Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]

Haya yote ni MATUNDA ya CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU]..πŸ˜‚ Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] walikuwa wana hela hadi timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA inayoitwa SIMBA SC iliitwa WEKUNDU WA MSIMBAZI.


Yaani wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA inayoitwa SIMBA SC walikuwa wana hela hadi noti ya shilingi elfu kumi [10,000] iliitwa MSIMBAZI.


Hili jina la "NOTI YA MSIMBAZI" limedumu kwa kipindi kirefu sana hadi kufikia wahusika wenyewe kuhamisha baadhi ya mitaji ya kibiashara kwenda nje ya nchi.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
Angalia huyu MTANZANIA mwingine mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu anaitwa LARRY MADOWO ni MTANZANIA kwa asili na alizaliwa SHINYANGA MJINI, wazazi wake wakiwa wanaishi KATA YA NGOKOLO na alihamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


LARRY MADOWO alifanikiwa kufanya kazi katika kituo cha televisheni cha NTV, nchini KENYA na baadae alifanikiwa kufanya kazi katika kituo cha televisheni cha BBC.


LARRY MADOWO baadae alifanikiwa kupata kazi katika kituo cha televisheni cha CNN kama SENIOR CORRESPONDENT.

LARRY MADOWO ndiyo mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


LARRY MADOWO ni NOTABLE ALUMNI wa CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA.

CHUO KIKUU CHA DAYSTAR ni TAASISI YA KITAALUMA ambayo ni kubwa na pia inajihusisha na masuala ya kidini katika MATAIFA YA KENYA, NAIJERIA pamoja na MAREKANI.


Hicho CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA kinamilikiwa na wale wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR inayopatikana nchini TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
Hicho CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA ni miongoni mwa VYUO VIKUU vilivyoendelezwa baada ya kuanzishwa kwa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR inayopatikana SHINYANGA, nchini TANZANIA.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] pale kwenye uwanja wa SHYCOM kulikuwa kuna kongamano kubwa la uimbaji na uinjilisti la kwaya kutoka UGANDA ambalo lilikuwa linafanyika kila mwaka.


Wale watu waliokuwa wanakesha kwa kusifu na kuabudu pale katika uwanja wa SHYCOM kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ndiyo walioenda kuendeleza CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA.








Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kipindi kile cha TAMASHA LA UIMBAJI LA SHYCOM.






Ukiwa pale CHUO CHA DAYSTAR ule utamaduni wa kusifu na kuabudu bado unaendelea, ikiwa kama ni sehemu ya kuenzi TAMASHA LA UIMBAJI LA SHYCOM.






Hii TAASISI YA CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA kimejitanua hadi LAGOS, nchini NAIJERIA ambapo kuna TAASISI YA KIDINI inayoitwa DAYSTAR CHRISTIAN CENTRE.


Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini NAIJERIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.


Na mara nyingi huwa wanavaa nguo yenye sare ya "RANGI YA ORANGE" ikiwa na maana ya kampuni tanzu ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR inayopatikana nchini TANZANIA.


Pia kuna kituo cha televisheni kinachoitwa DAYSTAR TELEVISION NETWORK kinachopatikana TEXAS, nchini MAREKANI.


Hiki kituo cha televisheni cha DAYSTAR TELEVISION NETWORK bado hakijaanza kupokea wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Pia, kwa kupitia CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA wanamiliki pia SHULE YA MSINGI YA DAYSTAR inayopatikana BOKO BASIHAYA, BUNJU, DAR ES SALAAM, nchini TANZANIA.


Kwahiyo haya ni baadhi ya MATUNDA ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.

CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA - wafanyakazi wengi pamoja na wanafunzi ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa wote bado wanaendelea na ule mtindo wa kusifu na kuabudu kama ilivyokuwa inafanyika pale kwenye vile VIWANJA VYA SHYCOM.




Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza nchini KENYA na hawa ndiyo WATANZANIA wanaofanya kazi katika kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wataendelea kuwa vizuri KIUCHUMI kwa kipindi kirefu sana.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.

Hawa ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia KENYA wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA na wamesoma katika CHUO KIKUU CHA DAYSTAR kinachopatikana NAIROBI.


