Hawa ndio wamiliki wa vilabu vikongwe vya mpira wa miguu nchini TANZANIA vya SIMBA SC na DAR YOUNG AFRICANS SC zote za DAR ES SALAAM.

Kwahiyo kufuatia ile HALI YA KISIASA iliyokuwa inaendelea kwa kipindi hicho, WATU wengi waliamua kujikita katika kujijenga KIUCHUMI na wengi wao walifanikiwa akiwemo Profesa IBRAHIM HARUNA LIPUMBA.
 
Uwa napitia uzi huu lakini leo nimeona niulize jambo kwanini uwa unapenda kuhamisha na kupindisha mada? Ao kina Prof.Lipumba na Simba walikuwa sehemu ya mtoa mada? Uoni unaleta uchawa! Rudi kwenye mada au anzisha uzi wako.
 
Hii mada huwa nasoma kichwa cha habari tu, sijawahi kupata muda mzuri wa kuisoma kwa utulivu.

Na inaonekana huwa kuna mpango maalum wa kuwa inasogezwa mara kwa mara ili iendelee kuwepo jukwaani.

Nadhani kuna umuhimu kwangu kutumia muda wa kuisoma nione kilichomo, lakini kwa kutumia kichwa cha habari pekee, tayari naona kuna matatizo na mada yenyewe. kwa mambo kadhaa:
Mosi - Kwani Tanzania ya leo ikoje aliyoiona Kambona. Huu ni mfano mzuri wa kuutumia katika kujenga hoja?

Pili - Kuna ushahidi wowote wa kimaandishi, hotuba yanayothibitisha maono ya Kambona?

Ninavyo, hii ni mada ya ku'promote' sifa zisizokuwepo ili mtu aonekane kuwa na uwezo ambao hauna ushahidi juu yake.

Nitaondoa uvivu moja ya siku hizi za karibuni nizame kwenye mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…