Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Hata huyu mama ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini NAIJERIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA SHINYANGA MJINI [SHY TOWN].


Huyu ndiyo miongoni mwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Ndiyo mama mzazi wa MSANII WA NAIJERIA anayeitwa D'BANJ "THE KOKOMASTER".

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student
Wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria inayoitwa JORDAN inayopatikana nchini TANZANIA katika MKOA WA MWANZA, ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya mavazi inayoitwa JORDAN.


Hii kampuni ya JORDAN inapatikana nchini MAREKANI katika JIMBO LA OREGON na inahusika na mavazi.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walihamisha mitaji ya kibiashara tangu miaka ya tisini [1990's] na kupeleka nje ya nchi.

Wengine ni wale wamiliki halali wa HOTELI ZA PEACOCK zinazopatikana nchini TANZANIA. Moja ya HOTELI ZA PEACOCK inapatikana barabara ya BIBI TITI MOHAMED, WILAYA YA ILALA, DAR ES SALAAM.


Wamiliki halali wa HOTELI ZA PEACOCK ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa BIDCO inayopatikana nchini KENYA na UGANDA, pia ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa kikapu ya wanawake inayoshiriki LIGI KUU YA WANAWAKE YA WNBA inayoitwa INDIANA FEVER.


Pia wanamiliki timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA MAREKANI [NBA] inayoitwa BOSTON CELTICS.


Hii timu ya BOSTON CELTICS inayopatikana MASSACHUSETTS, nchini MAREKANI huwa inafanya vizuri sana kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanaitwa SILENT MAJORITY au WATU WAKIMYA.






Ukiwa pale KAMPALA, nchini UGANDA - wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanapatikana SPENA.






Hii SHULE YA SPENA - kuanzia WALIMU, WANAFUNZI hadi wale wafanyakazi wa kawaida wanaofyeka NYASI ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Ukiachana na SHULE YA RIVIERA HIGH SCHOOL inayopatikana KIGALI, nchini RWANDA - hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanamiliki SHULE nyingine inayopatikana nchini UGANDA, BURUNDI na TANZANIA.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa CHUO CHA GREEN HILLS INTERNATIONAL COLLEGE kinachopatikana GITEGA, BURUNDI.


Hiki CHUO CHA GREEN HILLS INTERNATIONAL COLLEGE kina wanafunzi wengi kutoka WILAYA ZA BUKOMBE na USHIROMBO ambazo zilikuwa zinapatikana katika MKOA WA SHINYANGA, ambapo wazazi wao walipata fursa ya kuhamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Siunafahamu waliohamia katika WILAYA ZA BUKOMBE na USHIROMBO, baada ya wenyeji wa asili wa WILAYA ZA BUKOMBE na USHIROMBO kuhamia nchini BURUNDI.


Waliohamia katika WILAYA ZA BUKOMBE na USHIROMBO, baada ya wenyeji wa asili wa WILAYA ZA BUKOMBE na USHIROMBO kuhamia nchini BURUNDI walikuwa ni [...].


Kwahiyo sasa hivi wenyeji wengi katika WILAYA ZA BUKOMBE na USHIROMBO ni WALOWEZI.


Pia wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa SHULE YA MAINGREEN HILLS inayopatikana PUGU, DAR ES SALAAM nchini TANZANIA.


Hii SHULE YA MAINGREEN HILLS inafanya vizuri katika masuala ya KITAALUMA.


Pia kwa upande wa TAIFA LA UGANDA, kuna SHULE YA GREENHILL ACADEMY ambayo inapatikana KIBULI, KAMPALA.


Hii SHULE YA GREENHILL ACADEMY inajumuisha WAFANYAKAZI na WANAFUNZI wengi ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wazazi wao walipata fursa ya kuhamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa mbele ya muda tangu miaka ya tisini [1990's].


Sasa hivi ukiwa UGANDA, kila wilaya kuna familia ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wao walipata fursa ya kuhamia nchini BURUNDI wakitoka katika zile wilaya za BUKOMBE na USHIROMBO zilizokuwa zinapatikana katika MKOA WA SHINYANGA.