Pia ukiwa pale KENYA kuna TAASISI YA KIDINI inayoitwa DAYSTAR CHRISTIAN FELLOWSHIP ambayo ipo chini ya CHUO KIKUU CHA DAYSTAR.






Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao walihamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kipindi kile cha TAMASHA LA UIMBAJI LA SHYCOM.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.

Huyu pia ni MTANZANIA kwa asili ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.


Hawa pia walihama TANZANIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo TAMASHA LA UIMBAJI LA SHYCOM lilikuwa linafanyika kila mwaka.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR ilianzishwa mwaka 1992 na imefanikiwa kubeba watu wengi sana wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Mwingine ni huyu mke wa mwanasiasa wa TAIFA LA UGANDA - BOBI WINE na aliondoka TANZANIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka MKOA WA SHINYANGA akiwa binti mkubwa.


Huyu pia alikuwa anahudhuria TAMASHA LA UIMBAJI LA SHYCOM, yaani kwa LUGHA nyingine tunaweza kusema ukweli uliowazi kuwa ile KWAYA kutoka TAIFA LA UGANDA walikuwa ni JESHI LA UGANDA, UPDF.


Kipindi hicho, wenyeji wengi sana wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kuhamia UGANDA na kujiunga na MAJESHI YA ULINZI.


RAIS MUSEVENI aliamua kufanya hivyo kutokana na hofu ya MAPINDUZI YA KISIASA kutoka kwa mahasimu wake wa kisiasa.




Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA walifanikiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wanaitwa "BAZZUKULU" ikiwa na maana halisi ya "WAJUKUU" kwa LUGHA YA KIGANDA.


Hili neno la "BAZZUKULU" huwa anapenda kulitamka kwenye hotuba zake, kurasa ya Instagram pamoja na kurasa ya Twitter.


Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliojiunga na MAJESHI YA ULINZI YA UGANDA ndiyo wanashikilia PSU [PRESIDENTIAL SECURITY UNIT] kwa upande wa TAIFA LA UGANDA.




Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama na kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi ya TANZANIA.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.

Hawa wakina BOBI na wao wanajijenga kuwa ROYAL FAMILY, kwani tayari wameshaanza kumiliki ASSETS zao kama MAJENGO katika MATAIFA YA AMERIKA pamoja na ULAYA.


Kwahiyo, kwa kupitia wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA - kuna familia nyingine zitainuka na kujijenga kuwa ROYAL FAMILY kutokana na kuwa na uhakika wa kuegamia KIUCHUMI.
 
HAYATI MWALIMU alipewa tonge mdomoni na alipaswa kujijenga KIUCHUMI kama waasisi wa MATAIFA mengine walivyokuwa wanafanya .


Kwenye MAJESHI au SIASA huwa hakuna usaliti wa bahati mbaya, mipango ilipangwa na imefanikiwa. Kwahiyo kusamehe au kutokusamehe imebaki kuwa ni sehemu ya maisha yao.


Kwa upande mwingine, tunaweza kusema kuwa ndiyo imeisha hiyo!. Itabaki historia, kwamba alikuwepo RAIS WA KWANZA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.


Lakini wenye jukumu kuhusu CHAMA TAWALA ni WAINGEREZA, kwa sababu WAINGEREZA ndiyo waliokuwa wamiliki halali wa VYAMA VYA KISIASA vilivyokuwa vinaitwa TANU na AFRO SHIRAZ PARTY [ASP] ambavyo kwa muunganiko wao, ndiyo vilizaa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi na walijikita katika masuala ya kutafuta UCHUMI.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa YARA.


Hii kampuni ya YARA VITA CROP BOOST inahusika na mbolea inayotumika kwenye SEKTA YA KILIMO na chimbuko lake ni kutoka KIWANDA cha kuzalisha sukari kinachoitwa MTIBWA SUGAR kinachopatikana TURIANI, MOROGORO nchini TANZANIA. Pia wanamiliki VIWANDA vingine vingi..


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwekeza sana kwenye VIWANDA.






Kwahiyo, kwa kipindi hiki ambacho CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kinaendelea kushika hatamu - kuna WATANZANIA wamefanikiwa pakubwa sana katika kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kupitia VYAMA VYA KISIASA ambavyo waliviasisi wao wenyewe.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.

