Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Umenikumbusha kipindi kile cha awamu ya nne, watu wengi walikuwa wanasema kuwa LAKE OIL π’ inamilikiwa na RIZ-ONE. Kumbe haikuwa RIZ-ONE kama watu wengi walivyokuwa wanadhani, bali LAKE OIL π’ inamilikiwa na TANZANIA-ONE.hiv riz1 nae ni mwashita? maana
Ifike mahala muelezane ukweli kuwa hawa WANASIASA wengine wanataka nini? Kwa sababu, kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ni jamii tatu tu ambazo huwa zinafanya SIASA YA KWELI. Jamii hizo ni SERENGETI, MWASHITA na WATU WA PWANI.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
Kipindi cha miaka ya tisini [1990's] hizi kampuni za kigeni za MAFUTA YA PETROLI, DIZELI na MAFUTA YA TAA zilikuwa zina nguvu kubwa, maana ilikuwa wakipandisha bei ya mafuta nchi ilikuwa inayumba.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
who is tanzania 1?Ifike mahala muelezane ukweli kuwa hawa WANASIASA wengine wanataka nini? Kwa sababu, kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ni jamii tatu tu ambazo huwa zinafanya SIASA YA KWELI. Jamii hizo ni SERENGETI, MWASHITA na WATU WA PWANI.
who is tanzania 1?
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo kampuni za kigeni zilikuwa zimeshikilia SEKTA YA MAFUTA YA PETROLI, DIZELI NA MAFUTA YA TAA. Ilikuwa ni vigumu sana kwa kampuni za wazawa kuweza kumiliki kampuni za mafuta.who is tanzania 1?
Baada ya kuibuka kwa MIGODI YA DHAHABU yaani "MINING BOOM" nchini TANZANIA, kuna baadhi ya WATANZANIA walifanikiwa kumiliki hisa kwenye baadhi ya KAMPUNI ZA UCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
Baada ya hapo, zilifuata kampuni ndogo ndogo kama KTN OIL [kampuni mwenza wa KTN INDUSTRY pamoja na kituo cha televisheni cha KTN kinachopatikana nchini KENYA], SIMBA OIL, KILIMANJARO OIL, PETROCOM, BIG BON na MSN OIL, pia ilipatikana kampuni mpya ya mafuta iliyokuwa inaitwa AFROIL.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanamiliki kampuni nyingi kwa upande wa SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MAFUTA YA PETROLI, DIZELI NA MAFUTA YA TAA.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wameishikilia sekta ya usafirishaji kwa zaidi ya asilimia hamsini [50%].duhh jamaa wanamiliki 95% ya kkampuni zote sasa,,,duuuuh
Hiyo kampuni ya PETROCOM LIMITED ni kampuni kubwa kwa kiasi chake na inafanya vizuri kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MAFUTA YA PETROLI, DIZELI na MAFUTA YA TAA.duhh jamaa wanamiliki 95% ya kkampuni zote sasa,,,duuuuh
SIASA YA MAZIWA MAKUU ni ngumu sana, tena sana na inabidi uwe na AKILI TIMAMU ndiyo utaweza kuelewa SIASA YA MAZIWA MAKUU.sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kampuni ya PETROCOM LIMITED ambayo inatumika kusafirisha MAFUTA YA PETROLI, DIZELI NA MAFUTA YA TAA kwa MATAIFA LA RWANDA NA BURUNDI ni kampuni ambayo iliasisiwa kutoka kwa kampuni ya OILCOM.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's] ulikuwa ukisikiliza BBC IDHAA YA KISWAHILI ile habari ya saa moja jioni, kulikuwa kuna USHAIRI uliotungwa na kuimbwa na BI KIDUDE.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kuna watu walitoka "FROM ZERO TO HERO", yaani walikuwa wanaishi SHINYANGA na hatima ya maisha yao yalikuwa ni pale pale SHINYANGA.nifute tongotongo, tanzania oneni nani
Hivi unajuwa vizuri hawa JAMII YA MWASHITA? JAMII YA MWASHITA wanaenda kama JAMII YA WAINGEREZA, yaani JAMII YA MWASHITA wamefanikiwa kuakisi tamaduni na mtindo wa maisha ya KIINGEREZA.unalakusema kwenye sakata la DP world, mwashita hawapo nuyma yake?