Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Continue
Baadae kwenye miaka ya tisini [1990's] mwanzoni, walikuja kuhamia DAR ES SALAAM na kuendelea kufanya biashara zao na wamewekeza sana katika MANISPAA YA ILALA [ILALA METROPOLITAN] pamoja na nje ya nchi.
Hawa MACHIFU WA MSHIKAMANO pamoja na KISHAPU walikuwa wanaenda sawa na wakina KABAKA MUTESA wa BAGANDA. Hata baada ya MFUMO WA VYAMA VINGI kuanzishwa hawakutaka kujihusisha na SIASA, waliamua kuendelea kuwa "ROYAL FAMILIES".
Sasa baada ya kuanzishwa kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA, walipatikana MATAJIRI wengine ambao kwa kiasi kikubwa waliwapita MACHIFU WA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA.
Miongoni mwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndiyo aliyekuja kuwa mdhamini wa KUNDI LA TOT [TANZANIA ONE THEATER] katika UCHAGUZI MKUU WA 1995.
KUNDI LA TOT ni BENDI YA MUZIKI YA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] iliyokuwa inaongozwa na KHADIJA KOPA, nakumbuka mstari mmoja uliokuwa ukiimba hivi - "Y2K manjonjo, manjonjo ndiyo nayotambia mie 🎶"
Baadae kwenye miaka ya elfu mbili [2000's] likapatikana KUNDI LA MUZIKI lililokuwa linaitwa B2K kutoka nchini MAREKANI.
KUNDI LA MUZIKI LA B2K lilikuwa linajumuisha WASANII kama OMARION, JBOOG, LIL FIZZ pamoja na RAZ B. Hili KUNDI LA MUZIKI LA B2K lilikuwa linamilikiwa na mmoja wa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU], kutoka WILAYA YA BARIADI.
Kwahiyo kuna baadhi ya WATANZANIA waliofanikiwa kuifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA tangu siku nyingi.