Sasa hivi kuna WATANZANIA wengi wanacheza mpira katika TIMU YA TAIFA YA BURUNDI ["intamba mu rugamba"] na wanafanya vizuri katika tasnia ya michezo.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] baada ya NIPHA GINNERY kufungwa, zile JIEFANG [JEIFONGO] za RANGI YA BLUU zilizokuwepo pale zilitumika kusafirisha wenyeji wa asili wa BUKOMBE na USHIROMBO na kuwapeleka BURUNDI.


Sasa hivi ukiwa BURUNDI kuna WATANZANIA wengi sana waliohamia kutoka mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

SIASA ZA BURUNDI zinataka kufanana na SIASA ZA RWANDA, kwani zipo hivyo hivyo na ukijaribu kuangalia CHAMA TAWALA CHA CNDD FDD - utagundua kuwa BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA CNDD FDD ni kampuni za kibiashara ambazo zinapatikana TANZANIA.


Yaani ni kama ilivyo kwa CHAMA TAWALA kwa upande wa TAIFA LA RWANDA. Kwa upande wa TAIFA LA RWANDA - CHAMA TAWALA ni RPF - INKOTANYI na BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA RPF - INKOTANYI ni kampuni za kibiashara ambazo zinapatikana TANZANIA.


Hivyo VYAMA TAWALA kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA NA BURUNDI ni VYAMA VYA KISIASA ambavyo kwa namna moja ama nyingine, waasisi wake wanapatikana TANZANIA kutokana na BODI YA WADHAMINI WA VYAMA husika kuwa ni kampuni za kibiashara ambazo makao yake makuu ni TANZANIA.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Huyu ni MAMA CECILIA KAYIREBWA akiwa na mtoto wake wa kike DIANE KARENGERA wakiwa wanacheza "TARIHINDA" pale NYAGATARE, RWANDA [ 1998].

Unajua baada ya mwaka 1994, wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walihamia katika MATAIFA YA RWANDA NA BURUNDI.


Wenyeji wengi wa MWANZA, SHINYANGA NA TABORA waliondoka na kuhamia katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO, UGANDA, ZAMBIA pamoja na KENYA.


Lakini kubwa kuliko yote, ilikuwa ni SIASA ZA RWANDA NA BURUNDI kwa namna ambavyo zilibadilika na kupatikana VYAMA VYA KISIASA vipya ambavyo vinaendelea kutawala MATAIFA haya mawili hadi leo.


VYAMA VYA KISIASA kama CHAMA CHA CNDD FDD kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI na CHAMA CHA RPF - INKOTANYI kwa upande wa TAIFA LA RWANDA ni VYAMA TAWALA ambavyo vilipatikana baada ya mwaka 1994.


Kwahiyo hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamo kwenye SIASA ZA MATAIFA YA RWANDA NA BURUNDI.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Kwa namna ambavyo wameshikilia TAIFA LA BURUNDI, kuanzia biashara ndogo ndogo hadi biashara kubwa zote zimeshikiliwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo BODI YA WADHAMINI wa CHAMA CHA CNDD FDD, baada ya MAUAJI YA KIMBARI YA 1994 - hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliokota "DODO CHINI YA MNAZI".


Unajua kwenye "MASUALA YA UHAMIAJI" huwa kuna watu ambao wanahamia mahala fulani [IMMIGRATION] na watu ambao wanatoka mahala fulani [EMIGRATION].


Kwenye "MASUALA YA UHAMIAJI" huwa akitoka mtu, anaingia mtu - yaani ni kama kwenye "DALADALA".


Sasa wale waliokuwa wenyeji wa asili wa TAIFA LA BURUNDI walihama MAKAZI yao ya asili na kuhamia MATAIFA mbalimbali duniani na waliohamia nchini BURUNDI walikuwa ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao ndiyo wengi katika TAIFA LA BURUNDI.


Hawa wote ndiyo CHAMA TAWALA kwa sasa katika TAIFA LA BURUNDI, CNDD FDD.


Hata ile JUMUIYA YA VIJANA YA CNDD FDD ambayo inaitwa IMBONERAKURE ni jumuiya ya kisiasa katika CHAMA TAWALA kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI ambayo inajumuisha vijana wengi kutoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.


