Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujenzi wa mahospitali na mashule hautakaa utoshe hii inamaanisha safari yetu ya maendeleo ni ndefu sana.Hii Ni ajabu sana. Kuna wakato South Africa walikuwa na idadi kubwa ya watu kuliko Tanzania. Inaonekana Tanzania matatizo yetu yote tunayamalizia kwenye kuzaa - starehe ya mtu masikini na mwenye frustration ya maisha!