Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa MAREKANI, hawa jamaa wana mradi unaoitwa BAISLEY PROJECTS. Kwenye huu mradi wa BAISLEY PROJECTS kuna vitu vingi wanafanya na kubwa kuliko yote huwa wanaandaa wasanii pamoja na wanamichezo wao.


Miongini mwa wasanii waliotokana na mradi wa BAISLEY PROJECTS ni MEEK MILL.

MEEK MILL ni MSANII WA HIP HOP kutoka MAREKANI anayewakilisha mradi wa BAISLEY PROJECTS. Huyu MSANII ni mhamiaji mwenye asili ya TANZANIA kutoka MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA KISHAPU.
 
Baada ya kuanzishwa kwa ile sera ya VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA katika kila MKOA [1984], mwanzoni mwa miaka ya tisini [1990's] zikaanza kuingia basi za ALLY'S, SABENA, NBS, NAAMAN'S pamoja na NCHAMBI'S.

Ile kampuni ya NKAMBA'S ikaanza kupotea taratibu kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI YA ABIRIA NA MIZIGO na kipindi kile habari ya mjini ilikuwa ni CHIFU anamiliki KIJIJI huko MAREKANI.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wana kazi kubwa ya kufanya, ili na wao wasambaze watu wao kama walivyosambaza HAYATI MWALIMU na CHIFU MAKWAIA.


Baada ya kufanikiwa kuanzisha kampuni za usafirishaji wa abiria na mizigo, kilichobaki kilikuwa ni kuanzisha kampuni inayomiliki "APARTMENTS" kama BAISLEY PARK HOUSES inayopatikana NEW YORK, nchini MAREKANI.


Mwaka 1992 kuelekea 1993 [1992's - 1993's], mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA alifanikiwa kumiliki kampuni ya NAKATU HOUSES ambayo inapatikana JAPANI na ilikuwa chini ya usimamizi wa JIJI LA OSAKA na kipindi kile ilikuwa inaitwa ni "PROPERTY OF OSAKA CITY HOUSING AUTHORITY".

Yaani kwa LUGHA nyingine, mmiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria ya OSAKA BUS inayopatikana TANZANIA ndiyo mmiliki halali wa kampuni ya NAKATU HOUSES inayopatikana katika JIJI LA OSAKA, nchini JAPANI.


Hii kampuni ya OSAKA BUS inafanya shughuli zake za kibiashara katika MATAIFA YA JAPANI pamoja na TANZANIA. Sema kwa upande wa TANZANIA, hii kampuni ya OSAKA BUS imepotea kidogo lakini bado ipo.


Baada ya hapo - MATAIFA YA MAGHARIBI, hususani UINGEREZA yakaanza kuingia na kufanya biashara kwa niaba ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na wao wakaanza kuhamisha watu wao ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA.


Hii kampuni ya NAKATU HOUSES ambayo inapatikana JAPANI ilianza kupokea WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA tangu miaka ya tisini [1990's].


Kwa kupitia kampuni ya NAKATU HOUSES walifanikiwa kumiliki hisa kwenye baadhi ya kampuni za kutengeneza vifaa vya kieletroniki kama HITACHI, PANASONIC, CASIO pamoja na SONY.


Baada ya kufanikiwa kumiliki hisa kwenye kampuni za kieletroniki za HITACHI, PANASONIC, CASIO pamoja na SONY - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kuanzisha kampuni inayoitwa OSAKA BUSINESS PARK.


Hii kampuni ya OSAKA BUSINESS PARK inafanya miradi yake kama ilivyo kwa kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES inayopatikana katika JIJI LA NEW YORK, nchini MAREKANI.


WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wakaanza kuhamia JAPANI katika JIJI LA OSAKA na kuanza kuishi katika APARTMENTS ZA NAKATU HOUSES.