Hii JAMII YA MWASHITA ni WATAWALA katika TAIFA LA BURUNDI kupitia CHAMA CHA CNDD FDD.


Hali kadhalika, kwa upande wa TAIFA LA RWANDA - hii JAMII YA MWASHITA wataendelea kuwa WATAWALA kupitia CHAMA CHA RPF - INKOTANYI.


Kwahiyo hii JAMII YA MWASHITA wataendelea kuwepo na kushikilia SEKTA ZA KIUCHUMI kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA NA BURUNDI kwa kipindi ambacho VYAMA VYA KISIASA VYA RPF - INKOTANYI na CNDD FDD vikiendelea kushika hatamu ya uongozi.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student
Wenzenu baada ya kufanikiwa kushika hatamu kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI, walifanikiwa kumuweka madarakani aliyekuwa RAIS WA KONGO, JOSEPH KABILA KABANGE.


Na walifanikiwa kusambaa zaidi baada ya kufanikiwa kushika hatamu kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.


Baadae kwenye miaka ya kuanzia elfu mbili [2000's] wakaanza kusikika wakina SINGUILA wakiwa katika TAIFA LA KONGO - BRAZZAVILLE.

SINGUILA ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini KONGO - BRAZZAVILLE akitoka katika lile TAIFA LA BURUNDI ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini BURUNDI wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.


Wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walizidi kusambaa kwa kasi kubwa baada ya kushika hatamu ya uongozi kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.


Hata huyu JENNIFER ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KONGO akitoka katika lile TAIFA LA BURUNDI ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini BURUNDI wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.


JENNIFER ni MUSIC DANSER mashuhuri sana kwa upande wa TAIFA LA KONGO.

JENNIFER amefanikiwa kucheza kwenye NYIMBO nyingi zilizokuwa zinatungwa na WAKONGOMANI.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanawafahamu vizuri sana JAMII YA SERENGETI pamoja na wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS.


Ukitaka kufahamu hili, jaribu kuangalia kampuni za kibiashara ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hizo jamii mbili [JAMII YA SERENGETI pamoja na PUISSANTS] ambazo zinakinzana tangu kipindi cha HAYATI MWALIMU pamoja na HAYATI MOBUTU hazipo kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Huyu jamaa, JOSEPH KABILA KABANGE kipindi cha UTAWALA wake amefanikiwa kupeleka WATANZANIA wengi nchini KONGO na inakadiriwa ni zaidi ya watu elfu kumi [10,000] kutoka katika MKOA WA SHINYANGA pekee yake.


Sasa hivi wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi na kufanikiwa kuakisi tamaduni za asili za MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wamebaki wachache kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na idadi inazidi kuongezeka kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO, UGANDA, ZAMBIA pamoja na KENYA.


Hata kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA idadi ya wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA inazidi kupungua siku hadi siku na ukikuta mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA muangalie mara mbili mbili, kwani wengi wanaendelea kuhamia katika MATAIFA JIRANI ya KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO pamoja na ZAMBIA.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
 
Waombe mods wautenganishe huu uzi uwe na wa kwako kuhusu MWASHITA maana umechangia mno kama ule wa Top Student

Umeona vizuri hii picha ya FAMILIA YA KWANZA yaani "FIRST FAMILY" ya KONGO?


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa wanaitwa SILENT MAJORITY au WATU WAKIMYA.


FIRST LADY wa KONGO ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini KONGO kipindi cha miaka ya themanini [1980's] akitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA nchini TANZANIA.


Yaani ni kama ilivyokuwa kwa upande wa UHURU KENYATTA kutafutiwa mke kwa upande wa TANZANIA, ndivyo ilivyokuwa kwa FELIX TSHISEKEDI alivyotafutiwa mke na baba [the late] yake.


Hii JAMII YA MWASHITA [MWANZA, SHINYANGA na TABORA] imefanikiwa kutoa FIRST LADIES watano [5] katika MATAIFA tofauti tofauti, ikiwemo TANZANIA yenyewe, KENYA, RWANDA, BURUNDI pamoja na KONGO - KINSHASA.