Angalia MTANZANIA mwingine mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UFARANSA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.

Huyo ndiyo mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA na wacheza mpira weusi wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA inayoitwa OLYMPIQUE LYONNAIS ni WATANZANIA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga
Jaribu kuangalia hii BAJETI YA MWAKA 1995/96 ambapo kima cha chini cha mishahara kwa WATUMISHI WA UMMA kilipandishwa kutoka shilingi 10,000 hadi kufikia shilingi 17,500 kwa mwezi.


Kipindi hicho kuna baadhi ya wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa tayari wamekwisha fikisha UKWASI wa zaidi ya shilingi bilioni moja [1,000,000,000].


Kuna baadhi ya wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA, tayari walikuwa wanamiliki kampuni za usafirishaji wa abiria na mizigo.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], kwa upande wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] kuna mfanyakazi alikuwa tayari anamiliki UKWASI wa thamani ya shilingi bilioni nane [8,000,000,000].


Ndiyo hawa wanaomiliki kampuni ya DAIKIN GROUP, watengenezaji na wasambazaji wa AIR CONDITION kutoka JAPANI.


Hii kampuni ya DAIKIN GROUP ina wafanyakazi wengi sana ambao ni wenyeji wa asili wa BARIADI na sasa hivi BARIADI inapatikana katika MKOA WA SIMIYU.


Pia wanamiliki kampuni inayoitwa ATKINS ambayo inapatikana katika TAIFA LA MAREKANI. Hii kampuni ni kubwa na inajishughulisha na mambo mengine mengi.





Hawa pia wanajijenga kuwa ROYAL FAMILY na mwaka 2007 katika mtihani wa kidato cha nne, mmoja wa watoto wao alifanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007].


Baada ya wenyeji wa asili wa KISHAPU kufanikiwa kuwa na IDADI NA ORODHA YA KOO zote ambazo chimbuko ni KISHAPU, wale wenyeji wa asili wa BARIADI na wao hawakuwa nyuma - kwani kufikia mwaka 1996 tayari walikuwa na IDADI NA ORODHA YA KOO zote ambazo zinapatikana sehemu za NTUZU.


Pia katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kuelekea miaka ya elfu mbili [2000's], hilo eneo linalopatikana DAR ES SALAAM ambapo pamejengwa sehemu ya kuhifadhi mafuta [OIL DEPOT] ya kampuni ya WORLD OIL ilikuwa inamilikiwa na hao wenyeji wa asili wa BARIADI na ilisemekana wamekodisha kwa kampuni ya WORLD OIL ili pajengwe tenki za kuhifadhi mafuta.




Hii kampuni ya WORLD OIL inasemekana na wao wamo katika sehemu ya umiliki.


Hii kampuni ya WORLD OIL, chimbuko lake ni MAREKANI na inafanya vizuri sana kwa upande wa SOKO LA USHINDANI.


Pia kampuni ya WORLD OIL inahusika katika masuala ya utunzaji mazingira na madhara yatokanayo na uharibifu wa mazingira.


Kwahiyo hawa wamiliki halali wa kampuni ya DAIKIN GROUP na ATKINS, ndiyo wanaomiliki kampuni ya usafirishaji ya mafuta inayoitwa ATKINS inayopatikana TANZANIA na kampuni ya UTAFUTAJI NA UCHIMBAJI MADINI inayoitwa [...] inayofanya shughuli zake nchini TANZANIA.


Hawa ndiyo wanaowabeba WANYANTUZU na WANYANTUZU wamesambaa sana, sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga

Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia nchini UGANDA wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA, WILAYA YA BARIADI. Sasa hivi ni MKOA WA SIMIYU.


Hawa ndiyo WANYANTUZU na wapo juu sana, kule BARIADI na sehemu kama MASWA na MEATU waliobaki ni WALOWEZI. Lakini wenyeji wa asili wengi walisambaa na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kuelekea miaka ya elfu mbili [2000's], pale SHULE YA SEKONDARI YA BULUBA katika MKOA WA SHINYANGA kulikuwa kuna mwanafunzi anaitwa NCHEYE.

Huyu NCHEYE alikuwa ni mwanafunzi mtukutu sana na BANGI alikuwa anavuta!! Baadae akaja kukutana na rafiki yake aliyekuwa anaitwa DENGENYA.

