Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Sisi ni idara nyeti
Tunakufatilia kwa ukaribu...
Hakuna kitu kama hicho! Wenzenu wanazidi kujitanua kibiashara hadi nje ya mipaka ya TANZANIA.


Sasa hivi ukiwa KENYA kuna kampuni inayotengeneza sabuni za MORNING FRESH.


Hii sabuni ya MORNING FRESH inatumika kuosha vyombo na sehemu kavu ambazo zinakuwa zimechafuka.


Hii kampuni inayotengeneza sabuni za MORNING FRESH bado hazijaanza kupokea WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA.
 

Angalia MTANZANIA mwingine mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu ndiyo miongoni mwa wenyeji wa asili wa MKOA WA MWANZA waliohamia nchini KENYA kipindi kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL ikihama kutoka MWANZA, nchini TANZANIA na kuelekea NAIROBI, nchini KENYA.


Hiki kipindi WATANZANIA wengi wa asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama maeneo yao ya asili na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Huyu anachukua PhD sasa hivi na anaandaliwa kwa kipindi cha baadae ili kuja kuongoza kampuni za wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 

Huyu anaitwa JANET MBUGUA ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA MWANZA, WILAYA YA MISUNGWI katika KATA YA MISASI, maeneo ya kijiji kinachoitwa SHILALO.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliwabeba sana watu wao na MISTER ABILITY alibeba sana watu wake kuanzia kijiji cha SHILALO.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliyahama maeneo yao ya asili na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

Kwahiyo, leo siyo ajabu kwenda KIJIJI CHA SHILALO na ukakuta wenyeji wengi ni WALOWEZI, kwa sababu wenyeji wengi wa asili waliyahama maeneo yao tangu kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
 

Hata huyu KAMBUA ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
 

Unamuona huyo binti aliyevaa NGUO YA RANGI YA ORANGE? Alikuwepo pale MISUNGWI mwaka juzi kipindi cha COVID-19 na alikuwa anafanya kazi pale BAA YA HEKA HEKA.


Huyo ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA MWANZA, WILAYA YA MISUNGWI katika KATA YA MISASI na KIJIJI CHA SHILALO.

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Kwenye hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA - wenyeji wa asili waliyahama maeneo yao ya asili na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi na walihamia watu wengine na wakafanikiwa kuakisi tamaduni na mila za asili za mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Kwahiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanafahamiana na ORODHA YA KOO zao zipo.
 

Ukiwa pale DAR-ES-SALAAM katika STENDI YA SHEKILANGO, zile kampuni zote za usafirishaji za abiria zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Hawa WATU hawakuwa wajinga, ijapokuwa ukweli walikuwa wanaufahamu na walikuwepo tangu HAYATI MWALIMU alipokuwa hai. Sema kilichowasaidia kuwa vizuri KIUCHUMI hadi leo ni HESHIMA waliyokuwa wanampatia HAYATI MWALIMU.
 

Huyu mwingine anaitwa ALICE ni MTANZANIA mwenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


ALICE pamoja na wazazi wake walipata fursa ya kuhamia KISUMU, nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA, WILAYA YA MISUNGWI.


Sasa hivi ALICE anaishi katika JIJI LA FRANKFURT, nchini UJERUMANI na wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI yaani BUNDESLIGA inayoitwa EINTRACHT FRANKFURT ni WATANZANIA ambao wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MODERN COAST inayopatikana nchini KENYA.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza nchini UJERUMANI.
 

Miongoni mwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA - kuna mmoja wa wafanyakazi anamiliki timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UINGEREZA inayoitwa NOTTINGHAM FOREST.


Huyu mmiliki wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UINGEREZA ana uwezo kwa kiasi chake, lakini hauwezi ukafananisha na wale wafanyakazi waliokuwa wana majina makubwa kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa pia wanajijenga kuwa "ROYAL FAMILY" na ukiangalia ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE kwa mwaka 2008 utamuona kijana wao yupo pale.


