Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Waigizaji weusi wote wa TAMTHILIYA YA "THE CHI SERIES" ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA BARIADI.
Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walihama na kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi na waliobaki waliamua kubaki kwa sababu ya wazazi wao, yaani hawakutaka kuwa mbali na sehemu walizozaliwa.
Kilichofuata baada ya hapo ilikuwa ni "OCCUPATION OF VACANT PLACES" na waliohamia baada ya wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kuhama walikuwa ni PUISSANTS [wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO].
Hadi HAYATI MOBUTU anatolewa MADARAKANI mwaka 1997, tayari alikuwa ameshaingiza WAKONGOMANI wanaokisiwa kuwa ni laki tatu [300,000] ndani ya mipaka ya TANZANIA na wengi wao walifanikiwa kuhamia katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
Hawa WALOWEZI ambao ni PUISSANTS huwa wanaoana na kuzaliana wenyewe kwa wenyewe, ndiyo maana kuna haja ya kufahamiana.
Hii huwa siyo kwa nia mbaya! Bali huwa ni kwa nia nzuri, ili kuepusha sintofahamu na migongano ya kimasilahi isiyokuwa ya lazima .