Pale OSAKA walianza kufungua KIWANDA CHA PAYDEN. Hiki KIWANDA kinatumika kutengeneza nguo za PAYDEN.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walijijenga kiuchumi kwa msaada wa MATAIFA YA MAGHARIBI, hususani UINGEREZA.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
WAJAPANI wanasema BAISLEY HOUSES PARK inayopatikana NEW YORK, nchini MAREKANI inaingia mara mbili kwa NAKATU HOUSES inayopatikana OSAKA, nchini JAPANI.


Baada ya mradi wa NAKATU HOUSES kukamilika, WAJAPANI hawakuamini mpaka leo kama ule mradi ungeliweza kukamilika kwa PESA ZA MTANZANIA.


Ule mradi wa usafirishaji wa abiria na mizigo kupitia kampuni ya usafirishaji ya OSAKA ulianza mwaka 1993 na hadi leo upo na unaendelea na shughuli zake za kibiashara.


Hii miradi ya NAKATU HOUSES pamoja na kampuni ya kusafirisha abiria na mizigo inayoitwa OSAKA ilifanya MISTER ABILITY kuwa MTANZANIA wa kwanza kuwekeza mtaji mkubwa katika TAIFA LA JAPANI.


Baada ya miradi kukamilika WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walianza kuhamia OSAKA, nchini JAPANI na kuanza kufanya kazi kwenye miradi ya OSAKA pamoja na NAKATU HOUSES.






Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walianza kusambaza watu wao ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA kuanzia miaka ya tisini [1990's].
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
WAJAPANI hadi leo wanakuja TANZANIA kuangalia mmiliki wa NAKATU HOUSES, maana hawakuamini kama ni pesa za kutoka TANZANIA ndiyo zilizojenga huo mradi wa NAKATU HOUSES.


NAKATU HOUSES ni mradi mkubwa na kuna majengo mengine ambayo hii kampuni ya NAKATU HOUSES inamiliki ukiwa pale katika JIJI LA OSAKA.






Sasa hivi ukiwa katika JIJI LA OSAKA kuna WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wanafanya kazi katika kampuni za NAKATU HOUSES pamoja na OSAKA BUS ukiwa pale OSAKA BUSINESS PARK.




Hawa wote ni miongoni mwa WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia JAPANI na wanafanya kazi OSAKA BUSINESS PARK.






Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, miongoni mwao kulikuwa kuna vizazi vya machifu na MISTER ABILITY ni kazazi cha CHIFU MISASI WA MWANZA.

Kwahiyo pale kwenye vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuna familia ziliendelea kujijenga KIUCHUMI na kuna familia nyingine zilianzia pale kujijenga KIUCHUMI kwa msaada wa MATAIFA YA MAGHARIBI, hususani UINGEREZA.
 
Ujamaa uko vizuri ndo maana wabebari wakubwa Wana ujamaa wao
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa pale OSAKA BUSINESS PARK, ile kampuni ya NAKATU HOUSES ambayo inapatikana JAPANI ndiyo inamiliki haya MAJENGO YA KIBIASHARA.


Haya ndiyo MAJENGO YA KIBIASHARA ambayo yanamilikiwa na kampuni ya NAKATU HOUSES.




Kwahiyo sasa hivi wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanajaribu kufanya biashara endelevu ambayo itakuwa inatengeneza faida kwa kipindi kirefu, yaani SUSTAINABLE BUSINESS.
 
sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kwenye ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kulikuwa kuna matabaka manne [4] kwa idadi yake. Matabaka hayo yalikuwa ni WASUKUMA WA KISHAPU, WANYAMWEZI, WANYANTUZU na WASUKUMA wote waliobaki [hii ndiyo JAMII YA MWASHITA].

Wale waliokuwa WASUKUMA WA KISHAPU, WANYAMWEZI na WANYANTUZU walikuwa na UCHUMI MKUBWA tangu siku nyingi na wale WASUKUMA wengine waliobaki ndiyo wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE [ambao walikuwa ni MWANZA, SHINYANGA na baadhi ya sehemu za TABORA, ikiwemo NZEGA na IGUNGA].