Ndiyo maana ukijaribu kuangalia hii JAMII YA MWASHITA [MWANZA, SHINYANGA na TABORA] wametulia kama hawapo, kumbe wapo na wanafanya mambo yao vizuri.


Kwenye JAMII ambayo imetoa FIRST LADIES watano [5] - ukiharibu au kufirisika ni AIBU na FEDHEHA, kwa sababu kila mtu na kila familia inajaribu kujijenga kuwa "ROYAL FAMILY".


Huyu MAMA DENISE TSHISEKEDI alikuwa anafanana sana na MWALIMU BWIRE [the late] aliyekuwa anafundisha SOMO LA KISWAHILI pale SHULE YA MSINGI YA TOWN iliyopo SHINYANGA MJINI na yeye alitakiwa kuhamia KONGO, sema kutokana na sababu za kimaisha aliamua kubaki TANZANIA hadi umauti ulivyomkuta.


Huyu ndiyo mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁. KAHAMA moja hii..
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Sasa wewe ukiona hivi unafikiri wanahamia KENYA kwenda kufanya kazi kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI tu, hapana! Kuna SEKTA nyingi ikiwemo SEKTA YA VIWANDA.


Hawa wamiliki halali wa kampuni inayoitwa MASHCOOL, ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa ROYAL PAINTS inayopatikana NAIROBI, nchini KENYA.


Hii kampuni ya ROYAL PAINTS inapatikana jirani na kanisa la PCEA MAKONGENI, barabara ya OLOITIPTIP ROAD ukiwa NAIROBI.


Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa wote ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA na wana familia zao.


Ndiyo maana tunawaambia sasa hivi wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi na kufanikiwa kuakisi tamaduni za MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Unavyomuona KIKWETE, ndiyo JAMII YA MWASHITA ilivyo! KIKWETE anaifahamu SIASA na sidhani kwa miaka ya hivi karibuni kama atakuja kutokea KIONGOZI kama KIKWETE.

Ndiyo maana tunawaambia URAIS uliishia awamu ya nne [2005 - 2015], waliofuata baada ya hapo walikuwa wanajaribu jaribu tu.


Huyu jamaa, KIKWETE alishawahi kuwa RAIS WA AWAMU YA NNE [2005 - 2015], AMIRI JESHI MKUU na MWENYEKITI WA CHAMA TAWALA [CCM] na anamiliki kampuni zake za kibiashara.


Sasa jaribu kuangalia kampuni zake za kibiashara! Utakachokuja kukiona huko, ndiyo kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na JAMII YA MWASHITA zilivyo.

Sio kwa KIKWETE pekee yake! Hata kwenye kampuni za kibiashara ambazo zinamilikiwa na MISTER CLEAN hali ni ile ile! Kwa MZEE RUKSA, huko ndiyo usiseme na HAYATI MWALIMU hawataki hata kuwasikia..


Labda kwa miaka ijayo! Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, sidhani kama atakuja kutokea KIONGOZI kama KIKWETE.


Ile kauli ya "KUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA", wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaita "KUPEMBELA".


Hili KANISA linaitwa WESTMINSTER ABBEY na linapatikana LONDON, nchini UINGEREZA. WESTMINSTER ABBEY ni KANISA KUU kwa upande wa TAIFA LA UINGEREZA na kwa jina lingine linaitwa KANISA LA ANGLIKANI.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Wewe ulikuwa unafikiri ni MABASI tu! Na hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanaohamia KENYA ulikuwa unadhani wanaenda kuwa madereva? 😂


Hawa wamiliki halali wa kampuni inayoitwa MASHCOOL ndiyo wamiliki halali wa SHULE YA ELITE HIGH SCHOOL inayopatikana ENTEBBE, nchini UGANDA.




Hii SHULE ni nzuri na inajumuisha wafanyakazi na wanafunzi ambao ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia katika MATAIFA YA KENYA, BURUNDI, KONGO, RWANDA na UGANDA.


Kwa upande wa TAIFA LA UGANDA, SHULE YA ELITE HIGH SCHOOL ndiyo shule kubwa kuliko zote ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.




Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wanasoma katika SHULE YA ELITE HIGH SCHOOL inayopatikana ENTEBBE, nchini UGANDA.




Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaosoma katika SHULE YA ELITE HIGH SCHOOL inayopatikana ENTEBBE.


