Tanzania yaanza kujenga reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro

Maana serukali ya ccm kwa usanii wa maneno ni noma..hata DART project tuliambiwa utakuwa usafiri wa kasi hasa na mengineyo lakini ukaja kuwa wa kawaida tu.

Hahahahahah,mnazijua high speed train au mnazikia?mabehewa mia moja with that speed,mnaota nyie
 
Daah wewe unachanganya madesa sasa,dart kinachofanya iwe ya haraka2ni sababu inabarabara zake maalumu...mlitegemea ifyatyke kama risasi ndio mseme ni kasi? Angalia popote kwenye dart duniani
 
Viashiria vya ufisadi hivi.....Reli ya Dar-moro ya nn wkt tayari kuna reli nyingine na kuna usafiri wa uhakikwa kwa njia ya barabara?
Kwa nn asifufue mashamba ya mkonge pale moro na kujenga kiwanda kwanza?
KWA NN HII SERIKALI NA VIONGOZI KUANZIA KIONGOZI MKUU HAWAJUI PRINCIPLE HATA MOJA YA UCHUMI? TUMEROGWA NA NANI?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

nchi hii Mungu tusaidie

Garama ya reli mkuu ni nafuu kuliko malori
 
Maana hapa tusiongee siasa kama kuna mtu anabisha naomba ulete hbr yote kwa kawaida treni ya umeme ina bwhewa ngapi? Speed ngapi ndo tuelewe tofaut na hapo tutajua ni wale wale kama wapingaji na walalamikao kila sk demokrasia imekanyagwa
 
Viashiria vya ufisadi hivi.....Reli ya Dar-moro ya nn wkt tayari kuna reli nyingine na kuna usafiri wa uhakikwa kwa njia ya barabara?
Kwa nn asifufue mashamba ya mkonge pale moro na kujenga kiwanda kwanza?
KWA NN HII SERIKALI NA VIONGOZI KUANZIA KIONGOZI MKUU HAWAJUI PRINCIPLE HATA MOJA YA UCHUMI? TUMEROGWA NA NANI?

Ungejua mradi mzima wala usingeongea hayo maneno. Fuatilia mambo yanayohusu nchi yako, Dar-Moro ni awamu ya kwanza ya ujenzi. Reli itafika Mwanza na Kigoma, Burundi na Rwanda wataunga pia.
 
Naanza kwa kutoa hongera, maana mkifanikiwa kuna baadhi yetu tunaovuka mipaka ya EAC tutanufaika kiaina. Lakini naomba makada wa Tanzania watumie muda mwingi kuelimisha Watanzania umuhimu wa reli hii kiuchumi badala ya wanachokifanya sasa kufungua nyuzi nyingi wakilinganisha gharama za ujenzi wa reli ya Kenya. Nina uhakika Watanzania wengi wanahitaji kujua watakavyonufaika zaidi ya kujua gharama baina ya Kenya na Tanzania.

Kufikia hapo bado hamjafanya hata design, hamjabaini idadi ya madaraja, na kama kutakua na kupitia kwenye mahandaki, vituo vyenyewe hamjajadili vitakua vipi na vyenye design ipi, treni na mabehewa bado hamjaonyesha, na tafiti nyingine nyingi sana ambazo zinaambatana na ujenzi wa reli. Sasa leo mumejazana kwenye mitandao mnajadili kulinganisha na Kenya shilingi kwa shilingi.

Halafu wengine mnadanganya eti treni yenu itasafiri kwa kasi ya 160km/h au 120km/h ikiwa na mabehewa 100, mnafaa kuelewa trains and ratio of Wagons/Locomotives, ingia kwenye Google kabla hujaanza uongo.
 
Kila kitu kipo wazi sema watu hawafuatilii mambo. Kuna wapuuzi wanapitia kurasa za udaku instagram halafu wanatumia upuuzi wa huko kujenga hoja. Kwa kuwa wewe unapenda kujifunza, angalia hapa chini kupata majibu ya maswali yako.

C9Nle1UXkAANBwg.jpg
 
Kwa jinsi mlivyo kimbelembele ku--post chochote juu ya Tanzania sidhani kama mleta haja anaongea ukweli Pitia comments section ya news on Tanzania uone desperation ya Wakenya juu ya Tanzania
 
Hahahahahah,mnazijua high speed train au mnazikia?mabehewa mia moja with that speed,mnaota nyie
Kama umesoma vizuri nafikiri treni ya abiria ndio itakua high speed na hio ya mabehewa 100 ni ya mizigo ambayo nadhani haitatumia umeme bali diesel na itasafiri kwa speed ya kawaida ila itakuwa kubwa ukiringanisha na hii ya treni za sasa za mizigo.
 
Back
Top Bottom