Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wenyeji wa asili wa kijiji cha BUGWETO, wengi walihamia katika TAIFA LA MAREKANI 🇺🇸.

ba4219f8195c9f0d725689f937d4f669.png

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanahamisha vijiji.

99627e4db55a5c7846eb81425b3bbd5d.png

Hawa wenyeji wa asili wa kijiji cha BUGWETO walipofika MAREKANI waliamua kuja na utambulisho wao, ambao ni BOUGHETTO yaani BUGWETO.

3b0aa6f363710ac6ed486d5ac56cc857.png

Yaani kijiji chote kilihamia MAREKANI, wale waliokuwa na wasiwasi wa maisha walibaki TANZANIA katika MIKOA YA ARUSHA na KILIMANJARO.

e2f3127a5276c0b6ca4937cc5bc98fe9.png

Wengi walipofika MAREKANI walifanikiwa kupata URAIA haraka kutokana na uwekezaji uliokwisha fanyika.

caab0943777b3a8b0ad8d83724259291.png

Wengine walifanikiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI 🇺🇸.

998f24370c9318f8e1d102e8569530e9.png

Wengine walianza kuonekana kwenye baadhi ya NYIMBO ZA HIP HOP zilizokuwa zinapatikana HOLLYWOOD.


Hao DANSA wote waliovaa T-SHIRT NYEKUNDU ni wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA SHINYANGA MJINI katika kijiji cha BUGWETO.

2cde134209a6cfb1e73ee31028e4da79.png

Kijiji cha SHILALO kinachopatikana MISASI, WILAYA YA MISUNGWI kinaweza kuwa sawa na kijiji cha BUGWETO kinachopatikana WILAYA YA SHINYANGA MJINI kwa namna ambavyo watu wao wanavyoshiriki shughuli za kijamii huko UGHAIBUNI.

cc8b1fbd6f29ca8fba689a65c2459d0e.png

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kufahamu SIASA YA TANZANIA tangu siku nyingi na wamejitahidi kujidhatiti.
 
Kile kipindi cha miaka ya tisini [1990's] baada ya UCHAGUZI MKUU WA 1995 - wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walikuwa huru mno baada ya MISTER ABILITY kumuunga mkono MISTER CLEAN kwenye UCHAGUZI MKUU WA 1995.

9d36ffcb6346283cdd3f4cac3626d513.png

Hawa wote ni miongoni mwa wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA SHINYANGA MJINI [SHY TOWN].

0ad70dd01d8ce8092bb4358e1c10734a.png

Hawa wote ni miongoni mwa WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA waliohamia nchini MAREKANI 🇺🇸 kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

f1d1f5a062c2f665e2eebfcc06c68329.png

Wengine walikuwa wanatakiwa wajiunge na ELIMU YA KIDATO CHA KWANZA pale SHULE YA BULUBA na BUHANGIJA, lakini fursa ilivyopatikana wote walihamia MAREKANI 🇺🇸.

12951ad7d249391de1d936309a5cefce.png

Hawa wote waliingia MAREKANI kwa kigezo cha wafanyakazi wa MUWEKEZAJI, baadae walifanikiwa kupata URAIA WA MAREKANI 🇺🇸.

26d3a45412389161d849f30ec37a823a.png

Hiyo SHINYANGA MJINI [SHY TOWN] - wenyeji wa asili walishahama na zikabaki zile "KEY FAMILIES" na waliohamia walikuwa ni WATUMISHI WA SERIKALI na SEKTA BINAFSI.

aa0b5578db0498cf86f4e814b1463558.png

Baada ya kuhama kwa wenyeji wa asili, watu wengine waliohamia SHINYANGA MJINI [SHY TOWN] walikuwa ni PUISSANTS.

533f671cf530e3725332731d153c65e6.png

PUISSANTS ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO [zamani ilikuwa inaitwa ZAIRE]. Hawa PUISSANTS ndiyo waliohamia SHINYANGA MJINI [SHY TOWN] baada ya wenyeji wa asili kuhama.

7c8265c40591fe54e22f77184d2c216b.png

Hawa wote ndiyo wenyeji wa asili wa SHINYANGA MJINI [SHY TOWN], waliofuata baada ya hapo walikuwa ni WALOWEZI waliohamia na kuakisi tamaduni za asili za KISUKUMA.