Ndiyo maana tunasema, sasa hivi kwenye hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA wenyeji wengi ni WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.




Pia wamiliki halali wa SHULE YA ELITE HIGH SCHOOL inayopatikana ENTEBBE, ndiyo wamiliki halali wa SHULE YA ELITE SECONDARY SCHOOL inayopatikana HAILAKANDI, ASSAM, nchini INDIA.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo "ELITES WITH WESTERN VALUES, BUT NOT WESTERN LOYALTIES".


Hii SHULE YA ELITE SECONDARY SCHOOL ni shule ambayo ilianzishwa kwenye miaka ya elfu mbili [2000's].


Kwahiyo hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejipanga na wanamiliki kampuni zao ambazo zitaweza kuajiri WATU wao ambao wanasoma katika MATAIFA mbalimbali.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wanaitwa "THE ELITES WITH WESTERN VALUES, BUT NOT WESTERN LOYALTIES".


Baada ya kufanikiwa kuwekeza katika MATAIFA YA MAGHARIBI, hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walikubaliana na hali halisi ya MATAIFA YA MAGHARIBI ikiwemo MTINDO WA MAISHA pamoja na SHERIA ZA MATAIFA YA MAGHARIBI.


Hawa huwa wanajihusisha na RAINBOW 🌈, huu ni mtindo wa maisha ya MATAIFA YA MAGHARIBI, ndiyo maana hata kwenye MAJUKWAA YA KIMATAIFA huwa wanaonekana.


Huwa siyo kitu kidogo kwa WATU WEUSI, hasa kutoka MATAIFA YA KIAFRIKA kuonekana kwenye MAJUKWAA YA KIMATAIFA - ni nadra sana!. Lakini hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa.


Wamejitahidi kuwekeza sana katika MATAIFA YA MAGHARIBI na wamefanikiwa kushirikiana na matabaka yote pamoja na madhehebu yote ya DINI, ndiyo maana hii JAMII YA MWASHITA imekubalika sehemu zote.



Starehe ya tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa MUNGU. Hii ndiyo maana halisi ya "KUKILIMIANA" au "SEXUAL PRESSURING" na huwa inafanyika na watu wote, hata JAMII YA MWASHITA inafanya na KANISA KUBWA linatambua kuwa ni "ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU".


Kwa upande wa MATAIFA YA MAGHARIBI, hii JAMII YA MWASHITA wamefanikiwa kuwekeza na kujumuika na JUMUIYA YA KIMATAIFA.


Hapa ilikuwa KIGALI, RWANDA katika moja ya HOTELI ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA inayoitwa BLUE VEIL VILLA KIGALI walipomkaribisha MALALA YOUSAFZAI.


MALALA YOUSAFZAI ni mwanaharakati aliyenusurika kuuawa na wanamgambo wenye msimamo mkali.


Hii JAMII YA MWASHITA imejitahidi sana katika mahusiano na watu na inakubalika KIMATAIFA.


Hii ndiyo SIASA! Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa na ndiyo maana wanaitwa "THE ELITES WITH WESTERN VALUES, BUT NOT WESTERN LOYALTIES" yaani wamebakiza muingiliano wa kindugu ikiwa ni pamoja na kuzaliana na "FAMILIA ZA KIFALME ZA MATAIFA YA MAGHARIBI".
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Huyu anaitwa FANTASIA, ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na alipata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA.


Wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


FANTASIA alitamba na kibao chake kilichokuwa kinaitwa "WHEN I SEE YOU" katika BILLBOARD TOP 100 YA MAREKANI.

FANTASIA ni MATUNDA ya VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].


Ndiyo maana tunawaambia wenyeji wengi wa MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Kwa mfano, ukiwa pale SHINYANGA MJINI kuna familia zilihamia kutoka ABIDJAN, nchini IVORY COAST na kufanikiwa kuakisi tamaduni za wenyeji wa asili wa mji huo na sasa hivi na wao ni WASUKUMA WA KULOEA.


Hawa JAMII YA MWASHITA wamekuwa na mafanikio katika masuala yao kutokana na kuepuka muingiliano na matabaka mengine.


