Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo zilijengwa na WAKOLONI.
JAMII YA SERENGETI ilijengwa na WAINGEREZA kipindi cha UKOLONI na ndiyo JAMII ambayo anatoka HAYATI MWALIMU ambaye alikuwa WAZIRI MKUU WA KWANZA kwa upande wa TAIFA LA TANGANYIKA na RAIS WA KWANZA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Pia hii JAMII YA PUISSANTS au BSC [BISCUIT, SWEET AND CHOCOLATE] ni JAMII ambayo ilijengwa na WABELIGIJI pamoja na WANAFARANSA kipindi cha UKOLONI na ndiyo JAMII ambayo anatoka kiongozi mashuhuri anayeitwa HAYATI MOBUTU.
Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo zilijengwa na WAKOLONI katika IMANI YA KIKATOLIKI.
Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo zilijengwa na WAKOLONI katika misingi ya KIJESHI NA UTAWALA.
Ukiingia kati yao, kama ni mtu wa kutoka tabaka jingine wanakuwa hawakuamini na wengine inafikia hatua ukiwapa mgongo huwa wanakunja NDITA, wengine huwa WANASONYA na wengine huwa wanatoa ULIMI kama NYOKA.
Hali hii imepelekea hata kwenye mahusiano ya kimapenzi - ukiwa na mwenza wa kutoka katika moja ya hizo JAMII huwa WANASONYA, wanakunja NDITA na wengine huwa wanatoa ULIMI kama NYOKA endapo utakuwa umempa mgongo.
Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote ni JAMII ambazo katika kufanya "ASSASSINATION" au "SUICIDE" au "REVOLUTION" huwa ni wazuri sana na mara nyingi huwa wanafanya haya mambo pale wanapokuwa wamekabidhiwa majukumu na kuaminiwa au anakuwa ni mtu wako wa karibu.
Hali hii ilipekea YOWERI KAGUTA MUSEVENI kuchukua watu kutoka katika TAIFA LA TANZANIA, hususani katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwa ajili ya ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAASISI YA URAIS WA TAIFA LA UGANDA.
Sasa tofauti kati ya JAMII YA PUISSANTS [BSC] na JAMII YA SERENGETI ni kwamba - hawa PUISSANTS [BSC] walipokabidhiwa kuongoza MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO waliiba sana na wanamiliki kampuni nyingi za kibiashara ambazo hadi leo ndiyo zinawapatia kiburi.
Lakini hawa JAMII YA SERENGETI hawana kitu na hawana kiburi chochote nje ya SERIKALI YA TANZANIA na CHAMA TAWALA ambacho ni CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema hawa JAMII YA SERENGETI hawawezi kutoka ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] hata ikitokea CHAMA kimetoka madarakani, hawa JAMII YA SERENGETI wataendelea kuwepo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa sababu ndiyo CHAMA kilichowalea na kuwakuza.
"Bila ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], JAMII YA SERENGETI si kitu."
Sasa baada ya sintofahamu ya kisiasa iliyokuwa ikiendelea kati ya hizi JAMII MBILI ZA PUISSANTS [BSC] na SERENGETI ndiyo iliyopelekea AJALI YA NDEGE [1994] iliyokuwa imebeba RAIS WA RWANDA, JUVENILE HABYARIMANA [kuhusu RAIS WA BURUNDI, CYPRIEN NTARYAMIRA hakuna uhakika kama na yeye alikuwepo kwenye ile ajali ya ndege] na hali ile ndiyo iliyopelekea MAUAJI YA KIMBARI YA 1994.
Baada ya hapo, wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA waliohamia nchini RWANDA waliokota "DODO CHINI YA MNAZI" na kuunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA iliyokuwa inaongozwa na PATRICE BIZIMUNGU na baadae kwenye miaka ya elfu mbili [2000's] waliongoza SERIKALI YA RWANDA kupitia PAUL KAGAME kwa tiketi ya CHAMA CHA RPF - INKOTANYI.
Baadae kwenye miaka ya elfu mbili [2001's] wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KONGO walifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA na JOSEPH KABILA alifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kwa kipindi cha miaka zaidi ya ishirini [20].
Hali hiyo ya mabadiliko ya kisiasa iliendelea kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI ambapo kwenye miaka ya elfu mbili [2000's] - CHAMA CHA KISIASA ambacho kinaitwa CNDD FDD kilifanikiwa kushika hatamu kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI.
Baada ya JAMII YA PUISSANTS [BSC] kupalanganyika kufuatia mabadiliko ya kisiasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO - JAMII iliyofuata baada ya hapo ilikuwa ni JAMII YA MWASHITA.
Kwahiyo hii JAMII YA MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa VYAMA VYA KISIASA vilivyofanikiwa kushika hatamu kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI baada ya mwaka 1994 ambavyo ni RPF - INKOTANYI na CNDD FDD.