15f3f1b78f075377b05f99531febd421.png

Sasa hivi ukiwa SHINYANGA MJINI [SHY TOWN] - wenyeji wa asili wamebaki wachache sana, wengi ni WALOWEZI.

7dc40726e30a89144f0abaaf40957ea5.png

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa SHINYANGA MJINI [SHY TOWN], maeneo ya kijiji kinachoitwa BUGWETO waliohamia nchini MAREKANI 🇺🇸.

6094a12f2c2e1ff256cefaacc44dc26c.png

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifahamu haya mambo yanayoendelea sasa hivi tangu siku sana na wapo vizuri KIUCHUMI.
 
IMG_20231221_194537.jpg

Wamiliki halali wa MT. WHITNEY MOTEL inayopatikana LONE PINE, CALIFORNIA, nchini MAREKANI ndiyo wamiliki halali wa VLC MEDIA PLAYER.

IMG_20231221_194335.png

Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa VLC MEDIA APPLICATION ambayo inatumika kwenye vifaa vyote vya kielektroniki ambavyo vinatumia ANDROID.

6df3d898a578d655bb22f60ce84a6c9e.png

Ndiyo maana sasa hivi hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanajitahidi kuwekeza sana kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI. FEDHA zinatoka kwenye APPLIED SOFTWARES.

b6ea55a30165b64285535dddd702fcfd.png

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza katika MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI na muda siyo mrefu watajikita kwenye SUSTAINABLE BUSINESS.
 
Mwaka 1999 - HAYATI MWALIMU hadi umauti unamkuta alikuwa amelazwa katika hospitali ya ST. THOMAS inayopatikana LONDON, nchini UINGEREZA.

IMG_20231223_143948.jpg

Hiyo hospitali ya ST. THOMAS inayopatikana LONDON, nchini UINGEREZA ina mahusiano ya moja kwa moja na shule ya ST. THOMAS AQUINAS inayopatikana katika kijiji cha USSONGO, kata ya NYANDEKWA, WILAYA YA IGUNGA, MKOA WA TABORA.

IMG_20231223_203329.jpg

Pamoja na kwamba HAYATI MWALIMU alikuwa ameandaa viongozi wengi, lakini alikuwa amemuamini MISTER ABILITY kuwa ni rafiki yake kutokana na kupewa milioni ishirini [20,000,000] kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] pale CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].

MISTER ABILITY ndiye aliyekuwa rafiki wa HAYATI MWALIMU ambaye hakuhudhuria mazishi kutokana na sababu za kiafya.

Baada ya hapo, mwaka 2000 - familia ya HAYATI MWALIMU ilipokea tuzo ya "STATESMAN OF THE CENTURY" iliyotolewa na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] ikiwa kama sehemu ya kumuenzi.

bca8de53db3574c083bdb0b06286caba.png

Baada kifo cha HAYATI MWALIMU, wale wakina MANING NICE [mtoto wa MISTER ABILITY] ndiyo wakarudi kuja kuishi SHINYANGA kwa mara nyingine na SIMBA MTOTO zikaendelea kufanya biashara zake katika MKOA WA TANGA.

05dbcfb00adc3c9b96395b6d8b6506ff.png

Hawa wamiliki halali wa kampuni ya SIMBA MTOTO ndiyo wamiliki halali wa TANGA BEACH RESORT na wamejitahidi kuwekeza sana katika MKOA WA TANGA. MISTER ABILITY ndiyo alikuwa rafiki wa kweli wa familia ya HAYATI MWALIMU.
 
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa na ufahamu mkubwa wa mambo yaliyokuwa yanafanyika TANZANIA kwa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], ndiyo maana walijijenga KIUCHUMI kwa kasi kubwa sana.

ab4d0bf24f7ad5b2ed7a9eb59958d374.png

Wale wenyeji wa asili waliobaki na wao walifanya hivyo hivyo kama wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] - wanajijenga KIUCHUMI, halafu wametulia kama hawapo.


Hautakuja kusikia kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wakipitia maswahibu waliyopitia wakina OSCAR SALATHIEL KAMBONA pamoja na ADAM SAPI MKWAWA.