Kwahiyo ukiona familia zinamiliki UKWASI wa aina hii, halafu watoto wao wapo vizuri KITAALUMA. Ujue hapo kazi ipo πŸ™πŸΎ
 
Unajua SIASA YA TANZANIA ilianza kupikwa tangu kipindi kile cha miaka ya hamsini [1950's] katika harakati za kudai UHURU WA TANGANYIKA. Pale ndiyo makosa yalianza kufanyika..


Ngoja nikueleze kidogo, TANGANYIKA RIFLES ilikuwa jina la JESHI LA TANGANYIKA kuanzia uhuru wa nchi, mwaka 1961 hadi uasi wake na mwisho ilikuwa mwaka 1964. Lakini kipindi cha kuanzia mwaka 1961, JESHI LA TANGANYIKA liliendeleza mfumo wa KING'S AFRICAN RIFLES na nafasi yake baada ya mwaka 1964 ilichukuliwa na JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA.

TANGANYIKA ilipata uhuru wake kutoka ukoloni wa KIINGEREZA mwaka 1961 kwa jina la TANGANYIKA na ZANZIBARI bado ilikuwa nchi ya pekee.


Ukitaka kuelewa kuwa HAYATI MWALIMU alikuwa ameandaliwa na TAIFA LA UINGEREZA, hadi mwaka ule kulikuwa na JESHI LA KIKOLONI katika AFRIKA YA MASHARIKI lililokuwa la ASKARI WAAFRIKA waliosimamiwa na MAAFISA WAINGEREZA na JESHI hilo liliitwa KING'S AFRICAN RIFLES [KAR].

Kwa upande wa TANGANYIKA kulikuwa na vikosi viwili ambavyo vilitengwa na KING'S AFRICAN RIFLES [KAR]; kikosi cha kwanza kiliitwa "1st TANGANYIKA RIFLES" kilichokuwa kinapatikana DAR ES SALAAM na kikosi cha pili kiliitwa "2nd TANGANYIKA RIFLES" kilichokuwa kinapatikana TABORA.

MAAFISA WAINGEREZA wa vikosi hivyo waliajiriwa pia na SERIKALI YA TANGANYIKA na AFISA MKUU alikuwa BRIGEDIA JENERALI PATRICK SHOLTO DOUGLAS.


Kwa hali ya kawaida ilikuwa ni vigumu sana kwa MTANGANYIKA MWEUSI kuweza kufanya harakati za kudai UHURU bila ya kuwa na bughuza yoyote kutoka kwa WATAWALA.


HAYATI MWALIMU kabla ya kujiunga na SIASA ZA TANU, alikuwa ni KIONGOZI WA CHAMA CHA TAA [1953] na kabla ya kuwa KIONGOZI WA CHAMA CHA TAA alikuwa tayari ameandaliwa na kupata mafunzo ya uongozi na kijeshi kutoka CHUO CHA RMA SANDHURST.


Hiki CHUO CHA ROYAL MILITARY ACADEMY [RMA] SANDHURST kinachopatikana CAMBERLEY [KAMBARE], nchini UINGEREZA kimefanikiwa kuandaa viongozi wengi wa MATAIFA mbalimbali na hata baadhi ya WATOTO WA VIONGOZI wamekuwa wakipita hapo na kupata mafunzo ya uongozi na kijeshi.


Hiki CHUO CHA RMA SANDHURST ni CHUO BORA na HAYATI MWALIMU alipita huko hata kabla ya kuanza harakati za kudai UHURU WA TANGANYIKA.


Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema kuwa HAYATI MWALIMU alikuwa ameandaliwa kuja kuwa KIONGOZI WA TANGANYIKA.


Na hakuna ushahidi wowote ambao unaonesha kuwa kuna MTANGANYIKA MWEUSI aliyeasisi au kuanzisha CHAMA CHA KISIASA kipindi cha ukoloni.