Hawa WASUKUMA wengine walishikwa mkono na HAYATI MWALIMU, kwa sababu walikuwa hawana UCHUMI MKUBWA ukilinganisha na matabaka yaliyobaki na mwisho wa siku walijikuta wameingia kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU.

Huko kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU ndipo walipopata FEDHA hadi kuwazidi matabaka mengine yanayounda JAMII YA MWASHITA.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL.


Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inapatikana maeneo yanayoitwa KABUGA iliyopo KIGALI, nchini RWANDA.


Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inatoa elimu kwa kutumia "SYLLABUS OF CAMBRIDGE FROM UK" na wafanyakazi pamoja na wanafunzi wengi wa SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL ni WATANZANIA ambao walihamia RWANDA wakitoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL pamoja na SHULE YA SPENA inayopatikana KAMPALA, nchini UGANDA ni SHULE ambazo zinamilikiwa na mmoja. Yaani ni SHULE za wakina MANING NICE.
 
sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL YA RWANDA ni kama ilivyo timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA - YANGA SC na SPENA YA UGANDA ni kama ilivyo timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA - SIMBA SC.


Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inajumuisha wafanyakazi na wanafunzi ambao ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.




Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inatoa SCHOLARSHIP kwa wanafunzi wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA [WATANZANIA] ambao wanaishi TANZANIA, KONGO, RWANDA, BURUNDI, KENYA na UGANDA.


SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL ni shule kubwa pale RWANDA na inafanya vizuri kitaaluma.


SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL ni shule nzuri kwa wafanyakazi pamoja na wanafunzi kwa sababu ina mazingira mazuri ya kufundishia na kujisomea.


Ukiwa pale KIGALI, nchini RWANDA - hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inajulikana kama ni SHULE YA WATIZEDI yaani SHULE YA WATANZANIA.
 
sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL ni kama ilivyo kwa SHULE YA SPENA inayopatikana KAMPALA, nchini UGANDA.


Kwani na wao wanaandaa WAFANYAKAZI NA WAKURUGENZI wa baadae wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wanasoma katika SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL.


Hadi huyu mwalimu wa SOMO LA FIZIKIA ni MTANZANIA aliyehamia RWANDA na kupata kazi katika SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL.


Hii SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inasifika kwa UJUZI WA LUGHA - hapa unaweza kukuta mwanafunzi anaongea LUGHA ZA KIMATAIFA zaidi ya nne na bado wanakuwa wanafanya vizuri KITAALUUMA.


Hawa wanafunzi wa SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL ni tegemeo kwa siku za usoni kwa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hawa wanafunzi wawili, mwaka juzi kipindi cha COVID-19 walikuwepo TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA na wamekaa sana pale SHINYANGA MJINI.


Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA ambao wanasoma pale katika ile SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inayopatikana KIGALI, nchini RWANDA.


Hawa ndiyo TANZANIA DIASPORA ambao wanaishi RWANDA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwa kunakuwa na IBADA kwa DINI zote ambazo zinatambulika RWANDA na huwa zinafanyika kwa siku ya IJUMAA, JUMAMOSI na JUMAPILI.


Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia RWANDA ambao wanajumuisha wafanyakazi na watawa wa KANISA KATOLIKI.


Ukiwa RWANDA, hususani KIGALI - sehemu sahihi ya kuwapata WATANZANIA ambao wanasoma RWANDA ni RIVIERA HIGH SCHOOL.


Kwahiyo huu ndiyo uwekezaji ambao wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wataendelea kuwekeza katika MATAIFA mbalimbali baada ya SEKTA YA USAFIRISHAJI YA ABIRIA NA MIZIGO.
 
sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?