86779afe4dcc4c95db5f3884329e0c74.png

Hawatembei kwa VING'ORA wala msafara wa magari mengi, lakini hutakuja kuwasikia wakiomba misaada kwenye VITUO VYA TELEVISHENI.

4d8f811b21c71bfd8fd76382ee1380c9.png

Hii kampuni ya BARIDI GROUP imetokana na CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU]. Hawa WATU walijijenga KIUCHUMI kwa kasi kubwa sana.

69caa475259459ca010b5e9e90e98980.png

Sasa hivi hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wana nidhamu sana, kutokana na kuwa na hofu ya kuporomoka KIUCHUMI.

b7b56ad72e3323c49c68c471a89613e3.png

Sasa hivi ukiporomoka KIUCHUMI hautakuja kunyanyuka tena, kwa sababu mifumo imebadilika, siyo kama zamani.

878aa56d1735e61d6916f7381d8ad1ac.png

Nyakati hizi hauwezi kupata FEDHA nyingi kwa wakati mmoja, ndiyo maana hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wametulia na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI.
 
8097990937286b4bd620c98bff107102.png

Huyu ni ANNA NYERERE, mtoto wa HAYATI MWALIMU na alikuwa na mmoja wa WAKURUGENZI wa kampuni ya BARIDI GROUP huko MACHAME, KILIMANJARO.

BARIDI GROUP ni kampuni ya wenyeji wa asili wa BARIADI [zamani ilikuwa ni wilaya ya MKOA WA SHINYANGA] na ndiyo waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].

Sasa hivi wenyeji wengi wa asili wa BARIADI wamehamia MIKOA YA KILIMANJARO na ARUSHA na kampuni zao wameajiri WAZUNGU katika nafasi za UKURUGENZI.

7aee07dd23935f5a93af30a1d2535b3c.png

Angalia kwa kutumia FACIAL DESCRIPTION IDENTIFICATION [FDI] - huyo aliyevaa shati ya kaki.

70887f5c0f2cda833dc9ffd95c27021c.png

Aina hii ya SIASA inayofanywa na wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo SIASA ambayo huwa wanafanya wakina JK.

3e4b03683d3833132e864f23d18dc56f.png

Wale wakina HAYATI MWALIMU, MZEE RUKSA, MISTER CLEAN pamoja na JK ndiyo wanafanya SIASA ya namna hiyo kupitia MIFUMO YA SERIKALI. HAYATI MAGUFULI alikuwa hafanyi SIASA..😊
 
Jaribu kuangalia tena hii picha ya ANNA NYERERE ambaye huwa anaonekana kwa nadra sana mbele ya umati wa watu.

642b8e39c62e8f5d9a2b89dcf27ce0bd.png

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1997's] kuna SHULE YA ST. MARIAN GIRLS ilianzishwa kule katika MIKOA YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI.

b9f8948aab4f0a7b2d0f30f1e2fbb7a3.png

Hii SHULE YA MARIAN GIRLS inafanya vizuri kitaaluma na imefanikiwa kuwa na wahitimu ambao wamekuwa ni msaada kwa jamii.

Kwahiyo pamoja na kwamba HAYATI MWALIMU alikuwa na madhaifu katika SIASA ZA TANZANIA, lakini alifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na aliacha familia yake katika hali nzuri ambayo inawafanya kuendelea kuwa ni "ROYAL FAMILY".
 
62f84af62f84805a783c666392ebae4d.png

Angalia mwanariadha anayeitumikia timu ya TAIFA YA MAREKANI mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka WILAYA YA BARIADI [zamani ilikuwa ni wilaya ya MKOA WA SHINYANGA].

8ff6ad89dca00780eee36cab96629101.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Hiyo ndiyo SIASA.
 
Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO NA ABIRIA.

96d82c7cc659c361f52cbc2d3e907271.png

SEKTA YA USAFIRISHAJI ni SEKTA iliyo rasmi na kuna WIZARA inayohusika na masuala ya usafirishaji.

2fdf4fdfe769cf5a3a90f646616fa56b.png

Pia kuna VYUO ambavyo vinatoa mafunzo yanayohusu usafirishaji kwa ngazi ya kuanzia CHETI hadi SHAHADA YA UZAMIVU.