VYAMA VYA KISIASA kama TAA na TANU kwa upande wa TANGANYIKA na ASP na ZPPP kwa upande wa ZANZIBARI, vyote vilikuwa chini ya MAMLAKA YA KIKOLONI na watu weusi walifanyika kuwa viongozi na wanachama wa VYAMA VYA KISIASA. Lakini BODI YA WADHAMINI YA VYAMA ilikuwa chini ya MAMLAKA YA KIKOLONI.


Kwahiyo mwaka 1961, TANGANYIKA ilipata uhuru wake kutoka ukoloni wa KIINGEREZA na uhuru huo ulikuwa umelenga kuondoa ile taswira ya KIKOLONI na kusimika UKOLONI MAMBO LEO.
 
Unajua tangu kipindi cha miaka ya hamsini [1950's] kulikuwa kuna kampuni za mafuta kama BRITISH PETROLEUM [BP] na GULF BULK PETROLEUM [GBP] ambazo zilikuwa zinaagiza na kuleta mafuta ya petroli, dizeli pamoja na mafuta ya taa kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI, hususani TANGANYIKA.


Sasa kwa hali ya kawaida, ilikuwa ni vigumu mno kufanya harakati za kudai UHURU WA KWELI pasipokuwa na nishati ya mafuta kutoka kwa kampuni kama BRITISH PETROLEUM [BP] na GULF BULK PETROLEUM [GBP] ambazo zote zilikuwa na zinaendelea kuwa chini ya TAIFA LA UINGEREZA.


Kwahiyo kwa namna yoyote ile, HAYATI MWALIMU alikuwa ameandaliwa na kupewa nyenzo zote ambazo zilimsaidia kuzunguka nchi yote ya TANGANYIKA.
 

Baada ya UHURU WA TANGANYIKA [1961], kuna historia ya TANZANIA ambayo inajumuisha mambo mengi, kama vile;
  1. Historia ya ZANZIBARI.​
  2. Historia ya AFRIKA YA MASHARIKI [1800 - 1845].​
  3. Historia ya AFRIKA YA MASHARIKI YA KIJERUMANI.​
  4. Mkataba wa ZANZIBARI - HELIGOLAND TREATY.​
  5. Historia ya MKWAWA na WAJERUMANI.​
  6. Historia ya VITA VYA MAJI MAJI.​
  7. Historia ya vita vikuu vya kwanza vya dunia kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.​
  8. Historia ya TANGANYIKA.​
  9. Historia ya mapambano ya UHURU WA TANGANYIKA.​
  10. Historia ya MAPINDUZI YA ZANZIBARI.​
  11. Historia ya MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBARI.​
  12. Historia ya JULIUS KAMBARAGE NYERERE.​
  13. Historia ya UJAMAA.​
  14. Tamko la ARUSHA [AZIMIO LA ARUSHA].​
  15. Historia ya VITA VYA KAGERA.​
  16. Historia ya ALI HASSAN MWINYI.​
  17. Historia ya BENJAMIN WILLIAM MKAPA.​
  18. Historia ya JAKAYA MRISHO KIKWETE.​
  19. Historia ya JOHN POMBE MAGUFULI.​
  20. Historia ya SAMIA SULUHU HASSAN.​
Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishuhudia mambo mengi sana yanayohusu TANGANYIKA na ZANZIBARI, tangu kipindi cha UKOLONI na hata baada ya UKOLONI MAMBO LEO.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanaitwa "SILENT MAJORITY" kwa LUGHA YA KIINGEREZA na "SCHWEIGENDE MEHRHEIT" kwa LUGHA YA KIJERUMANI ikiwa na maana halisi ya WATU WAKIMYA.
 
Kwenye MAJESHI au SIASA huwa hakuna tukio la bahati mbaya, kila kitu huwa kinapangwa. Kwahiyo kusamehe au kutokusamehe itabaki kuwa sehemu ya maisha.


Baada ya UHURU WA TANGANYIKA [1961], matukio yote yaliyofuata baada ya hapo yalikuwa yamepangwa - hata ule UASI WA 1964 ulikuwa umepangwa, yaani WAINGEREZA wanaita ni FALSE FLAG au INSIDE JOB.