Sasa hivi wenyeji wengi wa MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ni PUISSANTS.


PUISSANTS ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO na ukiwa AFRIKA YA KUSINI kipindi cha UTAWALA WA KABURU, hawa PUISSANTS walikuwa wanaitwa BISCUIT, SWEET AND CHOCOLATE. Yaani ni vitu vya aina moja, hauwezi kuwatofautisha kulingana na TABIA zao.


BISCUIT ilikuwa inasimama badala ya TAIFA YA BURUNDI, SWEET ilikuwa inasimama badala ya TAIFA LA RWANDA na CHOCOLATE ilikuwa inasimama badala ya TAIFA LA KONGO.


Kipindi kile cha UTAWALA WA KABURU kule AFRIKA YA KUSINI, hawa PUISSANTS tayari walikuwa wameshaingia katika TAIFA LA AFRIKA YA KUSINI na kufanikiwa kuakisi tamaduni za huko.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
WABELIGIJI na WAFARANSA walikuwa wanawaita PUISSANTS wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.


Pia, wale KABURU wa AFRIKA YA KUSINI walikuwa wanawaita wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO kuwa ni BISCUIT, SWEET AND CHOCOLATE na kifupi chake ni BSC.


Hata huyu HAYATI STEVE BIKO alikuwa ni BSC [kwa madai yao] na ni miongoni mwa BSC waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya sitini [1960's] na aliuawa baada ya kuanza kujihusisha na harakati za kudai UHURU WA AFRIKA YA KUSINI katika miaka ya sabini [1970's].


Hawa BSC wanamiliki kampuni kubwa inayoitwa [...] pale AFRIKA YA KUSINI ambayo ilikuwepo tangu kipindi cha UTAWALA WA KABURU.


Mwaka 1997, HAYATI MOBUTU alitolewa MADARAKANI kwa njia ya MAPINDUZI YA KIJESHI na aliyekuwa KIONGOZI WA WAASI wa kipindi hicho, HAYATI LAURENT KABILA.


Pamoja na kumtoa madarakani, HAYATI MOBUTU alikuwa tayari ameshawekeza mitaji ya kibiashara kila mahala na kuzambaza WAKONGOMANI katika kila sehemu ambapo alikuwa amefanikiwa kuwekeza.


Na WAKONGOMANI wengi walihamia katika TAIFA LA KONGO - BRAZZAVILLE ili kupisha vuguvugu la kisiasa lililokuwa linaendelea kwa kipindi kile.


Pia wale waliokuwa wanaitwa BISCUIT, SWEET AND CHOCOLATE [BSC] wote ni wamoja na wana tabia zinazoshabihana, kilichowatofautisha ni tabaka moja kujiona bora kuliko tabaka lingine.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanafahamu vizuri sana SIASA ZA TANZANIA, ndiyo maana wapo vizuri KIUCHUMI hadi leo na hautakuja kuona JAMII YA SERENGETI wala JAMII YA PUISSANTS wala MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Angalia baadhi ya picha kwenye POSTI NAMBA 1717 - hiyo picha ambayo inamuonesha RAIS WA KONGO - BRAZZAVILLE.


Kwa kutumia FACIAL DESCRIPTION IDENTIFICATION [FDI] - jaribu kumuangalia huyo mmoja kati yao ambaye anaonekana akiwa upande wa kulia wa RAIS DENIS SASSOU NGUESSO.


Ndiyo huyo mmoja kati yao ambaye anaonekana akiwa upande wa kulia wa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.


Ndiyo FACIAL DESCRIPTION IDENTIFICATION [FDI] inavyofanya kazi. Sasa huyu ni nani kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA?


Ni PRIVATE SECRETARY TO THE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA [URT].


Ndiyo SIASA hiyo! Hawa PUISSANTS wanafahamu SIASA na wanafahamu wanachokifanya, sio bure bure tu.


Hauwezi kutofautisha kati ya KONGO - BRAZZAVILLE na KONGO - KINSHASA, wote ni wale wale. Kilichowatofautisha ni MIPAKA YA WAKOLONI.


