Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

LAURENT KABILA hakupigwa RISASI na wala hakuawa, bado yupo hai! Ile ilikuwa ni "INSIDE JOB" ya kumfanya [...] kuongoza TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA na alifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kwa kipindi cha miongo miwil
Mkuu vitu vingine sasa mbona inakua kama unaongea stories tu, how come this now??
 
Mkuu vitu vingine sasa mbona inakua kama unaongea stories tu, how come this now??

Ukitaka kuelewa vizuri, jaribu kupitia yale yaliyojadiliwa katika kurasa za nyuma.

Angalia JOSEPH LAURENT KABILA ambaye kabla ya kuwa ASKARI WA JESHI LA KONGO [FARDC], alikuwa ni ASKARI WA JESHI LA RWANDA [RDF] na kabla ya kuwa ASKARI WA JESHI LA RWANDA [RDF], alikuwa ni ASKARI WA JESHI LA TANZANIA [TPDF].

Kuhusu mahusiano na LAURENT DESIRÉ KABILA, ile ilikuwa ni "IDEAL FAMILY" [which doesn't exist in real life] na JOSEPH LAURENT KABILA ana ndugu na jamaa aliowaacha TANZANIA. Wengine huwa wanafanya mazoezi ya kucheza mpira pale maeneo ya [...] ukiwa katika MKOA WA SHINYANGA.


Kwahiyo lile tukio la kupigwa risasi kwa LAURENT DESIRÉ KABILA ilikuwa ni SINEMA tu, lakini lengo ilikuwa ni kumuondoa MOBUTU SESE SEKO na walifanikiwa.
 
Mzee baba soma kuongeza maarifa ila mengin yaache hum hum.

Ukitaka kuelewa vizuri, jaribu kuangalia nyakati ambazo TAIFA LA TANZANIA lilipitia kipindi kile ambapo ile AJALI YA TRENI iliyotokea pale DODOMA [2002] au ile AJALI YA MV-BUKOBA iliyotokea pale MWANZA [1996]. TAIFA lilikuwa kwenye HUZUNI na MAJONZI makubwa sana.


Sasa jaribu kufikiria kwa upande mwingine! Kule kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] ambapo tulishuhudia matukio mengi kama VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE yaani "CIVIL WAR", VIKUNDI VYA WAASI, MAUAJI YA KIMBARI [1994], VIKOSI VYA KUTULIZA AMANI, MAUAJI YA MARAIS WA RWANDA NA BURUNDI [1994], MAPINDUZI YA KIJESHI DHIDI YA MOBUTU SESE SEKO [1997] na TUKIO LA KUPIGWA RISASI KWA LAURENT KABILA [2001]. Hata uwepo wa EBOLA 🧬


Sasa unafikiri wanakuwa kwenye hali gani wale WANANCHI wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC]?.

Kwahiyo, lazima yale matukio yatakuwa yamewaharibu KISAIKOLOJIA na kuna namna ya kuishi vizuri na waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR".
 
Anacho humu kina ukwel au n story za kufikirika?

Ngoja nikupe kitu kingine ambacho huwa ni maarufu sana kwa hapa TANZANIA. Huwa wanasema hivi - "WATANZANIA huwa ni WAKARIMU" na "WATANZANIA huwa ni WAOGA". Hii "SLOGAN" huwa ni kweli.


Ukikuta tofauti na hapo! Asilimia kubwa, kama siyo wote wanakuwa ni WALOWEZI.


Hizi tabia ambazo huwa siyo za kawaida mara nyingi zinaletwa na wageni [WALOWEZI] na kuanza kusambaa kwa wanyeji, hata yule DADA MAARUFU anayetukana kwenye MITANDAO YA KIJAMII hasa INSTAGRAM huwa ni MTANZANIA mwenye asili ya KONGO.

Yaani wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini TANZANIA kipindi cha UTAWALA WA MOBUTU wakitoka katika TAIFA LA KONGO.


Kwahiyo, hii huwa ni ELIMU na watu huwa wanafundishwa. Sema huwa inatolewa kwa wachache na mara nyingi wale wanaofanikiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA ndiyo huwa wanapata hii ELIMU wakiwa katika ngazi fulani fulani.
 
Yapo mengi kuhusu Historia ambayo hutakuja kuyajua na yamefichwa kwa makusudi ili usijitambue,hilo la Kambona ni dogo sana.Na mengine ukiambiwa hata hutakubali, kwa kuwa umeonyeshwa upande mwingine wa shillingi ambao ni uongo.Very sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…