Jaribu kuangalia hiyo video vizuri, imeeleza tafsiri ya FALSE FLAG au INSIDE JOB kwa ufasaha sana.

Katika miaka ya kwanza baada ya UHURU WA TANGANYIKA, waafrika wachache walipelekwa masomoni kwenye VYUO VYA KIJESHI huko UINGEREZA na kupandishwa vyeo na kuwa MAAFISA.

Kipindi kile MTANGANYIKA akirudi kutoka RMA SANDHURST, CAMBERLEY nchini UINGEREZA alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanaitwa KAMBARE. Yaani walikuwa wanateleza tu, ni vyeo juu ya vyeo.

OSCAR SALATHIEL KAMBONA alikuwa WAZIRI WA MAMBO YA NJE na aliwahi kutuma vijana wa TANU kwenda TAIFA LA ISRAELI kwa masomo ya kijeshi. Hii ilikuwa ni sehemu ya majukumu ya kiofisi.

Baada ya hapo, mnamo tarehe 19 Januari 1964, kundi la askari waafrika walijipatia silaha wakakamata MAAFISA wote wazungu na waafrika na kusambaa mjini na mitaani wakitangaza madai yao.

Madai yao yalikuwa ni kupandishwa vyeo na mishahara kama wenzao waliopata fursa ya kwenda kusoma nje ya nchi.

Tarehe 20 Januari 1964, kikosi cha pili kutoka TABORA yaani "2nd TANGANYIKA RIFLES" kiliwafuata. MAWAZIRI WA SERIKALI pamoja na RAIS JULIUS NYERERE walijificha, isipokuwa WAZIRI OSCAR SALATHIEL KAMBONA alipatikana na kujadiliana na waasi.

Mwisho maafikiano yalipatikana ya baadhi ya askari kuongezwa mishahara pamoja na kupandishwa vyeo. Hapo SERIKALI YA TANZANIA iliamua kuachisha kazi askari wote na kumaliza "JESHI LA TANGANYIKA RIFLES" kabisa.

JESHI jipya likaundwa mnamo SEPTEMBA, 1964. MAAFISA wenye asili ya kiafrika waliweza kurudi na pia askari wengi kutoka TABORA waliajiriwa upya.


Lakini jeshi jipya liliundwa kama TAASISI chini ya usimamizi wa raia, yaani chini ya amri ya wanasiasa na jeshi lilijulikana kama JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA.
 

Hiki chuo cha ROYAL MILITARY ACADEMY [RMA] SANDHURST kimefanikiwa kutoa VIONGOZI mashuhuri sana.


Hawa ndiyo UINGEREZA na UINGEREZA ndiyo RMA SANDHURST na hata baadhi ya wanamapinduzi kutoka MATAIFA mbalimbali duniani walipita hapo.


RMA SANDHURST ni CHUO bora katika masuala ya uongozi na kijeshi. Wanasiasa wengi kutoka BARA LA ASIA wamesoma RMA SANDHURST.


Hata huyu BENAZIR BHUTTO alishawahi kusoma hapo, RMA SANDHURST katika nyakati tofauti na HAYATI MWALIMU.


Kipindi kile cha miaka ya sitini [1960's] ambapo SERIKALI YA TANZANIA inapeleka watu wake nchini UINGEREZA kwenda kusoma katika CHUO CHA RMA SANDHURST, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanapeleka watoto wao nchini UGANDA kwa ajili ya kupata ELIMU.


Kwahiyo kile kizazi cha wakina ABDALLAH FUNDIKIRA ndiyo kizazi cha WATANZANIA wa kwanza kwenda kusoma CHUO KIKUU CHA MAKERERE, nchini UGANDA na waliofuata baada ya hapo walikuwa ni wakina MISTER ABILITY, huyu alisoma shule ya sekondari ya [...] inayopatikana nchini UGANDA.
 
Huyo ABDALLAH FUNDIKIRA alifanikiwa kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya SERIKALI YA TANZANIA, pia mwaka 1993 akaja na chama chake cha UMD ambacho kilishiriki UCHAGUZI MKUU WA 1995 ambapo HAYATI BENJAMIN MKAPA wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] alikuwa mshindi.