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanafahamu sana haya mambo na ndiyo wanaongoza MAJESHI YA RWANDA [RDF], BURUNDI [FDNB] na kipindi fulani waliwahi kuongoza JESHI LA KONGO [FARDC] kupitia JENERALI JAMES KABAREBE.


Kwahiyo isingelikuwa RMA SANDHURST kupitia TAIFA LA UINGEREZA, sasa hivi tungelikuwa tunaongea mengine kuhusu TANZANIA.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo zilijengwa na WAKOLONI.


JAMII YA SERENGETI ilijengwa na WAINGEREZA kipindi cha UKOLONI na ndiyo JAMII ambayo anatoka HAYATI MWALIMU ambaye alikuwa WAZIRI MKUU WA KWANZA kwa upande wa TAIFA LA TANGANYIKA na RAIS WA KWANZA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


Pia hii JAMII YA PUISSANTS au BSC [BISCUIT, SWEET AND CHOCOLATE] ni JAMII ambayo ilijengwa na WABELIGIJI pamoja na WANAFARANSA kipindi cha UKOLONI na ndiyo JAMII ambayo anatoka kiongozi mashuhuri anayeitwa HAYATI MOBUTU.


Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo zilijengwa na WAKOLONI katika IMANI YA KIKATOLIKI.


Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo zilijengwa na WAKOLONI katika misingi ya KIJESHI NA UTAWALA.


Ukiingia kati yao, kama ni mtu wa kutoka tabaka jingine wanakuwa hawakuamini na wengine inafikia hatua ukiwapa mgongo huwa wanakunja NDITA, wengine huwa WANASONYA na wengine huwa wanatoa ULIMI kama NYOKA.


Hali hii imepelekea hata kwenye mahusiano ya kimapenzi - ukiwa na mwenza wa kutoka katika moja ya hizo JAMII huwa WANASONYA, wanakunja NDITA na wengine huwa wanatoa ULIMI kama NYOKA endapo utakuwa umempa mgongo.


Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo katika kufanya "ASSASSINATION" au "SUICIDE" au "REVOLUTION" huwa ni wazuri sana na mara nyingi huwa wanafanya haya mambo pale wanapokuwa wamekabidhiwa majukumu na kuaminiwa au anakuwa ni mtu wako wa karibu.


Hali hii ilipekea YOWERI KAGUTA MUSEVENI kuchukua watu kutoka katika TAIFA LA TANZANIA, hususani katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwa ajili ya ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAASISI YA URAIS WA TAIFA LA UGANDA.


Sasa tofauti kati ya JAMII YA PUISSANTS [BSC] na JAMII YA SERENGETI ni kwamba - hawa PUISSANTS [BSC] walipokabidhiwa kuongoza MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO waliiba sana na wanamiliki kampuni nyingi za kibiashara ambazo hadi leo ndiyo zinawapatia kiburi.


Lakini hawa JAMII YA SERENGETI hawana kitu na hawana kiburi chochote nje ya SERIKALI YA TANZANIA na CHAMA TAWALA ambacho ni CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema hawa JAMII YA SERENGETI hawawezi kutoka ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] hata ikitokea CHAMA kimetoka madarakani, hawa JAMII YA SERENGETI wataendelea kuwepo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa sababu ndiyo CHAMA kilichowalea na kuwakuza. "Bila ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], JAMII YA SERENGETI si kitu."


Sasa baada ya sintofahamu ya kisiasa iliyokuwa ikiendelea kati ya hizi JAMII MBILI ZA PUISSANTS [BSC] na SERENGETI ndiyo iliyopelekea AJALI YA NDEGE [1994] iliyokuwa imebeba RAIS WA RWANDA, JUVENILE HABYARIMANA [kuhusu RAIS WA BURUNDI, CYPRIEN NTARYAMIRA hakuna uhakika kama na yeye alikuwepo kwenye ile ajali ya ndege] na hali ile ndiyo iliyopelekea MAUAJI YA KIMBARI YA 1994.


Baada ya hapo, wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA waliohamia nchini RWANDA waliokota "DODO CHINI YA MNAZI" na kuunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA iliyokuwa inaongozwa na PATRICE BIZIMUNGU na baadae kwenye miaka ya elfu mbili [2000's] waliongoza SERIKALI YA RWANDA kupitia PAUL KAGAME kwa tiketi ya CHAMA CHA RPF - INKOTANYI.


