Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
UCHUMI WA NCHI ulikuwa unaanguka kutokana na kushindwa kwa SERA ZA UJAMAA! Lakini yeye binafsi alikuwa vizuri KIUCHUMI.Uhongo kipindi anaondoka nchi uchumi ulikuwa unaanguka ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UCHUMI WA NCHI ulikuwa unaanguka kutokana na kushindwa kwa SERA ZA UJAMAA! Lakini yeye binafsi alikuwa vizuri KIUCHUMI.Uhongo kipindi anaondoka nchi uchumi ulikuwa unaanguka ,
Hiki kipindi ambacho UCHUMI WA NCHI ulikuwa unaanguka, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walikuwa wanayahama maeneo yao ya asili.Uhongo kipindi anaondoka nchi uchumi ulikuwa unaanguka ,
Huwa mnaambiwa kinyume chake! Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na HAYATI MWALIMU bado kidogo wataanza kutoa misaada. Sio kuomba misaada.Uhongo kipindi anaondoka nchi uchumi ulikuwa unaanguka ,
Huwa mnaambiwa kinyume chake! Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na HAYATI MWALIMU bado kidogo wataanza kutoa misaada. Sio kuomba misaada.
Ukiachana na NYEHUNGE! Hawa wamiliki halali wa kituo cha televisheni cha CITIZEN, ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji inayoitwa SATCO.
SATCO imetokana na jina la mkurungenzi wa kampuni ya HANSPAUL GROUP OF COMPANIES, anayeitwa SATBIR HANSPAUL.
Hii kampuni ya HANSPAUL ni kubwa kwa kiasi chake na inafanya vizuri kwa upande wa "CAR MODIFICATION".
Hii kampuni ya HANSPAUL ndiyo iliyozaa kampuni ya usafirishaji ya abiria inayoitwa SATCO, ikiwa na maana ya SATBIR HANSPAUL..
Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA pamoja na HAYATI MWALIMU walikuwa ni WATU WASOMI.
HAYATI MWALIMU kuna baadhi ya kampuni aliwekeza kupitia wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na alifanikiwa.
Hawa watu hawafahamu kitu chochote! Unajua kwa upande wa UTAMADUNI WA KIINGEREZA ~ mtu ambaye hana kitu, huwa hathaminiki.Usijidanganye kwa kujipa matumaini mkuu.
Hkn kitu
Acha kujipa moyo hata Obama ni mmalekani mwenye asili ya Kenya.Hawa watu hawafahamu kitu chochote! Unajua kwa upande wa UTAMADUNI WA KIINGEREZA ~ mtu ambaye hana kitu, huwa hathaminiki.
Yaani UMASIKINI huwa hauna nafasi kwa WAINGEREZA na ukihitaji kuthaminika kwa WAINGEREZA na duniani kote kwa ujumla, basi ni lazima uwe na kitu chochote cha kujivunia.
Wao, WAINGEREZA huwa wanaita DESTINATION na huwa wanapenda kuuliza hili swali ~ "What is your favorite destination?"
Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, WAINGEREZA waliwatumia wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU katika harakati za kudai UHURU WA TANGANYIKA, hatimaye SIASA ZA CHAMA CHA TANU na sasa hivi ndiyo wasimamizi na waangalizi wa CHAMA TAWALA.
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ni MATAJIRI sana na walijengwa na WAINGEREZA tangu kipindi cha UKOLONI, kwa ajili ya kufanikisha malengo ya kisiasa.
Hata huyu NIA LONG, ni muigizaji wa KIMAREKANI ambaye ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.
Hata huyu, DJ SPEED OF NWA ni MMAREKANI ambaye ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.
HAYATI MWALIMU alikuwa ni watatu katika ile NGAZI YA UONGOZI [GOVERNMENT HIERARCHY] ~ alikuwa anaanza MUINGEREZA ambaye ndiye mwenye SERIKALI na alikuwa anafuata UCHIFU WA BUSIA ambaye ndiye MSIMAMIZI WA SERIKALI na alikuwa anafuatia HAYATI MWALIMU ambaye ndiye aliyekuwa KIONGOZI WA KISERIKALI na HAYATI MWALIMU alikuwa na kazi moja tu, ambayo ni kuthaminika katika jamii anayoiongoza.
Kwahiyo OSCAR KAMBONA alikuwa sahihi na HAYATI MWALIMU aliona makosa yake, lakini alitumia ule msemo maarufu wa lugha ya kiswahili anaosema ~ "Tia mchuzi, pangu pakavu" au "Weka mchuzi sehemu yangu, ili na mie nipate kuonja ladha ya mboga".
HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuwa WAZIRI MKUU WA KWANZA kwa upande wa TANGANYIKA na hatimaye kuwa RAIS WA KWANZA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na MWENYEKITI WA KWANZA WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na alifanikiwa kuwekeza kupitia WATU WENYE ASILI YA UJERUMANI.