3ee85a03a697deff8511037b1bd6fa3c.png

Sasa baada ya mfumo wa VYAMA VINGI kuanzishwa mwaka 1992, kuna kundi kubwa la watu liliendelea kuwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] likiamini kuwa "Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.."

a56c5fda4abad7f1c1e37b69395434f0.png

Hili kundi kubwa la watu walioendelea kubaki ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] wanaufahamu ukweli wote na wameamua kujijenga KIUCHUMI kupitia SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

4e09036216ceae66af5165e95753d670.png

Wanajaribu kuwaiga wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU].

fb4991a8d230ad6e4626fb736dde9286.png

JK ndiyo anafanya SIASA kama wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU] na amefanikiwa kubadilisha MIKOA YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI.
 
Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa NDUGU TRANSPORT COMPANY LIMITED inayopatikana KISUMU, nchini KENYA ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaopatikana na kuishi nchini TANZANIA.

959e6ae894935dfca82f7fb68cf947cb.png

Sasa hii kampuni ya NDUGU ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA inayoitwa LILLE OLYMPIQUE SPORTING CLUB [LOSC] inayopatikana katika JIJI LA LILLE, nchini UFARANSA.

45c0acfa036cfaac64014729160c1bbb.png

Hii timu ya LILLE OLYMPIQUE SPORTING CLUB [LOSC] ni timu ambayo inafanya vizuri katika LIGI KUU YA UFARANSA na bado haijaanza kupokea wanamichezo wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

5e26b563e47689275042bdd545e30c38.png

Miaka ijayo inategemewa kuwa kitovu cha kuinua VIPAJI vya wanamichezo wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kama ilivyo kwa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA GUINEA inayoitwa HOROYA ATHLÉTIC CLUB.

ccaea52c20febe5924404e4b06dd6eb8.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

3d219a30a02e077249585050b8aff4b3.png

Huyu anaitwa GAIL MABALANE na anaishi AFRIKA YA KUSINI. Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ndiyo watakuwa wasimamizi wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

ef02e78b5e90f1627110a9b15925b357.png

Huyu anaitwa NANDI ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.

e1293898a467a6033c2775d3f81a6b05.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini za nje walihamia kama wafanyakazi wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

ea01f43bbd674e01fdf066add4004929.png

Familia za asili zilizobaki katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ni chache, kwani familia nyingi zilisambaa na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

2713a5d7a2638001054bbdf407a3049f.png

Sasa hivi wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni wageni hususani PUISSANTS [wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO] waliohamia na kuakisi tamaduni za asili za mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

a0168857e57a0e27000ddbd0ad2a8ec0.png

Sasa hivi unaweza kukuta familia ya KISUKUMA katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA, lakini babu na bibi hawajulikani walikuwa ni watu wa wapi!. Au unaweza kukutana na familia ya KINYAMWEZI kutoka IGUNGA, lakini kumbe ni wahamiaji kutoka KATANGA nchini KONGO [zamani ilikuwa inaitwa ZAIRE].

Hao ndiyo wanaitwa WALOWEZI! Hiyo ndiyo SIASA na hiyo ndiyo kazi ya JESHI LA UHAMIAJI.

32d600327b1893be6044f261e95e1967.png

Jukumu la JESHI LA UHAMIAJI ni kudumisha USALAMA WA TAIFA kupitia udhibiti wa UHAMIAJI. Kutoa vibali vya ukaazi na pasi kwa wageni waliohamia na kuishi sehemu husika ndani ya mipaka ya TANZANIA, kurahisisha na kudhibiti mienendo ya watu ndani na nje ya nchi ambayo kwa namna moja ama nyingine inaweza kuwa na athari kwa TAIFA LA TANZANIA.

c5faad8054176a2e549ddfebc0929cc6.png

Sasa haya masuala ya UHAMIAJI ni kipaumbele na mambo ya kuzingatia kwa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - ndiyo maana wanafahamiana.
 
Ukitaka kuwaona wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - jaribu kuangalia kampuni binafsi ambazo wanamiliki wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

8ab6bb12557cff7fb07304bc84d9e522.png

Kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] huwa zinaajiri watu wao tu.

064560beea1eda4f1b58b234a622cd2f.png

Huyu anaitwa JOYCE OMONDI ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA.