Baadae kwenye miaka ya elfu mbili [2001's] wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KONGO walifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA na JOSEPH KABILA alifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kwa kipindi cha miaka zaidi ya ishirini [20].


Hali hiyo ya mabadiliko ya kisiasa iliendelea kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI ambapo kwenye miaka ya elfu mbili [2000's] - CHAMA CHA KISIASA ambacho kinaitwa CNDD FDD kilifanikiwa kushika hatamu kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI.


Baada ya JAMII YA PUISSANTS [BSC] kupalanganyika kufuatia mabadiliko ya kisiasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO - JAMII iliyofuata baada ya hapo ilikuwa ni JAMII YA MWASHITA.


Kwahiyo hii JAMII YA MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa VYAMA VYA KISIASA vilivyofanikiwa kushika hatamu kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI baada ya mwaka 1994 ambavyo ni RPF - INKOTANYI na CNDD FDD.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Sasa baada ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini RWANDA, BURUNDI NA KONGO kujihusisha na SIASA ZA MATAIFA hayo, ni nani aliyekuwa nyuma ya kufadhili na kudhamini shughuli za kisiasa katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO?


Waliokuwa nyuma ya kufadhili na kudhamini shughuli za kisiasa katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].


Na pesa za kununua silaha walikuwa wanatoa wapi wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU]? Walikuwa wanatoa pesa katika VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA, hasa SHIRECU.


Sasa katika MATAIFA yanayounda JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI - kuna BURUNDI, KONGO, KENYA, RWANDA, SOMALIA, SUDANI YA KUSINI, TANZANIA pamoja na UGANDA.

  1. Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ni BRITISH AUTONOMY, hakuna JAMII yoyote iliyoshika DOLA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.​
  2. Kwa upande wa TAIFA LA KENYA ni MLIMA KENYA, JAMII YA MLIMA KENYA ndiyo iliyoshika DOLA kwa upande wa TAIFA LA KENYA ambayo inajumuisha JAMII YA WAKIKUYU na WAKALENJIN.​
  3. Kwa upande wa TAIFA LA UGANDA ni WAHIMA, JAMII YA WAHIMA ndiyo iliyoshika DOLA kwa upande wa TAIFA LA UGANDA.​
  4. Kwa upande wa TAIFA LA RWANDA ni MWASHITA, JAMII YA MWASHITA ambayo inajumuisha wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kutoka TANZANIA ndiyo iliyoshika DOLA kwa upande wa TAIFA LA RWANDA.​
  5. Pia kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI ni MWASHITA, JAMII YA MWASHITA ambayo inajumuisha wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kutoka TANZANIA ndiyo iliyoshika DOLA kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI.​
  6. Kwa upande wa TAIFA LA KONGO, hali ya kisiasa bado haijatulia. Kwahiyo inakuwa ni vigumu kuweza kuainisha JAMII ambayo imeshika DOLA kwa upande wa TAIFA LA KONGO.​
  7. Kwa upande wa TAIFA LA SUDANI YA KUSINI, hali ni ile ile kama ilivyo kwa TAIFA LA KONGO inakuwa ni vigumu kuweza kuainisha JAMII ambayo imeshika DOLA kwa upande wa TAIFA LA SUDANI YA KUSINI.​
  8. Vile vile kwa upande wa TAIFA LA SOMALIA, hali ni ile ile kama ilivyo kwa MATAIFA YA KONGO na SUDANI YA KUSINI. Tangu UTAWALA wa MOHAMMED SIAD BARRE, TAIFA LA SOMALIA halijawahi kutulia kisiasa.​

Kwahiyo kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI, kuna JAMII TATU tu ambazo zimeshikilia DOLA katika MATAIFA hayo.


JAMII hizo ni MLIMA KENYA [WAKIKUYU na WAKALENJINI] ambao wameshikilia DOLA kwa upande wa TAIFA LA KENYA. WAHIMA ambao wameshikilia DOLA kwa upande wa TAIFA LA UGANDA na JAMII YA MWASHITA [wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA] ambao wameshikilia DOLA kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA NA BURUNDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…