"SOBER HOUSE" ni sehemu salama kwa waathirika wa AFYA YA AKILI, ambapo huwa wanapata fursa ya matibabu na kuweza kurudi katika hali ya kawaida.
MATATIZO YA AFYA YA AKILI yanaweza kusababishwa na msongo wa mawazo, matumizi ya vilevi kama madawa ya kulevya na unywaji wa pombe kupita kiasi, waathirika wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE yaani "CIVIL WAR" na n.k.
Kulingana na SHIRIKA LA AFYA DUNIANI [WHO], AFYA YA AKILI inabakia kuwa ni sehemu muhimu ya AFYA na USTAWI WA MAENDELEO wa kila MWANANCHI mmoja mmoja.
Yaani kila MWANANCHI ana haki na wajibu wa kupata AFYA YA AKILI sehemu yoyote na mahala popote panapostahili kupatikana kwa matibabu yatakayopelekea kuwa na AFYA YA AKILI.
Sasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO pamoja na kuwa na UTAJIRI waliofanikiwa kuwekeza katika MATAIFA mbalimbali duniani, bado wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wameendelea kuwa katika DHIKI kutokana na HALI YA KISIASA iliyokuwa ikiendelea katika MATAIFA yao.
Na TAIFA LA TANZANIA lilifanyika kama "SOBER HOUSE" kwa waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR" iliyotokea katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
Kwahiyo, hili swali linalohusu
"Explain how TANZANIA was officially becoming a SOBER HOUSE in 1994." utakuwa umefahamu namna ya kulijibu na mara nyingi huwa wanauliza kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA pamoja na TAASISI ZA KISERIKALI na ASASI YA KIRAIA zinazohusika na masuala ya AFYA YA AKILI.