DENGENYA alikuwa ametoka DUTWA na wote walihamia DAR ES SALAAM pamoja na wakina BELENGE, mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili [2000's].

Baadae nilikuja kusikia wanaishi NAIROBI, nchini KENYA na wanafanya kazi katika kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa BARIADI ambao walihamia nchini MAREKANI tangu miaka ya tisini [1990's].


Hawa pia wanafanya vizuri katika tasnia ya michezo na wamewekeza sana katika MATAIFA YA AMERIKA, ULAYA pamoja na ASIA.


Hawa wenyeji wa asili wa BARIADI ndiyo waliokuwa wanufaika wakubwa wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU], wamejijenga kiuchumi kiasi ambacho hawawezi kufirisika leo wala kesho.
 
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Wale wenyeji wa asili wa BARIADI ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI inayoitwa WERDER BREMEN.


Hawa wenyeji wa asili wa BARIADI wanamiliki kampuni nyingi za kibiashara na ukiondoa KISHAPU, hao WANYANTUZU ndiyo jamii iliyopiga hatua kuliko jamii nyingine za MWASHITA.






Baada ya WANYANTUZU kukamilisha IDADI NA ORODHA YA KOO zao mwaka 1996, waliofuata baada ya hapo ni WANYAMWEZI kutoka MKOA WA TABORA.
 
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Baada ya WANYANTUZU kukamilisha IDADI NA ORODHA YA KOO zao, mwaka 1996 na waliofuata baada ya hapo walikuwa ni WANYAMWEZI.


Hawa WANYAMWEZI walikamilisha IDADI NA ORODHA YA KOO zao mwaka 1998 na wengi walihamia katika MATAIFA YA KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI na KONGO.


Ukiwa nchini UGANDA, hao WANYAMWEZI ndiyo wanaomiliki vituo vya televisheni vya SANYUKA TV na NBS pamoja na kituo cha radio kinachoitwa NEXT RADIO.


Hawa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa NBS COMPANY LIMITED ndiyo wamiliki halali wa vituo vya televisheni vya SANYUKA TV, NBS pamoja na kituo cha radio kinachoitwa NEXT RADIO vinavyopatikana katika TAIFA LA UGANDA.


Wenyeji wa asili wa MKOA WA TABORA wengi walihama na waliobaki kule ni WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
 
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]

Hii klabu ya mpira wa miguu ambayo inashiriki LIGI KUU YA KONGO inayoitwa AS MANIEMA UNION DE KINDU inajumuisha wacheza mpira wote ambao ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Wale WANYANTUZU na WANYAMWEZI walikuwa na utamaduni au mtindo wa kuchapana viboko kama adhabu kwa mwanaukoo yoyote atakayekuwa amekosea. Hii ilikuwa inafanyika kila mwaka ambapo kunakuwa na VIKAO VYA UKOO.

Walikuwa wanafanya hivyo ili kuwekana sawa na walifanikiwa, kwa sababu hata haya matukio yanayoendelea kufanyika leo katika maeneo yao - kama NDOA ZA UTOTONI, UKATILI WA KIJINSIA, MAUAJI YA WAZEE na ULEVI KUPITA KIASI huwa inafanyika na WALOWEZI. Wale wenyeji wa asili huwa hawana hizo tabia na wametulia kama hawapo.

Shughuli iliyokuwa imebaki ilikuwa ni kwa wale wenyeji wa asili waliobaki wa MWANZA, SHINYANGA na sehemu za TABORA kama IGUNGA na NZEGA.

Wale wenyeji wa asili wa MWANZA, SHINYANGA na sehemu za TABORA kama IGUNGA na NZEGA walikuwa wengi na gharama ya kuhesabu na kupata IDADI NA ORODHA YA KOO zote ilikuwa kubwa.

Ililazimika baadhi ya watu kununua pikipiki zile HONDA na kuzambaza vijijini ili kupata idadi kamili ya KOO zao na walifanikiwa.

Kufikia mwaka 2000, wale wenyeji wa asili waliobaki wa MWANZA, SHINYANGA na sehemu za TABORA kama NZEGA na IGUNGA na wao walikuwa tayari wameshapata IDADI NA ORODHA YA KOO zao.


