Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Sisi ni idara nyetiWewe futa picha za watu hizo. Huyo siyo yeye 👏🏽
Tunakufatilia kwa ukaribu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ni idara nyetiWewe futa picha za watu hizo. Huyo siyo yeye 👏🏽
Hakuna kitu kama hicho! Wenzenu wanazidi kujitanua kibiashara hadi nje ya mipaka ya TANZANIA.Sisi ni idara nyeti
Tunakufatilia kwa ukaribu...
Aisee.
Aisee.
Aisee.
Aisee.
Aisee.
Aisee.
Aisee.
Unajua SIASA YA TANZANIA ilianza kupikwa tangu kipindi kile cha miaka ya hamsini [1950's] katika harakati za kudai UHURU WA TANGANYIKA. Pale ndiyo makosa yalianza kufanyika..Aisee.
Unajua tangu kipindi cha miaka ya hamsini [1950's] kulikuwa kuna kampuni za mafuta kama BRITISH PETROLEUM [BP] na GULF BULK PETROLEUM [GBP] ambazo zilikuwa zinaagiza na kuleta mafuta ya petroli, dizeli pamoja na mafuta ya taa kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI, hususani TANGANYIKA.Aisee.
Aisee.
Kwenye MAJESHI au SIASA huwa hakuna tukio la bahati mbaya, kila kitu huwa kinapangwa. Kwahiyo kusamehe au kutokusamehe itabaki kuwa sehemu ya maisha.Aisee.
Aisee.
Huyo ABDALLAH FUNDIKIRA alifanikiwa kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya SERIKALI YA TANZANIA, pia mwaka 1993 akaja na chama chake cha UMD ambacho kilishiriki UCHAGUZI MKUU WA 1995 ambapo HAYATI BENJAMIN MKAPA wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] alikuwa mshindi.Aisee.
Aisee.
Aisee.
Aisee.
Baada ya MISTER ABILITY kususia nafasi ya UWAZIRI UKUU katika uchaguzi mkuu wa 1995, nafasi hiyo ilienda kwa MISTER ZERO.Aisee.
Mwaka 1998, baada ya MISTER ABILITY kufanikiwa kuchukua hiyo ruzuku ya shilingi bilioni 3.4 Tsh. ilikuwa ni furaha kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na milioni 400 zilipelekwa RWANDA.Aisee.