Pia MISTER ABILITY alifanikiwa kuwa na chama cha kisiasa cha CUF ambacho kilishiriki UCHAGUZI MKUU WA 1995 na kufanikiwa kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI kuanzia 2000 hadi 2010.

Kizazi cha FUNDIKIRA kilikuja kutokea tena mwaka 2011/12, pale CHUO KIKUU CHA DODOMA katika kitivo cha elimu [COED] ambapo "FUNDIKIRA" alikuwa USCRC DEPUTY SPEAKER wa COLLEGE OF EDUCATION [COED] na mwaka huo huo kizazi cha MISTER ABILITY kilikuja kutokea katika kitivo cha sayansi ya dunia na uhandisi [COESE] ambapo "MANING NICE" alikuwa USCRC DEPUTY SPEAKER wa COLLEGE OF EARTH SCIENCES AND ENGINEERING [COESE].

Hawa wakina FUNDIKIRA wapo tofauti na wakina KAMBONA, kwani hawa wakina FUNDIKIRA wanaendelea kujijenga taratibu kwenye masuala ya kiuchumi na kisiasa.


Hawa wakina MISTER ABILITY wapo mbali kiuchumi na kisiasa, hawa ndiyo wamiliki halali wa MT. WHITNEY MOTEL inayopatikana LONE PINE, CALIFORNIA nchini MAREKANI.






Hii ni eneo lote la MT. WHITNEY MOTEL inayopatikana CALIFORNIA, nchini MAREKANI.






Kwahiyo, kiujumla wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wapo vizuri sana kwenye masuala ya kisiasa na kiuchumi kutokana na kufahamu vizuri SIASA YA TANZANIA.
 
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo hii NYIMBO YA CALIFORNIA LOVE inatoka, tayari wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wamewekeza CALIFORNIA, nchini MAREKANI.


Haya ni mashamba yanayopatikana LONE PINE, CALIFORNIA nchini MAREKANI.


Pia kuna mashamba sehemu moja inaitwa EASTERN SIERRAS, haya yote yanamilikiwa na MTANZANIA.


Haya mashamba yanayopatikana EASTERN SIERRAS ni makubwa na kwa siku za mbeleni inawezekana pakajengwa KIWANDA.


Pia kuna HOTELI pamoja na mgahawa ambao unapatikana OREGON, nchini MAREKANI.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwekeza sana nje ya nchi kutokana na kuwa na hofu ya kisiasa.
 

Hata hili KANISA KUBWA linafahamu vizuri sana kinachoendelea TANZANIA, yaani limekuwa kama muhimili wa serikali kwa jinsi lilivyojijenga kabla na hata baada ya UHURU WA TANGANYIKA.


UHURU WA TANGANYIKA [1961] ulikuwa sio UHURU WA KWELI. Ule ulikuwa ni UHURU WA BENDERA, yaani mipango ilipangwa na ikapangika.


Hata huu mchakato wa kumfanya HAYATI MWALIMU kuwa ni MTAKATIFU, huwa ni kinyume chake - maana yake ni [********].


Kwahiyo kizazi cha uongozi kilichofuata baada ya HAYATI MWALIMU kilitafuta PESA, VYEO na HESHIMA - kwa kufahamu fika ya kwamba UHURU WA KWELI bado haujapatikana.
 

Mambo yalipangwa na yakapangika. Jaribu kuangalia baadhi ya vitabu alivyoandika HAYATI MWALIMU kipindi cha uhai wake;

  1. Freedom and Unity
  2. Freedom and Socialism
  3. The Arusha Declaration
  4. Education and Self - reliance
  5. The varied paths of socialism
  6. Socialism and Development
  7. Freedom and Development
  8. Ujamaa
  9. Crusade for liberation
  10. Education and self - reliance
  11. Uongozi na hatma ya TANZANIA
  12. Man and Development
Sasa swali linakuja, HAYATI MWALIMU alikuwa ana uwezo wa kuandika vitabu?