Jukumu la kufanya kama walivyokuwa wanafanya wale wenyeji wa asili wa KISHAPU, NTUZU na WANYAMWEZI waliwaachia wakina KIDUDUYE na MISTER ABILITY. Kipindi hicho tayari MISTER ABILITY na yeye alikuwa na UKWASI WA KUTOSHA, zaidi ya BILIONI MOJA.
 
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikamilisha ORODHA NA IDADI YA KOO zao mwaka 2000.


Mwaka 2000 ndiyo SIMBA ilijitanua na kujitanabaisha kwa uwazi kuwa ni WAPAMBANAJI, kwa sababu walikuwa tayari wamekwisha miliki uchumi wao.


Hiki kipindi cha BAJETI YA MWAKA 1995/96 ambapo kima cha chini cha mshahara kwa TANZANIA BARA kilipandishwa kutoka shilingi 10,000 hadi kufikia shilingi 17,500 kwa mwezi - kuna wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA tayari walikuwa wanamiliki kampuni za usafirishaji za abiria na mizigo.


Wale wenyeji wa asili wa BARIADI - kuna mtu alikuwa na ukwasi wa thamani ya shilingi bilioni nane [8,000,000,000] na wamewekeza sana nje ya nchi. Ilifikia hatua walikuwa wanasema "MONGO LISHIBINO" maana yake ni "MTO UMEJAA" kwa lugha ya KISWAHILI kilicho fasaha.


Wengine waliofatia baada ya hapo, walikuwa ni wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU]. Pale kuna mfanyakazi alikuwa na ukwasi wa thamani ya shilingi bilioni tano [5,000,000,000] na wao walifanikiwa kuwekeza nje ya nchi.


Waliofatia wengine walikuwa ni wakina MISTER ABILITY kutoka CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na alikuwa na ukwasi wa thamani ya shilingi bilioni tatu [3,000,000,000].


Hawa wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE ndiyo waliokuwa nyuma ya wenyeji wa asili waliobaki wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Wale wenyeji wa asili wa KISHAPU kuna mtu alikuwa na ukwasi wa thamani ya shilingi bilioni mbili [2,000,000,000] na walikuwa wanatamba kwamba wao ndiyo walioanza kuliona jua kuliko wenyeji wengine wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Kwahiyo wale wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE waliokuwa nyuma ya wenyeji wa asili waliobaki wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanajukumu kubwa la kutafuta PESA na ndiyo ilikuwa mwanzo wa kununua na kumiliki timu za michezo kwa upande wa MATAIFA YA ULAYA na MAREKANI.


Kuwekeza katika sekta ya michezo kuliwasaidia, kwa sababu tiketi huwa zinauzwa kwa msimu mzima. Yaani kabla ya msimu kuanza, tiketi za mechi zote zinakuwa tayari zimeshauzwa na aina hii ya uwekezaji huwa inalipa sana kwa MATAIFA YA ULAYA hasa UINGEREZA.


Kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA MAREKANI [NBA] inayoitwa LOS ANGELES LAKERS.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwa pamoja wanamiliki UCHUMI MKUBWA na wamejitahidi kujijenga kupitia watu wao.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

Huyu ni MTANZANIA kwa asili ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA.

Huyu dada katika kila timu za mpira wa kikapu ambazo zinashiriki LIGI KUU YA MAREKANI [NBA] na [WNBA] na zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa yupo na anaonekana hata katika baadhi ya mechi.

Pia ni mfanyakazi wa kampuni ya AT&T ambayo inadhamini LIGI KUU YA WANAWAKE YA MAREKANI [WNBA].
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga
Kile kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kulikuwa kuna vuguvugu la SIASA ZA KIKABILA kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI na wale waliokuwa viongozi wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI walikuwa wanamdharau sana HAYATI MWALIMU.

Basi wale watu waliokuwa wachache kwa idadi yao, hasa WATUTSI walikuja TANZANIA kuomba msaada wa kuweza kuleta mabadiliko ya kisiasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.

Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's] - SERIKALI YA TANZANIA ilikuwa inaongozwa na MZEE RUKSA na MZEE RUKSA aliwajibu WATUTSI kuwa SERIKALI YA TANZANIA haiwezi kuleta mabadiliko ya kisiasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI, kwa sababu RWANDA na BURUNDI ni MATAIFA yanayojitegemea. Ila aliwashauri waende kuomba msaada kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa wana pesa sana na tayari walikuwa wanamiliki kampuni nyingi za kibiashara.

Basi lile kundi la watu wachache hasa WATUTSI walienda kwenye ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kwa nia ya kupata msaada. Kituo cha kwanza kilikuwa ni kwa wale waliokuwa wenyeji wa asili wa BARIADI [hawa ndiyo walikuwa wameshikilia SHIRECU], kwa bahati isiyokuwa nzuri waligoma kushiriki SIASA ZA RWANDA na BURUNDI.

Kituo cha pili kilikuwa ni kwa wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] na wao waligoma kushiriki SIASA ZA RWANDA na BURUNDI.

Kituo cha tatu kilikuwa ni kwa wale wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE ambao na wao walishawahi kuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kwa nyakati tofauti tofauti na MISTER ABILITY alikubali kwa tahadhari kubwa, kuingia kwenye masuala ya kisiasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.


Hawa ndiyo WASUKUMA wa MWANZA, SHINYANGA na sehemu za TABORA kama NZEGA na IGUNGA. Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliokuwa wakiishi RWANDA walifanikiwa kuunda kikosi cha kujihami kilichoitwa APR.


Aliyekuwa nyuma ya kikosi cha APR katika masuala ya mavazi, chakula na silaha alikuwa ni MISTER ABILITY.


Hiki kikosi cha kujihami kilichoitwa APR baadae kiliunda jeshi la ukombozi lililoitwa RPF na kumchukua aliyekuwa kiongozi wa INTELIJENSIA YA JESHI LA UGANDA kuwa kiongozi wa JESHI LA RPF.


Hili JESHI LA RPF, baada ya MAUAJI YA KIMBARI ya mwaka 1994 lilifanikiwa kuunda SERIKALI YA MPITO iliyokuwa inaongozwa na RAIS PASTEUR BIZIMUNGU, huku PAUL KAGAME akiwa MAKAMU WA RAIS tangu mwaka 1994 hadi mwaka 2000.


Baada ya mwaka 2000, PAUL KAGAME alifanikiwa kuwa RAIS WA RWANDA kupitia CHAMA CHA KISIASA kilichoitwa RPF - INKOTANYI.


RPF - INKOTANYI ni CHAMA CHA KISIASA kilichozaliwa kutoka katika JESHI LA RWANDA, RPF. Kwahiyo hauwezi kutofautisha kati ya CHAMA CHA KISIASA cha RPF - INKOTANYI na JESHI LA RWANDA, RPF.


Ukitaka kuifahamu vizuri SIASA YA RPF - INKOTANYI, jaribu kuangalia BODI YA WADHAMINI wa CHAMA CHA RPF - INKOTANYI. Utagundua kuwa BODI YA WADHAMINI wa CHAMA CHA RPF - INKOTANYI ni kampuni za kibiashara ambazo asili yake ni TANZANIA.


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kuunda kikosi cha kujihami kilichoitwa APR, hatimae JESHI LA RPF na kufanikiwa kuanzisha CHAMA CHA KISIASA ambacho kiliitwa RPF - INKOTANYI.


CHAMA CHA RPF - INKOTANYI ndiyo CHAMA TAWALA kwa sasa katika TAIFA LA RWANDA. Kwahiyo wale wenyeji waliobaki wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA baadae walikuja kuwa juu KIUCHUMI kuliko hata wale wengine wote.


Na walio nyuma ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA RWANDA ni wamiliki halali wa SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL.


Kwahiyo kwa namna ama nyingine, baada ya kutulia kwa hali ya kisiasa kwa upande wa TAIFA LA RWANDA - WANYARWANDA wengi wamepiga hatua kubwa ya kiuchumi ikiwa ni pamoja na wakina MISTER ABILITY.
 
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Soma hiyo posti namba 1597 kwa makini, hao walio nyuma ya hao askari wa kike waliovaa nguo za "RANGI YA ORANGE" ndiyo wenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kwa upande wa TAIFA LA RWANDA.