507b3ec3c90432b5fb1111ba6532cb7e.png

JOYCE OMONDI anafanya kazi katika KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa CITIZEN TV kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA.

7dc038a8cc52d87b5a3e0e5b67e94054.png

Wafanyakazi wengi wa VITUO VYA TELEVISHENI VYA CITIZEN TV pamoja na KTN ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

IMG_20231228_210331.jpg

Hata huyu LILLIAN MULI ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

IMG_20231228_212108.jpg

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ndiyo DIASPORA wanaofanya kazi zinazotambulika [WHITE COLLAR JOBS] kupitia kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].
 
8f696c92e4bc306e59003c1e1c84200f.png

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini RWANDA baada ya mwaka 1994.

35f467108aa25dd5be520b2755ded1d9.png

Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishahama na kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

842cad0e4d4b9488a7d873c3c46264f8.png

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini UGANDA.

e326e8dc710b1eb9b92fe72d764f5467.png

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

c0a89da2205cc0ce01f7c3859e9110ed.png

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini SENEGAL kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

c9d83c792720bb7f0eea25f1e48a301c.png

Anaitwa ISSA RAE ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA MWANZA katika WILAYA YA MISUNGWI, KATA YA MISASI na KIJIJI CHA SHILALO.

f006262e56d9fa1d44b8ca2f7457856b.png

Hawa wote wametoka kijiji kimoja na MISTER ABILITY, hicho kijiji kinaitwa SHILALO kinachopatikana MISASI, MISUNGWI.

a552dc77ada32243640b6683d0dbf482.png

Pia, ISSA RAE anajishughulisha na mitindo na huwa anatokea kwenye majarida mbalimbali ikiwemo JARIDA LA ESSENCE.

4073eb4ebe9f97ba5694baba51872797.png

WILAYA YA MISUNGWI ndiyo wilaya ambayo imetoa WANAMITINDO wengi, kuliko wilaya zote ambazo zinapatikana katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

c46ab84c8da115abed4067fb37c45c9d.png

Ilifikia hatua hadi moja ya mitaa ya pale MISUNGWI iliitwa MITINDO. Pale MISUNGWI kuna MTAA WA MITINDO, yaani ni sehemu ambayo imetoa WANAMITINDO wengi ambao wanafanya vizuri katika MATAIFA YA NJE.

d7045e250aae49288759fca612d09814.png

Ukitaka kufahamu STORI ZA KWELI za wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, mtafute MANING NICE [...] - anafahamu vizuri sana hadi picha za MISTER ABILITY na KIDUDUYE walizopiga wakiwa pamoja anazo.

IMG-20230616-WA0001.jpg

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.

DOCUMENT 442 (2).jpg

Hawa wenzenu wana mambo kweli kweli, kama ilivyo kwa watawala wa kwenye VITABU VYA DINI.

a0fdad0a72f15bcd0980596d8e11e279.png

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza kwenye SEKTA mbalimbali.
 
Mwaka 1978 alikuwa DEAN wa kwanza katika IDARA YA SAYANSI, CHUO KIKUU CHA BURUNDI zamani kilikuwa kinaitwa CHUO KIKUU CHA BUJUMBURA na ukijaribu kuangalia taarifa zake za awali utakuta KIDATO CHA NNE alikuwa na "DIVISON FOUR", lakini kutokana na SIASA alifanikiwa kuwa PROFESA.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
35ec830b107e05124a3554a682be1aca.png

PROFESA JOSEPH KATIHABWA alikuwa ni noma, hadi kuna NYIMBO zilitungwa zikimsifu kwa umahiri wake alipokuwa katika CHUO KIKUU CHA BURUNDI [zamani ilikuwa ni CHUO KIKUU CHA BUJUMBURA].

aa2e872b4c1d7626ea8896334e8313c7.png

Huyu anaitwa KANALI JEAN BIKOMAGU, alikuwa ni MNADHIMU MKUU wa JESHI LA BURUNDI [1993 hadi 1996] na aliuawa kwa kupigwa risasi mwaka 2015, mwezi wa nane, tarehe kumi na tano [2015/08/15]. Hawa ndiyo walikuwa wataalamu wa SIASA ZA BURUNDI.

c3f841f919886d8a30e2c280202f5fff.png

Haya MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI yalikuwa yanafanya SIASA zinazofanana na ilifikia hatua WAHUTU walikuwa wameshikilia kila idara na kulikuwa hakuna namna zaidi ya kufanya MAPINDUZI YA KIJESHI.