Je, HAYATI MWALIMU alikuwa muandishi? Kama kweli alikuwa muandishi, kuna ushahidi wowote wa kitaaluma wa kumfanya awe muandishi au ilikuwa ni propaganda? Kuna taarifa za ndani zinasema hata vitabu alikuwa anaandikiwa πŸ™πŸΎ

Hii ndiyo SIASA ambayo huwa inafanyika na VYUO kama RMA SANDHURST. Hayo MATAIFA MAKUBWA yana uwezo wa kuandaa kiongozi akafanana na MALAIKA au yana uwezo wa kumfanya kiongozi akafanana na SHETANI.


Hiyo ndiyo SIASA iliyokuwa inafanyika katika MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI kipindi cha UTAWALA WA WAHUTU.


Huyu alikuwa anaitwa PROFESA JOSEPH KATIHABWA, alikuwa ni mtaalamu wa KEMIA na alikuwa PROFESA tangu miaka ya sabini [1970's].

Mwaka 1978 alikuwa DEAN wa kwanza katika IDARA YA SAYANSI, CHUO KIKUU CHA BURUNDI zamani kilikuwa kinaitwa CHUO KIKUU CHA BUJUMBURA na ukijaribu kuangalia taarifa zake za awali utakuta KIDATO CHA NNE alikuwa na "DIVISON FOUR", lakini kutokana na SIASA alifanikiwa kuwa PROFESA.

Aina hii ya SIASA huwa inafanyika kupitia MAJESHI kama inavyofanyika hivi leo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA. Unakuta mtu anamiliki PhD, lakini BACKGROUND EDUCATION is very weak na hii kasumba utaikuta CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM [UDSM]..

Ndiyo WAHUTU wa RWANDA NA BURUNDI walivyokuwa wanafanya, ilifikia hatua walikuwa wanajifananisha na TAIFA LA UGANDA katika masuala ya ELIMU wakati walikuwa hawana hata SHERIA ZA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI yaani "PRIMARY ACTS" na SHERIA ZA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI yaani "SECONDARY ACTS" walikuwa hawana. It was just like TANZANIA in nowadays, trying to compete with KENYA πŸ™ŒπŸΌ

Haya mambo ndiyo yaliyokuwa yanafanyika kwa HAYATI MWALIMU na wakina OSCAR KAMBONA walikuwa na hamu ya kushika nafasi aliyokuwa nayo HAYATI MWALIMU, ndiyo ikawa chanzo cha mafarakano.

Kwahiyo viongozi waliofuata baada ya hapo walikuwa wanampaka mafuta [HAYATI MWALIMU] kwa mgongo wa chupa, ili siku ziende na mambo yao yafanikiwe.


Ilifikia hatua baadhi ya viongozi wa CHAMA TAWALA pamoja na SERIKALI walikuwa wanaipa mitaa, barabara, majengo, vituo, shule na vyuo jina la HAYATI MWALIMU ili kuwa sehemu salama.

Na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanafanya hivyo hivyo kumsifu HAYATI MWALIMU, huku wakiendelea kujijenga KIUCHUMI kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA.

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ilifikia hatua MISTER ABILITY alikuwa anampatia HAYATI MWALIMU pesa za CHAMA CHA USHIRIKA, hadi kupelekea MISTER ABILITY kupendekezwa nafasi ya UWAZIRI UKUU baada ya UCHAGUZI MKUU wa mwaka 1995.
 
Baada ya MISTER ABILITY kususia nafasi ya UWAZIRI UKUU katika uchaguzi mkuu wa 1995, nafasi hiyo ilienda kwa MISTER ZERO.


MISTER ZERO alihudumu kwa kipindi cha miaka kumi [10] katika nafasi ya UWAZIRI UKUU na alimaliza vizuri na aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA TATU - MISTER CLEAN.

Pia MISTER ABILITY alifanikiwa kunufaika katika kile kipindi cha ubinafsishaji ambapo alifanikiwa kuuziwa kwa bei nafuu mashamba ya mkonge kule TANGA, mashamba ya miwa ya MTIBWA pamoja na KAGERA.