Hii "RANGI YA ORANGE" huwa wanatumia badala ya "RANGI NYEKUNDU" na mara nyingi huwa inafanyika kama ishara, kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] walivyokuwa wanasambaa walikuwa wanatumia kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo iliyokuwa inaitwa ALLY'S.


Wengi wao huwa wanaenda RWANDA kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hata ukiwa upande wa TAIFA LA KENYA - utakuta baadhi ya WANANCHI WA KAWAIDA wamevaa nguo za "RANGI YA ORANGE" ile siku zote inakuwa haimaanishi UFUASI WA CHAMA CHA ODM bali wengine wanakuwa wanamaanisha kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S.


Mfano mzuri, angalia huyu dada anayeitwa NANA OWITI - huyu ni MTANZANIA kwa asili ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Huyu ni MTANZANIA kwa asili na anaishi nchini KENYA na wapo vijana wengi ambao wanatumia "RANGI YA ORANGE" kama mtindo wa mavazi.


Mwingine ni huyu MTANZANIA ambaye anaitwa IHUMURE IRMA na anaishi katika TAIFA LA NAIJERIA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kabla ya kuhamia nchini NAIJERIA.




Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia KENYA wakitoka katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hawa ndiyo WANYARWANDA ambao kwa jitihada zao wamefanikiwa kuwa na TAIFA ambalo ni dogo kijiografia na pia kubwa kidiplomasia.




Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
 
PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Hiyo kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR inayopatikana nchini TANZANIA ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoitwa HOUSTON DASH inayopatikana HOUSTON, TEXAS nchini MAREKANI.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR imesaidia sana kumiliki baadhi ya vitu nje ya nchi, yaani inatumika kama GATEWAY.


Hii timu ya HOUSTON DASH inayopatikana HOUSTON, TEXAS nchini MAREKANI inafanya vizuri katika michuano mbalimbali na inajumuisha wacheza mpira weusi kutoka MATAIFA mbalimbali wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.




Kizazi kilichofuata cha wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejikita katika michezo, kwa sababu wanamiliki timu za michezo nyingi katika MATAIFA mbalimbali ya ULAYA pamoja na MAREKANI.




Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA hawatafirisika leo wala kesho, kwa sababu pesa zao waliwekeza kwa WATU WEUPE - I mean "WAZUNGU" kutoka MATAIFA YA MAGHARIBI.




Tunapoelekea hizi timu za michezo pamoja na kampuni za kibiashara ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA zitaongozwa na wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Kwahiyo nafasi za UMENEJA na UKURUGENZI katika kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA zitasimamiwa na watu wao.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA baada ya kumaliza kuhesabu na kufahamu IDADI NA ORODHA YA KOO zao waliitwa GUANTANAMO.


Hii jina la GUANTANAMO ni jina la utani na mara nyingi linatumika ukiwa kwa upande wa TAIFA LA RWANDA, wakiwa wanamaanisha ni ngumu kwa mtu mwingine kuweza kupenya katika zile kampuni za kibiashara ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Huyu DR JANE GOODALL huwa anapenda kutembelea ARUSHA kwa ajili ya kufanya utalii katika mbuga za wanyama na kupanda MLIMA KILIMANJARO na mara nyingi huwa anatumia TOUR GUIDE ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED.


DR JANE GOODALL huwa anashangaa kwa namna gani wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walivyoweza kusimamia biashara zao bila ya watu wengine kuweza kupenya? Hasa wale WACHOMA UTAMBI, siunajua mtu akisema WACHOMA UTAMBI. Hiki ni KISWAHILI cha miaka ya tisini [1990's]...


Wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED.


Hii kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED inapatikana katika MKOA WA ARUSHA, WILAYA YA ARUSHA MJINI katika barabara ya BOMA ROAD.


Pia hii kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo kampuni mwenza wa kampuni ya EASY COACH inayopatikana katika JIJI LA NAIROBI, nchini KENYA.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa EASY COACH inafanya vizuri sana kwa upande wa TAIFA LA KENYA na wamejitahidi kuboresha huduma za wateja kwa kipindi kifupi.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamedumu kwa kipindi kirefu katika biashara zao kutokana na kuwa na mtindo wa kujijenga kupitia watu wao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…