9633873b03bb021e7535c679cf83b9e0.png

Katika masuala ya kidiplomasia huwa kuna TAASISI YA GLOBAL RESPONSE AND INTELLIGENCE TEAM [G.R.I.T] na huwa ipo MAREKANI.

fe49d99b057e630d1e7eb50dce829fdd.png

Hii TAASISI YA GLOBAL RESPONSE AND INTELLIGENCE TEAM [G.R.I.T] huwa inapatikana katika MATAIFA yote na ikitokea sintofahamu kama ilivyokuwa kwa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI - MAPINDUZI YA KIJESHI huwa yanafanyika. Yaani hata MATAIFA JIRANI hawawezi kusaidia chochote, huwa wanabaki kuwa watazamaji tu.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
3d7af610f8831a24da39b73bc12af801.png

Hata huyu mwanariadha wa TIMU YA TAIFA YA MAREKANI ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

4de87c01138ea89390005f8a4f945393.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanaitwa ni SILENT MAJORITY yaani WATU WAKIMYA.

e10485d50a0a91d0959ae52945578c4e.png

Hata huyu mchezaji wa NFL anayeitwa THOMAS JONES ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

938061021f7b9544bb60af1e33512e1c.png

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] vinajishughulisha na mazao ya biashara ya pamba na tumbaku - wafanyakazi wengi walitajirika na walifanikiwa kuajiri watu wao kila sehemu ambapo walifanikiwa kuwekeza.

8450f144a94e2083b7ccd1e877a13ba6.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wamewekeza katika TAIFA LA KENYA kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI na wamefanikiwa kuwekeza katika TAIFA LA MAREKANI kwa upande wa MATAIFA YA MAGHARIBI.

f6bbc864b7db99f491e7f8dbef0d6fee.png

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kuna mmoja wa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] alikuwa tayari amefanikiwa kuwekeza kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI YA ANGA kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI.

f8afaea9249621716f4d6b96ee9c6043.png

Huyo aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA hakufanikiwa kuwekeza kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO NA ABIRIA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, lakini anamiliki kampuni ya USAFIRISHAJI YA ANGA kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI na BARA LA ULAYA.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wamiliki halali wa MT. WHITNEY MOTEL inayopatikana CALIFORNIA nchini MAREKANI ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa LEMS.

8569ccd48787a35a5da60882cc4dc1e4.png

Hiyo kampuni ya LEMS inapatikana BOULDER, COLORADO nchini MAREKANI.

c60be74b6b5835e25e86bf9a20047a3b.png

LEMS ni kampuni ambayo inamiliki KIWANDA kinachotengeneza viatu aina ya LEMS.

81b96b2f924cce440e6df57908de1a05.png

Hivi viatu vya LEMS vinapatikana katika TAIFA LA MAREKANI pamoja na KANADA.

4ae79ae54f9069b10202b1233584d42d.png

Bidhaa zake ni nzuri na imara, sema bado uzalishaji wa viatu vya LEMS upo chini ukilinganisha na kampuni nyingine kama ADIDAS, NIKE, ALL STAR CONVERSE pamoja na AMERICAN BOOTS.

c73136c46ae7f2349427d51ea73861d8.png

Hii kampuni ya LEMS matarajio yake ni kuenea hadi MATAIFA YA BARA LA ASIA ambapo ndiyo kuna IDADI YA WATU iliyo kubwa ukilinganisha na BARA LA AMERIKA YA KASKAZINI.

9dc9e033870b4467aa6a5de0445260b2.png

Hii kampuni ya LEMS bado haijaanza kupokea wale wafanyakazi ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

e629ce687ac9394cd8f1db3ce052578f.png

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walitajirika sana kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI kupitia WATU WA MATAIFA YA MAGHARIBI.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
8ce4d1e9d676ef1c341007cf442ae7dc.png

Hii kampuni ya LEMS inapatikana BOULDER, COLORADO nchini MAREKANI bado hata haijafanikiwa kuenea kwenye MAJIMBO yote ya MAREKANI.