Pia katika kipindi cha BAJETI YA 1996/97 na kuelekea 1997/98 - MISTER ABILITY alifanikiwa kupokea kiasi cha shilingi 3,400,000,000 Tsh. kama ruzuku kutoka SEKTA YA KILIMO kupitia kampuni ya NIPHA iliyokuwa inapatikana katika MKOA WA SHINYANGA.


Hiyo ruzuku ya shilingi 3,400,000,000 Tsh. kutoka SEKTA YA KILIMO ilifanikiwa kununua na kumiliki kampuni yote ya kufua umeme inayoitwa AGGREKO.


Hii kampuni ya AGGREKO imeenea katika MATAIFA zaidi ya hamsini [50] na inafanya vizuri kwa upande wa SEKTA YA NISHATI.


Pia ndiyo wamiliki halali wa bidhaa inayoitwa AGGREKO ENERGY DRINK ambayo ni sehemu ya kampuni ya AGGREKO.

Hiyo ruzuku ya shilingi 3,400,000,000 Tsh. kutoka SEKTA YA KILIMO ilikuwa ni pesa nyingi kwa kipindi kile ukilinganisha na PESA ZA ESCROW au PESA ZA DOWANS. Hizo shilingi 3,400,000,000 Tsh. zilikuwa nyingi.


Pia walifanikiwa kumiliki kampuni inayotengeneza bidhaa za JOHNSON'S POWDER inayopatikana AFRIKA YA KUSINI na baadhi ya MATAIFA YA ULAYA pamoja na ASIA.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejijenga sana KIUCHUMI na kuna baadhi ya kampuni ambazo wanamiliki bado hazijaanza kupokea wafanyakazi wao.
 
Mwaka 1998, baada ya MISTER ABILITY kufanikiwa kuchukua hiyo ruzuku ya shilingi bilioni 3.4 Tsh. ilikuwa ni furaha kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na milioni 400 zilipelekwa RWANDA.


Baadae walifanikiwa kuajiri WATU WEUPE katika MATAIFA YA AMERIKA YA KASKAZINI pamoja na ULAYA ili kufanya biashara ya ununuzi wa majengo.


Wamefanikiwa kumiliki vitu vingi sana na hawa WATU WEUPE wamefanikiwa kupata ajira kutokana na shughuli hiyo kuendelea kufanyika katika MATAIFA YA AMERIKA YA KASKAZINI pamoja na ULAYA.


Hawa WATU WEUPE wamekuwa wakipewa hadi magari ya kutembelea wanapokuwa wanafanya shughuli zao.


Kupitia huu mradi ndiyo wamefanikiwa kuwekeza HOTELI YA RIVERSIDE BOISE.


Hii HOTELI YA RIVERSIDE BOISE ina mahusiano ya moja kwa moja na HOTELI YA RIVERSIDE UBUNGO inayopatikana nchini TANZANIA.




Pia wamejitahidi kuwekeza katika MILIMA YA ALPS, huko wanamiliki HOTELI nyingi sana.






Pia wamejitahidi kuwekeza sana katika maeneo yanayoitwa VERMONT.


Yaani baada ya tukio la mwaka 1998 - kuna MSANII WA KIMAREKANI anayeitwa ALI alitoa NYIMBO moja iliyokuwa inaitwa BOUGHETTO maana yake ni BUGWETO.

Huyu MSANII ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA SHINYANGA MJINI maeneo ya BUGWETO.


Hii NYIMBO YA BOUGHETTO alitoa akiwa anafurahi baada ya tukio la mwaka 1998 na ukiwa nchini MAREKANI anafahamika kwa jina la ALI BOUGHETTO.


Hicho kijiji cha BUGWETO wengi walihama, almost karibia wote walihama na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Kwa ujumla wale waliokuwa wenyeji wa asili wa kijiji cha BUGWETO wengi walihamia nchini MAREKANI πŸ‡ΊπŸ‡Έ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…