Acha kujipa moyo hata Obama ni mmalekani mwenye asili ya Kenya.
Sasa Kenya imenufaika Nini kutoka kwake.
😂😂😂😂😂🤣
Haya ndiyo yalikuwa makosa ya HAYATI MWALIMU, lakini mambo mengine hahusiki.Udhaifu wa Mwalimu ilikua ni kuamini zaidi katika Yeye....!!
Hawa WAINGEREZA wamewatumia sana wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU katika SIASA ZA TANZANIA na AFRIKA kwa ujumla.Hakika mkuu ...!!
Hakika mkuu ...!!
Kambona alikua kama kamuzu bandaKizazi chake Kipo wapi
Hawa WAINGEREZA wamewatumia sana wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU katika SIASA ZA TANZANIA na AFRIKA kwa ujumla.
Hata CHARLES TAYLOR ni MLAIBERIA mwenye asili ya TANZANIA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA KISHAPU.
CHARLES TAYLOR alifanikiwa kuwa RAIS WA SERIKALI YA LIBERIA, 1997 - 2003 baada ya kumuondoa SAMUEL DOE kwa njia ya MAPINDUZI YA KIJESHI.
Unaambiwa CHARLES TAYLOR ni matokeo ya KITENGO au IDARA kuhusika na MAPINDUZI YA KIJESHI nchini LIBERIA, lakini siyo kweli! CHARLES TAYLOR ni matokeo ya TAIFA LA UINGEREZA katika kuwatumia wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.
CHARLES TAYLOR ana mtoto wa kiume katika MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA SHINYANGA MJINI na mtoto wake huwa anacheza NDONDO kupitia timu inayoitwa [...]. Ni mtukukutu hata akiwa UWANJANI na anafanana na baba yake hata kwa kumuangalia.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wanamiliki UCHUMI MKUBWA kutokana na kuendelea kutumiwa na TAIFA LA UINGEREZA katika kutimiza malengo ya kisiasa.
Siyo AFYA YA AKILI! Bali TANZANIA haijawahi kupitia changamoto yoyote ya KIUTAWALA tangu kipindi cha MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964], ndiyo maana kila kitu tunafanya kwa mazoea.Afya ya akili
Wale WATANZANIA waliofanikiwa kuyafahamu haya mambo tangu siku nyingi, walijikita katika kujijenga KIUCHUMI akiwemo HAYATI MWALIMU mwenyewe.Afya ya akili
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kulikuwa kuna wakina BOBBY BROWN na WHITNEY HOUSTON, hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika wilaya ya KISHAPU.Hakika mkuu ...!!
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kulikuwa kuna wakina BOBBY BROWN na WHITNEY HOUSTON, hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika wilaya ya KISHAPU.
Yaani asilimia themanini [80%] ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walihamia NJE YA NCHI na asilimia ishirini [20%] waliobaki walisambaa maeneo mbalimbali ya nchi, hasa WILAYA ZA HANANG, KATESH, HANDENI na MUHEZA.
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walikuwa kama wenye nchi, kwa sababu walikuwa ni WASIMAMIZI WA SERIKALI na HAYATI MWALIMU alikuwa ni KIONGOZI WA KISERIKALI tu.
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ndiyo waliokuwa wanapata zile NAFASI ZA KIDIPLOMASIA za kwenda kusoma na kuishi katika MATAIFA mbalimbali kupitia SERIKALI YA TANZANIA.
Wengine walikuwa kama wakina BIG DADDY KANE na NAOMI CAMPBELL ambao wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.
Hii ni picha ya pamoja na MADONNA ambayo BIG DADDY KANE na NAOMI CAMPBELL walipiga kwa pamoja wakiwa katika shughuli za mitindo.
Pia kulikuwa kuna WASANII kutoka MAREKANI wenye asili ya TANZANIA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA ambao walikuwa wanaitwa GETO BOYS.
GETO BOYS lilikuwa ni kundi la HIP HOP lililojumuisha WASANII kama SCARFACE na WILLIE D. Hawa baadae kwenye miaka ya tisini na nne [1994's] walikuja jiunga na KUNDI LA RPA, nchini RWANDA.
Yaani lile KUNDI LA RPA lilikuwa linajumuisha wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA, hasa kutoka WILAYA YA KISHAPU waliokuwa wamesambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ndiyo waliokuwa nyuma ya MAPINDUZI YA KIJESHI YA RWANDA [1994's] na ilikuwa ni muendelezo wa kutumika na TAIFA LA UINGEREZA katika kutimiza malengo ya kisiasa. Hakuna KITENGO wala IDARA iliyohusika.
Duuh 🤔🤔
Ukiwa TANZANIA, DIASPORA wengi ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.Duuh 🤔🤔