Hii Ni ajabu sana. Kuna wakati South Africa walikuwa na idadi kubwa ya watu kuliko Tanzania. Inaonekana Tanzania matatizo yetu yote tunayamalizia kwenye kuzaa - starehe ya mtu masikini na mwenye frustration ya maisha!
Hii Ni ajabu sana. Kuna wakato South Africa walikuwa na idadi kubwa ya watu kuliko Tanzania. Inaonekana Tanzania matatizo yetu yote tunayamalizia kwenye kuzaa - starehe ya mtu masikini na mwenye frustration ya maisha!