985a69b149ba03d096dec1857f7a2a69.png

Hii kampuni ya LEMS ilianzishwa mwaka 2011 na bado haijafanikiwa kuwa na SHOPPING MALLS 🏪 zake katika MAJIMBO yote ya MAREKANI.

963b76df53fe864c294c96f646bbbeb8.png

Kampuni bado ni mbichi na inahitaji wafanyakazi na miundombinu ili iweze kukua na kujitegemea katika uuzaji wa bidhaa zake.

52a3260407eebc02697d00061f9ea6b6.png

Pia wamefanikiwa kutengeneza bidhaa nyingine tofauti na viatu kama kofia, nguo pamoja na chupa za maji.

d23121477832a45f690b3dd979813119.png

Hizi chupa za maji huwa zinatumika na wanamichezo pamoja na watu wengine ambao wanafanya "ADVENTURING".

5314a5b7dd70ed48e23da407d2843310.png

Hii kampuni ya LEMS inapatikana BOULDER, COLORADO nchini MAREKANI bado haijaanza kupokea wafanyakazi wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

b5b76fff2b42f065644b4264ee1c0480.png

Hawa wamiliki halali wa kampuni inayoitwa LEMS inayopatikana COLORADO nchini MAREKANI wamewekeza sana katika JIMBO LA COLORADO - kwani wanamiliki kampuni nyingine zaidi mbili.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wana hela sana na wamefanikiwa kuwekeza nje ya nchi.

583ade4c415c17ab821f90f52b488d40.png

Yule MSANII WA AFRIKA YA KUSINI aliyefariki mwishoni mwa mwaka uliopita aliyekuwa anaitwa ZAHARA, ni MATUNDA ya CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].

82c457f2750ea18c71dbbda2ba4870b4.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa wanaitwa ni SILENT MAJORITY maana yake ni WATU WA KIMYA.

ef8d95f75a0e7b64f9556ebe88834d51.png

Hii ni kazi ya MISTER ABILITY na mafanikio ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia MATAIFA mbalimbali.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kufahamu mapema hali halisi ya TANZANIA na wakawa wamefanikiwa kuepuka.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] pale SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna ASKARI POLISI aliyekuwa anaitwa MWAKASUNGURA [the late].

Huyu MWAKASUNGURA [the late] alikuwa ni GRIT [Global Response and Intelligence Team] na alikuwa anaishi vizuri na wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].

Ilifikia hatua alipewa pikipiki aina ya HONDA YA RANGI NYEKUNDU ambayo alikuwa anatumia kuongoza misafara ya VIONGOZI WA KISERIKALI walipokuwa wanakuja SHINYANGA MJINI.

c556b3fd400f957d65d733508e13fe91.png

Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] pamoja na VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa kuyafahamu haya mambo tangu siku nyingi na hawakujihusisha moja kwa moja na masuala ya siasa.

f589d3a92efc35bcc144a9f9540c5d36.png

Sasa hivi wamiliki halali wa kampuni ya LEMS inayopatikana BOULDER, COLORADO nchini MAREKANI ndiyo wamiliki halali wa kampuni za KUJU COFFEE, NOKA SUPER FOOD SNACKS pamoja na FLOW FOLD.

IMG_20240101_193945.jpg

Hii kampuni ya KUJU COFFEE ndiyo inatengeneza kahawa za kuju zinazopatikana nchini MAREKANI.

83061794ee6fda821a9eb59c0f66f49c.png

Pia wanamiliki kampuni inayoitwa FLOW FOLD inayotengeneza mabegi pamoja na waleti za FLOW FOLD.

9dff3bf2eb1dfb8f956590cc36f930ca.png

Pia wanamiliki kampuni inayoitwa NOKA SUPER FOOD, hii kampuni ndiyo inatengeneza SNACKS zinazoitwa NOKA zinazopatikana nchini MAREKANI.

Hizi kampuni zote za NOKA SUPER FOOD, KUJU COFFEE pamoja na FLOW FOLD ni VIWANDA na zipo chini ya kampuni ya LEMS inayopatikana BOULDER, COLORADO nchini MAREKANI.
 
Back
Top Bottom