Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa NDUGU TRANSPORT COMPANY LIMITED inayopatikana KISUMU, nchini KENYA ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaopatikana na kuishi nchini TANZANIA.
Sasa hii kampuni ya NDUGU ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA inayoitwa LILLE OLYMPIQUE SPORTING CLUB [LOSC] inayopatikana katika JIJI LA LILLE, nchini UFARANSA.
Hii timu ya LILLE OLYMPIQUE SPORTING CLUB [LOSC] ni timu ambayo inafanya vizuri katika LIGI KUU YA UFARANSA na bado haijaanza kupokea wanamichezo wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
Miaka ijayo inategemewa kuwa kitovu cha kuinua VIPAJI vya wanamichezo wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kama ilivyo kwa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA GUINEA inayoitwa HOROYA ATHLÉTIC CLUB.
Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
Huyu anaitwa GAIL MABALANE na anaishi AFRIKA YA KUSINI. Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ndiyo watakuwa wasimamizi wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
Huyu anaitwa NANDI ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.
Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini za nje walihamia kama wafanyakazi wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].
Familia za asili zilizobaki katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ni chache, kwani familia nyingi zilisambaa na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
Sasa hivi wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni wageni hususani PUISSANTS [wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO] waliohamia na kuakisi tamaduni za asili za mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
Sasa hivi unaweza kukuta familia ya KISUKUMA katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA, lakini babu na bibi hawajulikani walikuwa ni watu wa wapi!. Au unaweza kukutana na familia ya KINYAMWEZI kutoka IGUNGA, lakini kumbe ni wahamiaji kutoka KATANGA nchini KONGO [zamani ilikuwa inaitwa ZAIRE].
Hao ndiyo wanaitwa WALOWEZI! Hiyo ndiyo SIASA na hiyo ndiyo kazi ya JESHI LA UHAMIAJI.
Jukumu la JESHI LA UHAMIAJI ni kudumisha USALAMA WA TAIFA kupitia udhibiti wa UHAMIAJI. Kutoa vibali vya ukaazi na pasi kwa wageni waliohamia na kuishi sehemu husika ndani ya mipaka ya TANZANIA, kurahisisha na kudhibiti mienendo ya watu ndani na nje ya nchi ambayo kwa namna moja ama nyingine inaweza kuwa na athari kwa TAIFA LA TANZANIA.
Sasa haya masuala ya UHAMIAJI ni kipaumbele na mambo ya kuzingatia kwa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - ndiyo maana wanafahamiana.