Sent using Jamii Forums mobile app















Hawa wote ni WATIZEDI ambao wanasoma katika SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inayopatikana KIGALI, nchini RWANDA na wanatumia LUGHA ZAIDI YA TATU ZA KIMATAIFA ambazo ni KINYARWANDA, KIINGEREZA, KIFARANSA, KISWAHILI na LUGHA ZA ZIADA kama KILINGALA na KINYANKOLE.
 
sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?

Sent using Jamii Forums mobile app















Hapa kati ya hawa wanafunzi wa kike, kuna mwanafunzi mmoja baada ya kuhitimu masomo alikuja kusoma udereva na kuendesha mitambo katika CHUO CHA VETA kinachopatikana SHINYANGA, nchini TANZANIA na nadhani atakuwepo hadi sasa hivi akisubiri VYETI.




Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia RWANDA na wengine wengi huwa wanakuja kusalimia ndugu na jamaa zao ambao waliwaacha TANZANIA.
 
Nchi zilizo opt mfumo wa ubepari mpaka leo zina matatizo ya ukosefu wa ardhi kwaajili ya wananchi wake. Bado Nyerere alikuwa sahihi.
 
wananini hao necta
Hiyo ndiyo siasa! And let us all be open to each other for better enlightenment. Hatuwezi kuwa sawa au zaidi ya TAIFA LA KENYA kwenye masuala ya kitaaluma, kwa sababu TAIFA LA TANZANIA linafanya "REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS".

Aina hii ya siasa kwa upande wa TAIFA LA KENYA ilikoma tangu 1984 [KCSE: Unnatural skew, magical deviation] na hata kwa upande wa TAIFA LA UGANDA wapo vizuri sana kwenye masuala ya kitaaluma kuliko TAIFA LA TANZANIA.
 
Kwenye MAANDIKO YA DINI huwa kuna mstari unaosema hivi - "Kitakachofungwa duniani na mbinguni kitafungiwa, kitakachofunguliwa duniani na mbinguni kitafunguliwa". Hao ndio WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.


WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wakikushika mkono, popote utaenda na popote utawekeza katika ULIMWENGU huu. Pia WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wakikukataa, hata ndani ya TAIFA lako hautakubalika.


Huyu mchezaji wa KIMATAIFA WA NAPOLI YA ITALIA alianzia WOLFSBURG YA UJERUMANI, pale alicheza vizuri na akapata nafasi ya kusajiliwa timu ya NAPOLI YA ITALIA.


Kwenye SEKTA YA MICHEZO huwa kuna UKIRITIMBA, hasa sehemu ambayo ina MASILAHI na UWAKILISHI WA MATAIFA mbalimbali.


Katika ULIMWENGU wa leo - siyo ajabu kuwa na kipaji, halafu usikitumie na wala usionekane usipopata mtu wa kukushika mkono. Kwahiyo kila SEKTA inahitaji kuwa na MENTOR au wengine wanapenda kusema GODFATHER na MENTOR au GODFATHER wa JAMII YA MWASHITA ni UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.


WANAMICHEZO wengi kutoka TANZANIA, hususani katika JAMII YA MWASHITA wamekuwa wakionekana na kufanikiwa sana kutokana na uwepo wa UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.


Sasa hivi VICTOR OSIMHEN ameweka rekodi ya ufungaji magoli mengi katika SERIE A kuliko mchezaji yoyote mwenye asili ya kiafrika na ameipiku rekodi ya SAMUEL E'TO.

Kwahiyo haya ni baadhi ya MATUNDA NA MAFANIKIO ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata huyu MICHAEL OLUNGA ni MTANZANIA mwenye asili ya MWASHITA aliyehamia KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


MICHAEL OLUNGA anafanya vizuri sana kwenye tasnia ya mpira wa miguu na anawakilisha TIMU YA TAIFA YA KENYA.


MICHAEL OLUNGA alitoka katika SOCCER ACADEMY ya LIBERTY inayopatikana KENYA na anacheza mpira wa kulipwa UGHAIBUNI. Kwahiyo hayo ni MATUNDA NA MAFANIKIO ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…